DC KIBAHA AZINDUA CHUO CHA VETA KUWASAIDIA VIJANA WA VIJIJINI

KATIKA kuunga mkono juhudi za Rais wa awamu ya tano Dk. John Pombe Magufuli katika kuwa na uchumi wa viwanda  hatimaye  kanisa la Mission to Unreached Area Church (MUAC) lililopo Mlandizi Wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani limeamua kujenga chuo cha ufundi stadi (VETA) kwa lengo la kuwawezesha  vijana wanaotoka katika maeneo ya vijijini ili waweze kujifunza fani mbali mbali ambazo zitawasaidia kupata ujuzi na kuanzisha viwanda vidogovidogo na kujiajiri wao wenyewe.
Kauli hiyo ilitolewa na  Askofu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Dkt. Kijaji akitaka chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kuwashawishi vijana kuishi vijijini

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kuhakikisha kuwa kinajielekeza kutatua changamoto zinazokwaza maendeleo ya wananchi vijijini ili kuwafanya vijana wengi wanaokimbilia mijini kutafuta maisha waweze kubaki kwenye vijiji vyao ambavyo vitakuwa vimepangwa vizuri na kupatikana huduma muhimu za jamii

Dkt. Kijaji ametoa rai hiyo mkoani Mwanza, baada ya kukagua maonesho ya bidhaa na huduma zinazotolewa na chuo hicho katika Kituo...

 

5 years ago

Michuzi

MH. PINDA AZINDUA CHUO CHA VETA NA KUKABIDHIWA NYUMBA YA WALIMU SAME

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa Kilimanjaro baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro Julai 20, 2014 kwa ziara ya siku moja wilayani Same.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Chuo cha Ufundi ( VTC) cha Maore wilayani Same Julai 21, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jaji Mstaafu, Amir Manento baada ya kukabidhiwa nyumba iliyojengwa na Jaji huyo kama mchango wake kwa Wananchi wa kijiji alichozaliwa cha Mtii. ...

 

5 years ago

Dewji Blog

Pinda azindua Chuo cha VETA na kukabidhiwa Nyumba ya Walimu Same

PG4A5283

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na viongozi wa mkoa Kilimanjaro baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro  Julai 20, 2014  kwa ziara ya siku moja wilayani Same.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5427

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la  Chuo cha Ufundi ( VTC)   cha Maore wilayani Same Julai 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5458

PG4A5682

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Jaji  Mstaafu, Amir Manento baada ya kukabidhiwa  nyumba iliyojengwa  na Jaji...

 

2 weeks ago

Michuzi

Ujenzi wa Chuo cha VETA Rukwa kuondoka na vigogo wa VETA na Wizara ya Elimu

Waziri wa Elimu nchini Prof. Joyce Ndalichako amethibisha kuunda kamati itakayoshughulikia namna mkandarasi anayeendelea na ujenzi wa chuo cha Ufundi Stadi (VETA) mkoani Rukwa alivyopata zabuni na kumtaka mkandarasi huo ajieleze sababu zilizopelekea kuidanganya serikali katika mkataba wake ulioonyesha uwepo wa vifaa vya kazi katika eneo la ujenzi huku eneo hilo likiwa tupu na kazi zake kufanyika bila ya wataalamu na vifaa vilivyoorodheshwa kwenye mkataba.
Ameongeza kuwa Kamati hiyo pia...

 

4 years ago

Michuzi

Magufuli afanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kibamba,Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini na Kibaha mjini jijini Dar leo.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Chalinze,Ndugu Ridhiwani Kikwete.Dkt Magufuli amefanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini,Kibamba na Kibaha mjini.Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha Ilani ya ccm kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijini .Nduggu Hamoud Abuu Jumaa.Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA alipojichanganya kwenye mkutano wa CCM,maara baada ya kuvutiwa na sera za Mgombea Urais...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi chuo cha Veta Geita kutumia bil. 6.7/-

MAMLAKA ya Veta Kanda ya Ziwa imesema zaidi ya sh bilioni 6.7 zitatumika katika ujenzi wa chuo cha mafunzo ya Ufundi Stadi na Huduma mkoani hapa. Hayo yalibainishwa hivi karibuni...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi chuo cha VETA Ludewa mbioni kuanza

NAIBU Waziri wa Elimu, Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, amesema serikali imeanza maandalizi ya ujenzi wa vyuo vya ufundi vya Wilaya ya Ludewa, Namtumbo, Kilindi, Chunya na Ukerewe. Mhagama alitoa...

 

2 years ago

Michuzi

UJUMBE WA CPC ULIPOKUTANA NA MANGULA DAR NA ULIPOTEMBELEA ENEO LA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA SIASA CHA MWALIMU NYERERE, KIBAHA

 Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kulia) akiongoza mazungumzo  baina yake na Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo Agosti 31, 2017. Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kulia) akiongoza mazungumzo  baina yake na Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, ...

 

2 years ago

CCM Blog

WAHANDISI WATAKAOSIMAMIA UJENZI WA CHUO CHA UONGOZI CHA JULIUS NYERERE MJINI KIBAHA WATEMBELEA OFISI NDOGO YA CCM, DAR, LEO

 Katibu msaidizi Mkuu katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Frank Uhahula akijadili jambo na Ofisa kutoka Ubalozi wa China hapa Nchini, baada ya kumpokea kwa ajili ya mazungumzo na mgeni huyo na ujumbe wa Wahandisi watakaosimamia ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kitakachojengwa Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi na makada kutoka vyama vya ukombozi kusini mwa Afrika walipotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani