DED MNASI AKAGUA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA SHULE ZA MSINGI WILAYA YA ILEJE

Na Fredy Mgunda,Ileje 
HALMASHAURI ya wilaya ya Ileje mkoani songwe imetumia zaidi ya shilingi milioni mia moja themanini katika ujenzi wa madarasa kwa kutumia fedha za EPFR ambazo hutolewa na serikali kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu kwa shule za msingi.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukagua miradi hiyo,mkurugenzi wa Ileje Haji Mnasi alisema kuwa jukumu la uongozi ni kuhakikisha kuwa pesa inayotolewa na serikali inatumika kama ilivyokusudiwa na serikali kuu kwa faida ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Mkuu wa wilaya Iringa Mhe Richard Kasesela akagua ujenzi wa madarasa na mabweni shule ya sekondari Tagamenda

Mkuu wa wilaya Iringa Mhe Richard Kasesela leo amefanya ziara ya kukagua madarasa na mabweni katika shule ya sekondari Tagamenda ikiwa ni maandalizi ya kupokea kidato cha 5 mwezi wa 7. Katika ziara yake aliyo ambatana na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Bwana Omar Mkangaa, Mhe Kasesela aliagiza kasi ya ujenzi wa madarasa hayo na mabweni iongezeke ikiwezekana wajenge hata usiku ili tuweze kupokea wanafunzi wa kidato cha 5, huku akisisitiza kwamba mpaka sasa fedha za ujenzi zimeishapatikana...

 

2 years ago

Michuzi

WILAYA YA HAI WAZINDUA KAMPENI YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA MADARASA KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said mecky Sadiki akishiriki katika uchimbaji wa msingi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule ya msingi Msamadi ,uchimbaji ulioenda sanjari na uzinduzi rasmi wa kampeni ya kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa katika wilaya ya Hai. Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akishiriki kuchimba msingi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule ya msingi Msamadi iliyopo wilayani Hai. Kaimu Katibu Tawala wa wilaya ya Hai,Juliet Mushi...

 

2 years ago

Michuzi

DED ILEJE AKAGUA MRADI WA UMWAGILIAJI KATIKA HALMASHAURI YAKE

Na Fredy Mgunda, Ileje: Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Ileje Mkoani Songwe, Haji Mnasi amefanya ziara ya kushtukiza kukagua miradi ya maendeleo ambayo inatekelezwa kutokana na ilani ya chama cha mapinduzi CCM ya mwaka 2015/20 chini ya uongozi wa chama cha mapinduzi CCM taifa.
Mkurugenzi wa Ileje Haji Mnasi akisikiliza maelezo ya
mradi huo kutoka kwa wataalamu ambao pia ni
wafanyakazi wa halmashauri ya Wilaya ya Ileje.Akizungumza wakati wa kukagua mradi wa ukaguzi wa maendeleo ya...

 

3 years ago

Michuzi

Mbunge wa Jimbo hilo James Ole Millya Aongoza HARAMBEE ya ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi Ormet

 Diwani wa kata ya Naberera Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Haiyo Yamati Mamasita (kushoto) na Mbunge wa Jimbo hilo James Ole Millya (katikati) wakiwasili uwanjani kwa ajili ya wakiendesha harambee ya ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi Ormet, ambapo sh29 milioni zilipatikana. Diwani wa kata ya Naberera Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Haiyo Yamati Mamasita (kulia) na Mbunge wa Jimbo hilo James Ole Millya wakiendesha harambee ya ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi Ormet, ambapo sh29...

 

2 years ago

Michuzi

MEYA WA JIJI LA DAR KUCHANGIA MABATI NA MIFUKO YA SARUJI 100 UJENZI WA MADARASA YA SHULE YA MSINGI MAWENI, KIGAMBONI

MEYA wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita ameahidi kuchangia mifuko 100 ya Saruji pamoja na Mabati 100 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi Maweni iliyopo Kata ya Mjimwema wilayani Kigamboni. Shule hiyo ambayo inaupungufu mkubwa wa madarasa pamoja na uzio wa shule , inajumla ya wanafunzi 1300 ikiwemo na wale wenye ulemavu.
Akizungumza katika hafla hiyo  ya chagizo kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, Meya Isaya alisema kwamba hatua hiyo ni kwa ajili ya kuzisaidia shule ambazo...

 

1 year ago

Michuzi

MBUNGE MGIMWA ATUMIA MAMILIONI UJENZI WA MADARASA YA SHULE ZA MSINGI, ZAHANATI NA NYUMBA ZA WAFANYAKAZI KATIKA KIJIJI KIBENGU

Na Fredy Mgunda,Mufindi Kaskazini. 
Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini kwa kushirikiana na wananchi wa kijiji cha Kibengu wametumia jumla ya shilingi milioni mia moja kumi na tisa na laki mbili (119,200,000) katika ujenzi wa madarasa ya shule,zahanati na nyumba za wafanyakazi wa zahanati na walimu wa shule zilizopo katika kijiji hicho lengo likiwa katika kuboresha sekta ya elimu na afya kwa wananchi.
Akizungumza na wananchi katika kijiji hicho mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahamuod...

 

2 years ago

Michuzi

DC Kanali Ndagala kuwachukulia hatua watakaoshindwa kumaliza miradi ya ujenzi wa shule kwa wakati wilayani Kakonko,mkoani Kigomamizi wa miradi ya ujenzi wa vyumba vya shule

Na Rhoda Ezekiel Kigoma, MKUU wa Wilaya ya Kakonko, Kanali Hosea Ndagala ameahidi kuwachukulia hatua wasimamizi wa miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, endapo watashindwa kukamilisha miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa muda muafaka kutokana na changamoto iliyopo ya upungufu wa vyumba vya madarasa kutatuliwa.

Maagizo hayo aliyatoa jana wakati akikagua ujenzi wa madarasa manne na ofisi mbili katika Shule ya Msingi Kakonko Wilayani humo, ambapo alibaini kuwepo kwa tatizo la...

 

3 years ago

Michuzi

SERIKALI KUGHARAMIA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA NA UKARABATI SHULE ZA MSINGI NYAMILIMA NA ILEEGA WILAYANI KYERWA MKOANI KAGERA

Na Benedict Liwenga-MAELEZO.
Serikali imepanga kuijenga shule ya msingi ileega na kufanya ukarabati wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya msingi Nyamilima zote zilizopo wilayani kyerwa mkoani Kagera kufuatia uharibifu uliotokana na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani huko mapema mwezi September.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya alipofanya ziara wilayani huko kuangalia athari za tetemeko katika sekta na...

 

2 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA UBUNGO AAGIZA KUANZA UJENZI WA MADARASA MANNE NA VYOO VYA SHULE YA SEKONDARI MBURAHATI

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe Kisare Makori Leo Jumatano, Mei 24, 2017 ameiagiza Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo inayoongozwa na Ndg John Lipesi Kayombo kuanza mchakato wa ukamilisho wa ujenzi wa Madarasa manne katika shule ya Sekondari Mburahati iliyopo Katika Mtaa wa Barafu, Kata ya Mburahati Jijini Dar es salaam.
Sambamba na Agizo hilo pia ameagiza kujengwa vyoo vya wanafunzi kutokana na uchache wa vyoo vilivyopo ili kukabiliana na wingi wa wanafunzi.
Mkuu wa Wilaya ametoa agizo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani