DC Ukerewe aomba kivuko

ESTOMIAH Chang’ah, Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, ameiomba Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kwa wakazi wa kisiwa cha Ukara wilayani humo, anaandika Moses Mseti. Aprili 14 mwaka huu, kivuko cha MV Ukara kilizimika katikati ya Ziwa Victoria kikiwa na abiria kitendo ambacho kiliibua taharuki na ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

2 years ago

Mwananchi

Kipindupindu chaibuka Ukerewe

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, Cosmas Kilasala jana alilazimika kuitisha kikao cha dharula cha maofisa afya na mazingira kuweka mikakati ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

 

3 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Kinana Ukerewe

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia wakazi wa kijiji cha Sambi kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe waliojitokeza kwa wingi kumpokea ,Kinana ameweka historia kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufika katika kisiwa hicho akiwa kwenye ziara ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi pamoja na kukagua uhai wa Chama.

19

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimina na mmoja wa wakazi wa kata ya Irungwa.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

3 years ago

Vijimambo

kinana wilayani ukerewe

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kakukuru,Ukerewe ikiwa siku ya mwisho ya ziara yake mkoani Mwanza.Katibu Mkuu amekamilisha ziara ya kutembelea majimbo yote ya Uchaguzi nchi nzima ambapo amejionea utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi unavyooendelea pamoja na uhai wa Chama Cha Mapinduzi.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Magessa Mulongo akihutubia wakazi wa Kakukuru wilayani Ukerewe.Wakazi wa Kakukuru ,Ukerewe wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana...

 

3 years ago

Habarileo

Ukerewe kuhamasishwa wasiuze ardhi

HALMASHAURI ya Wilaya ya Ukerewe, inakusudia kuhamasisha wananchi katika wilaya hiyo kutambua thamani ya ardhi yao, ikiwa ni mkakati wa kutumia rasilimali hiyo kukabili umasikini.

 

3 years ago

Habarileo

Uandikishaji waanza vyema Ukerewe

UANDIKISHAJI katika Daftari la Kudumu la Wapirakura katika wilaya ya Ukerewe, Mwanza umenza vyema juzi na tayari umeanza kuzidi lengo la siku.

 

4 years ago

Habarileo

Ukerewe kukabiliana na uvuvi haramu

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza limetangaza kuwa tatizo la uvuvi haramu, hasa wa kutumia sumu ni janga, hivyo kupitisha azimio la kulikabili.

 

2 years ago

TheCitizen

Ukerewe moves to curb cholera

Sh2.1 billion for waste recycling equipment

 

2 years ago

Mtanzania

Ukerewe yapata gari la zimamoto

zimamoto

Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe imepata gari la zimamoto kukabiliana na majanga ya moto  katika wilaya hiyo inayozungukwa na visiwa zaidi ya 30 ndani ya Ziwa Victoria.

Kamishna Msaidizi wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza, James Mbate, alieleza kwamba gari hilo limetolewa na Serikali ya   Japan kwa lengo la kukabiliana na majanga ya moto yatakapojitokeza ukizingatia jiografia ya wilaya hiyo kuwa na visiwa vingi.

Kamanda alisema  Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe,  Estomih Chang’a na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani