DC SHINYANGA AFUNGUA WARSHA YA MASUALA YA JINSIA KWA WALIMU ILIYOANDALIWA NA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mheshimiwa Josephine Matiro amefungua warsha maalumu kwa walimu wa shule za msingi na sekondari zilizopo katika manispaa ya Shinyanga kwa ajili ya kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya jinsia.

Warsha hiyo iliyoandaliwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Shinyanga kwa ufadhili wa benki ya CRDB tawi la Shinyanga imefanyika leo Jumatatu Mei 14,2018 katika chuo hicho mjini Shinyanga kwa kukutanisha walimu 100.
Warsha hiyo ni sehemu ya Mpango Maalumu uliobuniwa na...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA KITIVO CHA BIASHARA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM WANUFAIKA NA SEMINA MAALUM YA MASUALA YA BIASHARA ILIYOANDALIWA NA VODACOM TANZANIA

Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa masomo ya biashara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Zahra Ramadhani(kulia) akielezewa jambo na mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Habibu Ngosha ,kuhusiana na simu aina ya Smart Phone wakati Semina maalum ya mafunzo ya Kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya biashara hapo jana chuoni hapo. Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania,Samson Mwongela akimkabidhi zawadi mmoja wa wanafunzi wanaosoma masomo ya...

 

1 year ago

Malunde

Picha : DC SHINYANGA AFUNGUA WARSHA YA WADAU WA MAJI NA MAZINGIRA ILIYOANDALIWA NA SHIRIKA LA UJERUMANI 'GIZ' NA SHUWASA


Mshauri wa Maji na Mazingira kutoka Shirika la Maendeleo la Ujerumani ‘GIZ’, Tina Eisele akielezea kuhusu mradi wa maji safi na mazingira katika maeneo ya wananchi wenye kipato cha chini unaotekelezwa na shirika hilo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Shinyanga (SHUWASA) katika kata ya Ndala na Masekelo manispaa ya Shinyanga - Picha na Kadama Malunde - Malunde1 blog
**Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefungua warsha ya wadau wa maji na mazingira...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mafunzo ya Tehama kwa walimu chini ya UNESCO yazinduliwa Chuo Kikuu Huria, Dar

MAFUNZO kwa walimu watakaotumia teknolojia ya mawasiliano na habari (Tehama) kufundisha masomo ya sayansi ikiwamo hesabu yamefunguliwa katika maabara za Chuo Kikuu Huria jijini Dar es salaam.

Mafunzo hayo yanayohusisha walimu kutoka Vyuo vya Monduli, Tabora na Morogoro yamelenga kuoanisha ufundishaji na matumizi ya Tehama katika program ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ya kuboresha  elimu Tanzania kupitia ufadhili wa taifa la China.

Programu hiyo...

 

4 years ago

Michuzi

walimu wala nondozzz Chuo Kikuu Huria

 ILIKUWA ni furaha isiyoelezeka pale Mwalimu Eliza Mhule wa Shule ya Msingi Mtoni , Manispaa ya Temeke pale alipotunukiwa shahada yake ya kwanza ya Ualimu iliyotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kwenye Mahafali yalifanyika hivi karibuni katika mji mdogo wa Kibaha Mkoani Pwani hivi Karibuni. Katika picha Eliza yupo katika picha ya pamoja na watoto wake David Keasi (kushoto), Brian (katikati) na Aaron (kulia) Walimu wa Shule ya Msingi  Mtoni katika Manispaa ya Temeke wakiwa katika...

 

4 years ago

Michuzi

Mahfali ya 26 ya chuo Kikuu Huria cha Tanzania yafana

Na Othman Khamis Ame Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewahimiza Watanzania kuitumia fursa inayotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania { CKHT } katika kujipatia Taaluma huku wakiendelea na shughuli zao za kazi,ajira binafsi au kifamilia kama kawaida. Alisema wakati chuo hicho cha umma kinapotoa nafasi nzuri zaidi kwa Watanzania kupanua wigo wao wa elimu ya juu ni vizuri kwa wananchi kuitumia nafasi hiyo mapema...

 

4 years ago

Michuzi

wapiganaji walamba nondozzz Chuo kikuu huria cha Tanzania (OUT)

Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya ametunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Science and Public Administration), baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu. Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani.  Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA KUINGIA USHIRIKIANO RASMI NA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA

Kamishna Jenerali wa Magereza John Minja (kushoto) akisaini kitabu cha wageni mara alipowasilishwa katika ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) Prof. Tolly Mbwete (kulia). Kamishna Jenerali wa Magereza John Minja (wa pili kulia) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) Prof. Tolly Mbwete (wa tatu) wakisani hati za makubariano ya ushirikiano kati ya Taasisi hizo mbili. Wakwanza kulia ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza nchini Dkt Juma...

 

4 years ago

Dewji Blog

Wasichana 22 waliokuwa katika mazingira magumu wahitimu Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

kkNaibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno fupi kwa niaba ya wahitimu wa mafunzo hayo katika chuo Kikuu Huria cha Tanzania, jijini Dar es salaam 

Na erasto Ching’oro

 Wasichana 22 kutoka mazingira hatarishi wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, ususi wa nywele na urembo katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani