DC CHEMBA AWASHAURI WANAWAKE KUSHIRIKI SHUGHULI ZA KUJENGA UCHUMI, UJASIRIAMALI

Na Shani Amanzi-Chemba.
MKUU wa Wilaya ya Chemba Simon Odunga amewataka wanawake washiriki  kikamilifu katika shughuli za kiuchumi ukiwamo ujasiriamali  hasa kwa kuzingatia sehemu kubwa ya viwanda vidogovidogo vinaajiri wakina mama hasa Viwanda vya shughuli za mikono.
Odunga ametoa kauli hiyo leo wilayani hapo ambapo amesema shughuli ndogondogo za kiuchimi zinampa faida kubwa mhusika hasa akiwa mbunifu mzuri  na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais Dk. John Magufuli unaendelea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Michuzi

WANAWAKE WASHIRIKI KUJENGA WODI YA MAMA NA MTOTO CHEMBA


Wanawake washiriki kujenga Wodi ya mama na mtoto - Chemba
Wanawake wa Kata ya Songolo, katika Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamejitoa katika ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto lililojengwa katika kituo cha afya cha Hamai kilichopo katika Wilaya hiyo kwa lengo la kuchangia nguvukazi ili kupunguza changamoto za kutembea muda mrefu kutafuta huduma za afya.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa kituo hicho Bw. Saidi Msigwa mbele ya timu ya ukaguzi wa ujenzi wa vituo vya afya katika...

 

2 years ago

Channelten

Waathirika wa dawa za kulevya na shughuli za ujasiriamali, Serikali kujenga Kambi kwa ajili ya vijana

vijana.

SERIKALI imesema iko kwenye mchakato wa kujenga Kambi kwaaajili ya vijana walioathirika na dawa za kulevya , ili waweze kufundishwa shughuli mbalimbali za ujasiliamali , na wakati huo wakiwa wanatumia dawa ya Methadone ili baadaye waweze kujitegemea na kuachana na matumizi ya dawa za kulevya.

WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anasema haya akiwa jijini Mbeya katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya akizindua jengo la Kliniki ya Methadone,ambapo pia ametoa onyo...

 

3 years ago

Michuzi

TAWLA YAWATAKA WANAWAKE KUSHIRIKI SHUGHULI ZA KIUCHUMI ILI KUNDOA UTEGEMEZI

Wanawake wametakiwa kushiriki shughuli za kiuchumi ili kujikomboa na kukandamizwa na mifumo ya kijamii iliyopo sasa nchini.Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria Wanawake nchini (TAWLA), Bi Tike Mwambipile leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa chama hicho.

Bi Mwambipile amesema kuwa wanawake wa Kitanzania wananyanyasisika sana kwani hawana vipato vya kutosha, hivyo inabidi waongeze juhudi katika kuibua na kubuni miradi endelevu ya ujasiriamali...

 

3 years ago

Dewji Blog

TAWLA yawataka wanawake kushiriki shughuli za kiuchumi ili kuondoa utegemezi

Wanawake wametakiwa kushiriki shughuli za kiuchumi ili kujikomboa na kukandamizwa na mifumo ya kijamii iliyopo sasa nchini.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria Wanawake nchini (TAWLA), Bi Tike Mwambipile leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa chama hicho.

Bi Mwambipile amesema kuwa wanawake wa Kitanzania wananyanyasisika sana kwani hawana vipato vya kutosha, hivyo inabidi waongeze juhudi katika kuibua na kubuni miradi endelevu ya ujasiriamali...

 

1 year ago

Malunde

Picha : SHIRIKA LA KIVULINI LAFANYA KIKAO CHA WANA MABADILIKO MRADI WA USAWA WA KIJINSIA KUJENGA UCHUMI KWA WANAWAKE NA VIJANA SHINYANGA

Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na watoto,Shirika la Kivulini limefanya kikao cha wana mabadiliko kwa ajili ya kufanya tathmini na mrejesho wa shughuli za mradi wa usawa wa kijinsia kujenga uwezo kiuchumi kwa wanawake na vijana unaotekelezwa halmashauri wilaya mbili za Shinyanga na Kishapu mkoani Shinyanga.
Kikao hicho kilichokutanisha wana mabadiliko 65 kutoka vijiji vitano vya halmashauri ya wilaya ya Shinyanga (Shinyanga Vijijini) ambavyo ni...

 

5 years ago

Habarileo

JK aahidi kuisukuma NHC kujenga nyumba Chemba lakini…

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Halmashauri ya Chemba kutoa ardhi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ili liweze kujenga nyumba kwa ajili ya watumishi wa halmashauri hiyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa Facebook awashauri wanawake

Mwanamke anayeshikilia cheo cha juu zaidi katika kampuni ya Facebook, amewataka wanawake kuchukua hatua za kubuni mazingira ya usawa kote duniani.

 

1 year ago

Michuzi

KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UPANDAJI MITI NA UCHANGIAJI DAMU

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Chemba Ndugu Nyakia Ally Chirukile akichangia damu baada ya kushiriki zoezi la Usafi wa kila jumamosi ya mwisho wa Mwezi,zoezi ambalo lilikwenda sambamba na upandaji wa miti zaidi ya 2000 pembezoni mwa barabara ya Dodoma -Babati kuanzia Kidoka mpaka  Kilema.
Akizungumza baada ya shughuli nzima,Ndugu Nyakia aliwaomba wananchi wa wilaya ya Chemba na mkoa wa Dodoma kwa ujumla,kuunga mkono juhudi za Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Samia...

 

2 years ago

Mwananchi

RIPOTI MAALUMU: MARIA & CONSOLATA- Maajabu ya pacha walioungana: Waanza shughuli za ujasiriamali

Maria na Consolata wameshamaliza kidato cha sita, lakini hawataki kukaa nyumbani bila ya shughuli zozote za kuwaingizia kipato. Sasa maisha mapya yameshaanza; wamejikita katika ufumaji wa vitambaa.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani