DC NDEJEMBI ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KATIKA KIJIJI CHA SILWA KATA YA PANDAMBILI NA KUMUAGIZA MKURUGENZI KUMSIMAMISHA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI CHA SILWA.

Leo (jana) baada ya shuguli ya kuadhimisha miaka 17 toka Mwalimu Nyerere afariki, DC Ndejembi na Mkurugenzi wa Halimashauri ya Wilaya ya Kongwa Ndg Izengo walifanya ziara ya kushtukiza katika Kijiji Cha Silwa kata ya Pandambili Baada ya kupata taarifa kuna uchimbaji wa madini aina ya KONISUPHIRE unaofanyika na wafanyabiashara bila kua na vibali vyovyote. 
Baada ya kufika eneo la tukio wakabaini mtendaji wa kijiji Ndg Michael Boniface Magenje alitoa eneo bila kutoa nakala kwenye Kata wala...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Mkurugenzi Igunga awasimamisha kazi afisa Ugani,Mtendaji wa kata na wa Kijiji

web2
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Igunga REVOCATUS KUULI amewasimamisha kazi Afisa Ugani wa kata ya Itunduma, Mtendaji wa kata na mtendaji wa kijiji cha itunduma kwa madai ya kushindwa kutekeleza majukumu yao katika kusimamia kilimo cha pamba.

Hatua hii imefuatia mara baada ya mkuu wa mkoa wa Tabora AGGREY MWANRI kufanya ziara wilayani humu ili kukagua mashamba ya Pamba na kubaini uzembe mkubwa unaofanywa na viongozi hao alipojionea maotea ya pamba ambayo yameota na kupaliliwa...

 

2 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA MAENDELEO YA JAMII AWAONGOZA WANANCHI WA KIJIJI CHA MONDO KUSHIRIKI KATIKA UJENZI WA KITUO CHA AFYA CHA KATA YA MONDO, MISUNGWI.


Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WAMJW
Sera ya Maendeleo ya Jamii pamoja na mambo mengine, inaelekeza jamii kushiriki kazi za kujiletea maaendeleo yao wenyewe maana jamii ndiyo kitovu cha maendeleo.
Kwa kutambua hilo, Mkurugenzi wa Maendelo ya Jamii Bw. Patrich Golwike ametembelea katika Kijiji cha Mondo, Kata ya Mondo, kilichopo katika Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kuhamsha ari ya wananchi kushiriki katika ujenzi wa jengo la Kituo cha Afya cha kijiji chao.Bw. Golwike alibainisha...

 

2 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA MAENDELEO YA JAMII AONGOZA UCHIMBAJI WA LAMBO KATIKA KIJIJI CHA MANGHANGU, MPWAPWA DODOMA


Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW
Serikali imeadhimia kuwa Sera ya Maendeleo ya Jamii ya mwaka 1996, inatekelezwa kikamilifu na inafuatilia utekelezaji wa Sera hiyo katika ngazi ya mikoa, Wilaya, Kata na Vijiji mbalimbali hapa nchini.
Akiongea na wananchi wa Kijiji cha Manghangu, kilichoko Kata ya Vinghawe Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike amesema Sera hiyo imeweka wazi kuwa wananchi ndiyo kitovu cha maendeleo maana...

 

2 years ago

Michuzi

WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA LORI KIJIJI CHA KATIKA KIJIJI CHA KIJOTA, SINGIDA.

Watu sita wamefariki dunia huku wengine 42 wakijeruhiwa baada ya lori lenye namba za usajili T.806 AEL aina ya scania mali ya Abdalla Mussa (39) mfanyabiashara mkazi wa Mwenge mjini Singida, kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kijota, Singida.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Debora Magiligimba amesema ajali hiyo imetokea Agosti 27 mwaka huu saa 1.30 usiku katika kijiji cha Kijota wakati likitokea mnadani katika kijiji cha Mtinko Singida vijijini, likielekea Singida mjini.
ACP...

 

2 years ago

Michuzi

WANAOPISHA MRADI MKUBWA WA UCHIMBAJI MADINI YA ‘KINYWE’ KIJIJI CHA EPANKO KUFAIDIKA KWA KUJENGEWA NYUMBA ZA KISASA ENEO MBADALA


Na John Nditi, Ulanga.
KAMPUNI ya TanzGraphite imesema itawajengea nyumba zenye hadhi ya juu kaya za  kijiji cha Epanko, wilayani Ulanga , mkoani Morogoro  zinazohama kwa kupisha mradi mkubwa wa uchimbaji wa madini ya Kinywe (Graphite) na itahakikisha kuwa,  maisha ya watu wanaohama yanabaki kama ilivyokuwa awali ikiwa na  kuboreshwa zaidi.
Meneja Mahusiano wa TanzGraphite, Bernard Mihayo , alisema hayo kwenye taarifa ya Kampuni hiyo  katika  kikao cha tisa cha kikosi kazi kilichokutana...

 

3 years ago

Michuzi

sherehe ya kimila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha

​Mheshimiwa William Ole Nasha (MB) Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi na Msemaji Mkuu wa CCM Ndg Christopher Ole Sendeka wahudhuria sherehe ya kimila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha nyumbani kwa mhe Diwani Saimon. Msemaji Mkuu wa CCM Ndg Christopher Ole Sendeka akiongea na wananchi katika  sherehe ya kimila zilizofanyika katika Kijiji cha Lumba,Kata ya Gelai Lumbwa, Mkoani Arusha nyumbani kwa mhe Diwani Saimon.​Mheshimiwa William Ole Nasha (MB)...

 

5 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Mkazi wa OXFAM Tanzania Jane Foster atembelea kijiji cha Maisha Plus na kujionea kazi za ujasiriamali

Untitled

Wanakijiji wa Kijiji cha Maisha Plus ambao ni Vijana wa Maisha Plus pamoja na Mama shujaa wa Chakula wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Oxfam Tanzania Jane Foster ambaye hayupo.

Untitled 1

 Kutoka Kulia ni Mkurugenzi wa Oxfam Tanzania Jane Foster, Mkamiti Mgawe wa Oxfam na Babu kutoka kijiji cha Maisha Plus Rajabu Msumi  wakiongea na washiriki wa Maisha Plus na Mama Shujaa wa Chakula.

Untitled 2

Mkamiti Mgawe wa tatu kutoka kushoto akimtambulisha Malkia wa Kijiji cha Maisha Plus kwa Mkurugenzi wa Oxfam...

 

5 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...

 

3 years ago

Channelten

Hali ya Utawala Bora Vijijini, Kijiji cha Ngunja hakifanyi Mikutano ya kijiji

lindi

Kijiji cha Ngunja wilayani Liwale mkoani Lindi, licha ya kutofanya mikutano ya kijiji,mapato yake yanayokusanywa hutunzwa na mwanakijiji mmoja aliyeaminiwa na halmashauri ya kijiji hicho kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.

Hayo yamebainika kufuatia ufuatiliaji wa mradi wa kilimo biashara Lindi na Mtwara (LIMAS) kwa Kushirikiana na Mtandao wa jamii wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu Tanzania (MJUMITA), walipokutana na wanajamii ili kujua utekelezaji wa ssimamizi shirikishi na Endelevu wa Misitu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani