DED MBINGA ATUMBUA WATUMISHI 10 WA IDARA YA AFYA

Na Mwandishi Wetu MbingaMKURUGENZI Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Gombo Samandito,amewasimamisha kazi watumishi kumi wa idara ya Afya akiwemo mganga mkuu wa halmashauri hiyo Dkt Hussen Sepoko.
Watumishi hao  kwa pamoja wamesimamishwa kazi kutokana na matumizi mabaya ya fedha   zaidi ya shilingi milioni 11, 270,000/= zilizotolewa na shirika lisilokuwa na kiserikali la Waterled  kwa ajili ya kufanikisha mpango wa kutoa elimu ya Afya kwa wananchi kinyume na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Mapema asubuhi ya leo Dkt. Kingwangalla atumbua majipu ya watumishi wachelewaji wa Wizara ya Afya

IMG_9118

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akiwaamrisha askari wa getini wizarani hapo kuweka kufuli na kutoruhusu mtumishi yoyote wa ofisi hiyo kuingia ndani ya ofisi za wizara ilipotimu saa 1:32 asubuhi mapema leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

IMG_9122

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akisimamia zoezi la ufungwaji wa geti hilo, Kulia ni askari wa SUMA JKT akiweka kufuli...

 

3 years ago

Michuzi

MAPEMA ASUBUHI YA LEO DKT. KINGWANGALLA ATUMBUA MAJIPU YA WATUMISHI WACHELEWAJI WA WIZARA YA AFYA

IMG_9172Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akipitia mahudhurio ya watumishi wa wizara kwa siku zilizopita.IMG_9181Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akipitisha mstari wa kufunga mahudhurio kwa watumishi ambao wameripiti kabla ya saa 1:30 asubuhi ya leo.IMG_9198Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akiendelea na zoezi hilo la kupitisha mstari...

 

3 years ago

Habarileo

Upungufu wa watumishi idara ya afya ni asilimia 52

SERIKALI inakabiliwa na upungufu wa watumishi katika idara ya afya kwa zaidi ya asilimia 52 ya mahitaji ya vituo vyote vya kutolea huduma nchini.

 

3 years ago

StarTV

Watumishi sita idara ya afya Singida wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa sh. mil. 145.1.

 

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Christopher Ngubiagai amewasimamisha kazi watumishi sita wa idara ya afya na kuagiza wakamatwe na kufunguliwa mashitaka kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ubadhirifu wa shilingi milioni 145.1 za Mfuko wa Afya ya jamii.

Watumishi wanaokabiliwa na tuhuma hizo ni aliyekuwa Mganga Mkuu wa Wilaya Dokta Japhert Simeo, Kaimu Mganga Mkuu Dokta Timoth Sumbe, Katibu wa Afya wa Wilaya Kalebi Ngughu, Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii Sylveri...

 

2 years ago

Malunde

SERIKALI KUAJIRI WATUMISHI WAPYA IDARA YA AFYA KUZIBA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI NA WENYE VYETI FEKI

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahidi kuajiri watumishi wa idara ya afya ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi na watumishi ambao wameondolewa katika utumishi wa umma kwa kukosa sifa ya kuwa na vyeti halisi baada ya zoezi la uhakiki wa vyeti nchini.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameyasema hayo jana wakati wa maadhimsho ya Siku ya Wauguzi Duniani ambapo kitaifa imefanyika katika hospitali ya St. Gasper,...

 

2 years ago

Mwananchi

Madiwani watimua watumishi wanne Mbinga

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mbinga Vijijini limewafukuza kazi watumishi wanne na kumvua madaraka mtumishi mmoja.

 

3 years ago

Michuzi

DED BUNDA AMSIMAMISHA KAZI MTUMISHI WA IDARA YA ARDHI NA MIPANGO MIJI.

Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara, Bibi. Janeth Mayanja akiwa ofisini kwake.
Na. Immaculate Makilika- MAELEZO.MKURUGENZI Mtendaji  wa Halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara, Bibi. Janeth Mayanja amemsimamisha kazi mtumishi wa Idara ya Ardhi na Mipango Miji kwa kosa la kujipatia fedha kinyume na taratibu za utumishi wa umma.
Akizungumza leo mjini Bunda wakati wa tukio hilo, Bibi. Mayanja alisema kuwa ameamua kumsimamisha kazi  kwa muda, Bw.Eliudi Haonga ambaye ni...

 

3 years ago

Mwananchi

DED alia na watumishi kutofikisha pembejeo

Busega. Mkuu wa Wilaya ya Busega, Mkoa wa Simiyu, Tano Mwera amesema kuna baadhi ya watumishi wamehusika na usambazaji wa pembejeo, lakini hazikuwafikia wananchi licha ya vocha kusainiwa na kupelekwa maeneo husika.

 

2 years ago

Dewji Blog

DED Ileje awafukuza kazi watumishi wawili wa Serikali

BARAZA la Madiwani Wilayani Ileje limebariki kufutwa kazi kwa watumishi wawili wa Halmashauri hiyo kutokanana makosa ya wizi wa mamillioni ya fedha za wafadhili za mradi wa UKIMWI wa water reed

Akizungumza wakati wa kufungwa kwa Baraza hilo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje Ubatizo Songa amesema kuwa, wameamua kuchukua uamuzi huo mara baada ya kuridhishwa na uchunguzi uliofanywa na kamati ya uchunguzi iliyoundwa na Ras wa Songwe na kubaini kuwa, Mganga Daraja la pili Josephat...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani