DC GAIRO AAGIZA WACHIMBAJI MADINI WASIO NA LESENI KUSIMAMISHA UCHIMBAJI MARA MOJA

Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Mchembe akiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama mara baada ya kutembelea sehemu ya migodi inayochibwa kinyemela na wachimbaji wasiokuwa na leseni. Moja ya mashine zilizokutwa eneo la mgodi. Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Mchembe amesikitishwa na makampuni ya uchimbaji madini ya viwandani wanaochimba madini mbalimbali Wilayani hapo hasa aina ya Felispar bila leseni. Mhe. Mchembe aliyasema hayo alipotembelea migodi ya Kata ya Rubeho ambapo wachimbaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Dewji Blog

Wachimbaji wadogo wapewa mtaji na leseni za uchimbaji

Na Nathaniel Limu, Ikungi

KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi Wilayani Ikungi, Mkoani Singida.

Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi, kimekabidhiwa leseni hizo hivi karibuni na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stepheni Maselle kwenye kijiji cha Sambaru.

Akikabidhi leseni hizo Naibu Waziri Maselle amewataka...

 

5 years ago

Mwananchi

Leseni uchimbaji madini zafutwa

Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), umesitisha utoaji wa leseni za uchimbaji madini ya ujenzi katika Jiji la Dar es Salaam ili kuokoa mazingira.

 

4 years ago

Habarileo

Leseni sita za uchimbaji madini zatolewa

SERIKALI imesema kuwa leseni zote za madini zikiwemo za utafiti, uchimbaji na zile za kuhodhi maeneo, zitakaguliwa baada ya miezi sita baada ya kutolewa kwa wamiliki ili kuhakikisha kuwa maeneo yaliyoombewa leseni, yanaendelezwa.

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mh,Stephen Masele akizungumza kwenye uzinduzi huo uliovuta hisia za wanakijiji wengi.Naibu Waziri wa Nishati na Madini akizungumza na Wananchi Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine,Michael Van Anen Mwakilishi Mwandamizi kutoka Benki ya Dunia ambaye pia ni mtaalamu wa madini kutoka idara ya nishati endelevu nchini Marekani,Bwa.Mamadou Barry akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa uchimbaji madini kwa wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha...

 

5 years ago

Habarileo

Madini wakabidhi leseni kwa wachimbaji wadogo

SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati na Madini imekabidhi leseni mbili zenye namba 1268 na 1269 kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kijiji cha Ishokelahela, wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

 

5 years ago

Mwananchi

Serikali yatishia kuwanyang’anya leseni wachimbaji madini

Serikali imerudia kauli yake bungeni kuwa iko tayari kuwanyang’anya leseni za madini wachimbaji wakubwa ambao wameshindwa kuendeleza maeneo yao.

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AWAAGIZA WACHIMBAJI MADINI KUPELEKA ORODHA YA WACHIMBAJI WADOOWADOGO MADINI YA JASI NA MAKAA YA MAWE.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo akizungumza na wadau mbalimbali wa uchimabji wa madini ya Jasi (Gypsum) na Makaa ya mawe nchini leo Jijini Dar es salaam na kuwaagiza wawakilishi wa wachimbaji wa madini ya Jasi (Gypsum) kutoka kanda zote hapa nchini kufikia Agosti 10-11 kupeleka orodha kamili ya majina ya wachimbaji wadogo wadogo wa madini ya Jasi (Gypsum) na makaa ya mawe katika wizara ya Nishati na madini.
Hayo ameyasema wakati akizungumza na wadau mbalimbali wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani