DC TUNDURU ATOA MAAMUZI MAGUMU KWA WAFUGAJI, AWAPA RUNGU WANANCHI

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Juma Homera ametoa maamuzi juu ya wafugaji ambao wameshindwa kufuga mifugo yao na badala yake wamekuwa wakiiachia inalalanda hovyo barabarani jambo linaloweza kusababisha ajali na kuharibu mazao mashambani.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Yanga yafanya maamuzi magumu kwa Mbuyu Twite

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara, Yanga wamethibitisha rasmi kuachana na mchezaji wao Mbuyu Twite na nafasi yake kuchukuliwa na Justine Zulu wa Zambia.

img_0398

Baraka Deud Edith amethibitisha kuachwa kwa Twite wakati alipokuwa akiongea na Radio EFM katika kipindi cha Sports HQ.
Aidha sheria za TFF kwa timu za ligi kuu zinasema kuwa kila timu ya ligi kuu inapaswa kusajili wachezaji wasiozidi saba, hivyo Yanga walikuwa na wachezaji nane.

Mkataba wa mchezaji huyo unamalizika mwezi huu wa...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima …

Baada ya stori za muda mrefu kuhusu kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Yanga Haruna Niyonzima, uongozi wa klabu hiyo December 28 umetangaza maamuzi mapya baada ya awali kutangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Yanga wamefikia maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo huyo, baada ya kukaa na kufikiria kwa […]

The post Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima … appeared first on...

 

2 years ago

Mwananchi

Simbachawene awapa rungu Ma-RC, DC kutumbua

Serikali imebariki kazi zinazofanywa na wakuu wa mikoa na wilaya ikiwemo kuwatumbua na kuwashusha vyeo baadhi ya watumishi ingawa imekiri kuwa kuna baadhi ya maeneo kama binadamu hukosea.

 

5 years ago

Habarileo

Kinana awapa rungu wabunge CCM

KATIBU Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana amewapa rungu wabunge wa chama hicho, kwa kutaka wahakikishe hawapitishi kila kitu, hasa sheria zinazowasilishwa bungeni na mawaziri, wakibaini hazina maslahi kwa wananchi na taifa kwa ujumla.

 

3 years ago

Mwananchi

Kinana awapa rungu wabunge wa Chama cha Mapinduzi

CCM imewataka wabunge wake kuikomalia Serikali badala ya kupongeza kila kitu kinachofanywa na mhimili huo ili kusimamia masilahi ya wananchi, habari kutoka ndani ya semina ya kuwanoa kujiandaa kwa Mkutano wa Pili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, zimeeleza.

 

4 years ago

Raia Mwema

Watu wa maamuzi magumu

MPAMBANO wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu utahusisha wagombea wawili ambao wana sifa mo

Ezekiel Kamwaga

 

3 years ago

Habarileo

Maamuzi magumu Simba

KWA maamuzi yoyote yatakayoamuliwa leo kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Simba juu ya kuuza hisa za klabu hiyo kwa mfanyabiashara bilionea Mohamed Dewji (Mo) itakuwa ni kufanya maamuzi magumu.

 

3 years ago

CHADEMA Blog

Lowassa awapa masharti magumu polisi

ALIYEKUWA mgombea Urais wa Chadema, Edward lowassa, amelitaka jeshi la Polisi nchini kuwachukulia hatua wale wote wanadaiwa kumuua, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo na kwamba kama hawatafanya hivyo, watachukua hatua wao wenyewe.Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Kauli hiyo ameitoa ikiwa ni siku mbili sasa tangu Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, kutoa hukumu

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani