DC LYANIVA AWAASA WATAALAMU WA MANUNUZI KUWA WAZALENDO

 Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva amewaasa Wanafunzi wanaosoma masuala ya Ununuzi na Ugavi katika chuo cha Uhasibu TIA  Kuwa Wazalendo pindi wanapofika katika maeneo yao ya kazi ili wawe mfano bora kwa Taifa.
Dc Lyaniva ameyasema hayo leo alipokuwa akifungua mafunzo ya Masuala ya ununuzi na Ugavi,yaliyoandaliwa na Bodi ya PSPTB kwa wanafunzi wa Chuo cha TIA ambao wanasoma masuala ya manunuzi.
"Msiwe na mawazo ya kufikiria kupata pesa za haraka haraka pindi mnapopata kazi,kwani mkiwa na moyo huo mtaangukia katika makosa ya uhujumu Uchumi ,jambo ambalo watu wengi wa taaluma yenu mwisho wa siku wamekuwa wakiangukia Polisi"amesema Dc Lyaniva.
Ameaongeza kwa kusema kuwa anapenda kuwambia kwamba Maadili yenye Uzalendo ndio nguzo ya Msingi  katika kufanya kazi, ndio Maana Rais wetu Dk John Magufuli amefanikiwa kubadilisha mambo mengi katika nchi kutokana na uzalendo wake. Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu cha TIA Kampasi ya Dar es Salaam, wanaosoma Masuala ya Manunuzi wakati wa Semina Maalum iliyoandaliwa na bodi ya Wataalam wa Manunuzi PSPTB Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Wataalam wa Manunuzi nchini, Godfred Mbanyi akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha uhasibu cha TIA ambao walikuwa wanapata Semina Maalum juu ya masuala ya Manunuzi. Kaimu Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Uhasibu TIA, Mugisha Kamala akizungumza kwa ajili ya kuwakaribisha wageni na Mkuu wa Wilaya ya Temeke katika Semina hiyo ya masuala ya Ununuzi na UgaviSehemu ya Wanafunzi waliohudhuria Mafunzo ya masuala ya Ununuzi na Ugavi kutoka PSPTB yaliyoendeshwa katika Chuo cha uhasibu TIA.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Naibu Katibu Mkuu Samataba awaasa walimu kuwa wazalendo

IMG_2555

Washiriki wa mafunzo ya ya kuwajengea uwezo Walimu na Wanafunzi katika Ufundishaji na Ujifunzaji kwa shule za sekondari (STEP)  wakifuatilia mafunzo hayo katika kituo cha Shule ya sekondari Kilangalanga iliyopo wilayani kibaha Vijijini mkoani Pwani.

IMG_2580

IMG_2587

Walimu nchini wametakiwa kuwa wazalendo kwa kuhakikisha wanawafundisha watoto katika muda wa ziada ili kuwaongezea uwezo wa ufaulu katika mitihani yao.

Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...

 

2 months ago

Michuzi

Waziri Mahiga awaasa Wabunge Wateule wa Tanzania kwenye Bunge la nne (4) la Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa Wazalendo na kusimamia maslahi ya Jumuiya

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga(katikati) akiongea katika kikao cha uongozi wa Wizara hiyo na Wabunge Wateule wa Tanzania kwenye Bunge la nne (4) la Jumuiya ya Afrika Mashariki, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, tarehe 12 Disemba 2017. Pembeni yake kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba na kulia ni Mwenyekiti wa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Bodi ya wataalamu wa manunuzi na ugavi yang’ara kimataifa

Bodi ya wataalam wa manunuzi na ugavi (PSPTB) imetunukiwa tuzo ya viwango vya kitaalamu vya kimataifa na International Federation of Purchasing and Supply Manangement (IFPSM) na kutambulika rasmi kimataifa kwa kuwa na vigezo vya utoaji huduma katika viwango vya kimataifa.

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa PSPTB, Bw. Clemence Tesha amesema tuzo hiyo imetolewa kwa PSPTB mwezi Februari mwaka 2016 na kuifanya PSPTB kuwa bodi ya kwanza barani Afrika...

 

2 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MWAKA WA WATAALAMU WA MANUNUZI NA UGAVI WAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi nchini(PSPTB)Dk Hellen Bandiho akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Wataalamu unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa AICC jijini Arusha na kusisitiza miiko ya uadilifu katika manunuzi ya umma na sekta binafsi.
Mjumbe wa Bodi ya Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi nchini(PSPTB)Ahmed Kilima akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Wataalamu unaofanyika kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa AICC...

 

2 years ago

Dewji Blog

Maafisa Wahasibu na wataalamu wa manunuzi na ugavi nchini watakiwa kujiepusha na vishawishi vya rushwa!

SAM_0202

KatibuMkuu Wizara ya Fedha,Bwana Servacius Likwelile akizungumza na wahitimu  wa taasisi ya Uhasibu kampas za Mwanza,Kigoma na Singida(Picha zote Na,Jumbe Ismailly) Na.Jumbe Ismailly [SINGIDA] Maafisa  Wahasibu pamoja na Wataalamu wa manunuzi na ugavi nchini wametakiwa kujiepusha na vishawishi au vitendo vya rushwa na ubadhirifu wawapo makazini,kutokana na vitendo vya rushwa na ubadhirifu kuwa na madhara makubwa kwa maisha ya mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa kwa ujumla.Katibu Mkuu Wizara...

 

7 months ago

Michuzi

MAMLAKA YA UDHIBITI NA MANUNUZI YADHAMIRIA KATIKA KUBORESHA MANUNUZI YA ZABUNI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
MAMLAKA  wa Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA)imejizatiti katika kufanya marekebisho ya sheria ikiwa ni katika kuboresha zaidi manunuzi ya zabuni kwa serikali.
Akizungumza wakati akitembelea banda la PPRA lililopo kwenye jengo la Wizara ya Fedha na Mipango, Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA Dkt Laurent Shirima amesema kuwa maboresho hayo yatalenga katika sehemu tano ambazo zitaboresha manunuzi ya zabuni katika nyanja mbalimbali.
Dkt Shirima amesema kuwa wataboresha...

 

1 year ago

Michuzi

WATAALAMU WA TEHAMA WATAKIWA KUWA NA MAADILI.

 Naibu Waziri  Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani  akiongea na wataalam wa Tehama wakati wa uzinduzi wa mkutano wa siku moja wa wataalamu hao uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Mawasiliano Prof. Faustine Kamuzora  akiongea na wataalam wa Tehama wakati wa uzinduzi wa mkutano wa siku moja wa wataalamu hao uliofanyika jijini Dar es Salaam leo. Naibu Waziri  Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na...

 

1 year ago

CCM Blog

SHEIKH MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, AWAASA VIONGOZI WA SIASA, AWATAKA KUWA WAVUMILIVU

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum
Na Sheila Simba-MAELEZOSheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ametoa wito kwa viongozi wakisiasa Nchini, kuwa wavumilivu ili kulinda Amani ya Nchi.


 Sheikh Alhad ameyasema hayo leo, ofisini kwake, jijini Dar es Salaam ambapo amewataka viongozi hao kutii mamlaka iliyoko kwani mamlaka hiyo imewekwa na Mungu na hivyo ni vema kutafuta njia nyingine kumaliza matatizo yanapotokea.


“Ipo haja ya kuvumiliana kwa ajili ya Taifa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani