DC HOMERA ATOA MSAADA WA BATI 100 NA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE MBILI ZA TUNDURU

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mhe. Juma Zuberi Homera ametoa msaada wa bati 100 na mifuko ya saruji 100 kwa shule ya msingi msinjili iliyopo kijiji cha msinjili kata ya Mlingoti magharibi Tarafa ya Mlingoti.Dc Homera ameainisha matumizi ya msaada huo kama ifuatavyo, bati 25 na mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mawili ya shule ya msingi msinjili Iliyopo katika kijiji cha msinjili na Bati 60 pamoja na mifuko 50 ya saruji kwa ajili ya kuezeka nyumba za walimu wawili wa shule ya msingi mwangaza zilizoezekwa kwa nyasi, sambamba na hayo aliagiza madarasa katika shule hio zikarabatiwe.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MAKAMBA ATOA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA KIJIJI KILICHOHIFADHI MAZINGIRA


Na Lulu Mussa-Kilombero

Wananchi wa Kijiji cha Katurulika, Wilaya ya Kilombero, Mkoani Morogoro wameahidiwa Mifuko mia moja ya saruji ili kukamilisha ujenzi wa zahanati katika tarafa yao inayohudumia wakazi wa vijiji sita.

Waziri wa Nchi wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba ameahidi kutoa mifuko hiyo ndani ya wiki moja ikiwa ni pongezi kwa Kijiji hicho kwa kuwa mstari wa mbele katika kuhifadhi mazingira na msitu wa Magombera.

Awali, Bwana...

 

1 year ago

Michuzi

SSRA YATOA MSAADA WA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA VIJIJINIMkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde Msika, akikabidhi mifuko 100 ya saruji kwa Afisa Mipango wa Wilaya ya Kibaha Vijijini, Bw. Wambura Yamo kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa madarasa ya Shule za Msingi za wilaya hiyo, hivi karibuni.

Afisa Mipango wa Wilaya ya Kibaha Vijijini, Bw.Wambura Yamo, akimshukuru Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ally...

 

8 months ago

Michuzi

JOKETI MWEGELO AKABIDHI MIFUKO 100 YA SARUJI KWA SHULE YA SEKONDARI YA MAPOSENI- RUVUMA


Joketi Mwegelo akimkabidhi mkuu wa shule ya Sekondari Maposeni iliyopo Halmashauri ya Peramiho Mkoani Ruvuma mifuko ya Saruji.

 

1 year ago

Channelten

Camel cement yatoa Msaada wa Mifuko 100 ya Saruji

screen-shot-2016-11-09-at-5-15-04-pm

Kiwanda cha saruji cha  CAMEL CEMENT cha jijini Dar es salaam kimetoa msaada wa mifuko 1000 ya saruji kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi lilitokea Mkoani Kagera mwaka huu.

Akipokea Msaada huo kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mkurugenzi Kitengo cha Maafa Brigedia Jenerali Mbazi Msuya amekishukuru kiwanda cha Camel Cement kwa msaada huo.

Naye Mkurugenzi Mkuu msaidizi wa Kiwanda cha CAMEL CEMENT amesema msaada huo ameahidi kwamba wataendelea kusaidiana na Serikali  kutoa misaada mbalimbali...

 

1 year ago

Michuzi

MBUNGE MAHMOUD MGIMWA AKABIDHI MIFUKO 100 YA SARUJI NA NDOO KUMI ZA RANGI KWA SHULE YA SEKONDARI YA MDABULO.


Na Fredy Mgunda,Mufindi.

MBUNGE wa jimbo la Mufindi kaskazini Mahamood Mgimwa amekabidhi mifuko 100 ya saruji na ndoo kumi za rangi, zenye ujazo wa lita ishirini kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Serikali ya ya kukarabati majengo ya shule ya sekondari ya Mdabulo iliyopo Kijiji cha Mdabulo wilayani mufindi.
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini Mdabulo, alisema kuweza kujenga jamii imara ni lazima kuhakikisha elimu inapewa kipaumbele cha pekee.
“Sina budi kuunga mkono juhudi...

 

11 months ago

Michuzi

MEYA WA JIJI LA DAR KUCHANGIA MABATI NA MIFUKO YA SARUJI 100 UJENZI WA MADARASA YA SHULE YA MSINGI MAWENI, KIGAMBONI

MEYA wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita ameahidi kuchangia mifuko 100 ya Saruji pamoja na Mabati 100 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi Maweni iliyopo Kata ya Mjimwema wilayani Kigamboni. Shule hiyo ambayo inaupungufu mkubwa wa madarasa pamoja na uzio wa shule , inajumla ya wanafunzi 1300 ikiwemo na wale wenye ulemavu.
Akizungumza katika hafla hiyo  ya chagizo kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, Meya Isaya alisema kwamba hatua hiyo ni kwa ajili ya kuzisaidia shule ambazo...

 

2 months ago

Michuzi

MBUNGE MGIMWA AKABIDHI MIFUKO 400 YA SARUJI NA BATI 150 KWA AJILI YA UJENZI NA UKARABATI WA MAJENGO YA SHULE NA ZAHATI ZA KATA YA MAPANDA


Na Fredy Mgunda,Mufindi.
Mbunge wa Mufindi Kaskazini Mahamoud Mgimwa amekabidhi jumla ya mifuko ya saruji 400 na bati 150 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa madarasa ya shule za msingi pamoja na zahati za Kata ya Mapanda kwa lengo la kuboresha maendeleo ya wananchi wa jimbo hilo.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, alisema kuwa niliomba kuwa mbunge kwa lengo la kuwatumikia wananchi hivyo najitahidi huku na kule kuhakikisha natimiza azma yangu ya kuleta maendeleo kwa wananchi wa...

 

2 weeks ago

CCM Blog

CCM MKOA WA IRINGA YAMETOA MSAADA WA BATI 300 NA MIFUKO 500 YA SARUJI KWA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa Christopher Magala akizungumzia utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Iringa Na hii ni baadhi ya mifuko ya saruji na mabati waliyopewa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi manispaa ya Iringa Said Rubeya akifanya kazi kwa vitendo wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo  Mwenyekiti wa umoja wa vijana Mkoa wa Iringa Kenani kihongosi akifanya kazi kwa vitendo Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Iringa Ritta...

 

3 months ago

Michuzi

KAMPUNI YA TATU MZUKA IKISHIRIKIANA NA NAIBU WAZIRI MAVUNDE WAKABIDHI MATOFALI 3000 NA MIFUKO YA SARUJI 100 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE ZA MSINGI MPYA ZA MBANDE NA MUUNGANO MKOANI DODOMA

Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana Antony Mavunde  mwishoni mwa wiki amekabidhi matofali 3000 na mifuko ya saruji 100 katika Kata ya Makutupora kwa ajili ya kuanza awamu ya kwanza ya ujenzi wa Shule za Msingi Mpya za Mbande na Muungano Wilaya ya Dodoma mjini mkoani Dodoma.
Msaada huo alioukabidhi umetoka kwa kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Tatumzuka  ambayo ilikabidhi zawadi kwa washindi katika droo ya michezo hiyo,Mavunde aliishukuru kampuni hiyo kwa msaada huo na kuwaomba...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani