Dhuluma wanazopitia uarabuni wafanyakazi wa nyumbani kutoka Tanzania

Karibu wote walipokonywa pasipoti zao walipowasili na kulazimiswa kufanya kazi hadi masaa 21 kwa siku bila kupumzika.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

BBCSwahili

HRW inadai wafanyikazi wa nyumbani kutoka Tanzania wananyanyaswa Uarabuni

Mamlaka nchini Tanzania imezuia uzinduzi wa ripoti kuhusu unyanyasaji wa wafanyikazi wanawake kutoka taifa hilo wanaofanya kazi katika mataifa ya Uarabuni

 

11 months ago

Zanzibar 24

Dhuluma wanazozipata Watanzania wanaofanya kazi Uarabuni

Kwa mujibu wa shirika la kutetea haki za binadamu, Human Rights Watch (HRW) limeripoti kuwa  wafanyakazi wa kike kutoka nchini Tanzania ambao wapo nchini Oman na milki ya nchi za kiarabu UAE, wanadhulumiwa kimwili na kingono, wakiwa wanafanya kazi masaa mengi na wakilipwa mishahara midogo.

Kwenye ripoti iliyotelewa leo, HRW ilisema kuwa kuna maelfu ya wafanyakazi wa nyumbani kutoka Tanzania wako nchini Oman na UAE.

Watafiti wake waliwahoji 50 kati yao na kugundua kuwa karibu wote...

 

1 year ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa Burundi waanza kurejea nyumbani kutoka Tanzania

Wakimbizi 302 wa Burundi ambao wamekuwa wakiishi katika nchi jirani ya Tanzania wamerejea nchini mwao hivi leo kutoka kambi ya Nduta wilaya ya Kibondo mkooani Kigoma.

 

2 years ago

BBCSwahili

Kampeni ya kupinga dhuluma za jinsia Tanzania

Kampeni ya siku 16 kuhamasisha jamii kuachana na dhuluma za jinsia imekamilika mwishoni mwa juma nchini Tanzania.

 

4 years ago

BBCSwahili

Marufuku kutoa wafanyakazi wa nyumbani UG

Bunge nchini Uganda limepitisha azimio ambalo linazuia usafirishwaji wa mabinti na wanawake kwenda kufanya kazi nje ya nchi hiyo .

 

1 year ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI DEI), UWANJA WA UHURU DAR ES SALAAM PAMOJA NA HAFLA YA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI

Aliyekuwa Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta  ambaye anajiandaa kustaafu, Bw. Fortunatus Kapinga akizungumza wakati wa kuwatuza wafanyakazi hodari wa shirika. Kushoto ni Kaimu Postamasta Mkuu mpya, Deo Kwiyukwa na kulia ni Meneja wa Fedha, Cyprian Mugemuzi.Kaimu Postamasta Mkuu mpya wa Shirika la Posta, Bw. Deo Kwiyukwa akiwa na baadhi ya watendaji washirika hilo, wakiimba wimbo wa wafanyakazi wa mshikamano.  Mmoja wa wafanyakazi wa shirika la Posta, Zainabu Ukwaju akigogesha glasi na...

 

1 year ago

Malunde

SENSA YA WAFANYAKAZI WA NYUMBANI KUFANYIKA MKOANI MWANZA

Jackline Ngalo ambaye ni Mwanasheria wa shirika la kutetea Haki za watoto wafanyakazi wa nyumbani nchini, WOTESAWA, akizungumza na Lake Fm, baada ya semina kwa viongozi wa serikali za Kata/Mitaa pamoja na wadau wengine wa maendeleo katika wilaya za Ilemela na Nyamagana mkoani Mwanza ili kuwajengea uwezo wa kutetea haki za watoto wafanyakazi wa nyumbani katika maeneo yao.
Na Binagi Media GroupSemina kwa viongozi wa serikali za Mitaa pamoja na wadau wengine wa maendeleo katika wilaya za Ilemela...

 

3 years ago

Michuzi

UNESCO YAAHIDI KUSAIDIA TANZANIA KUKABILI DHULUMA DHIDI YA WANAOISHI NA ALBINISM

SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeahidi kusaidia mapambano dhidi ya unyanyasaji na dhuluma zinazofanywa jamii dhidi ya watu wenye albinism.  Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na Kiongozi wa ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues wakati akizungumza na mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo.  Mwakilishi huyo wa Unesco amesema hayo alipomtembelea Mkuu wa mkoa kumsalimia na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani