DIAMOND AELEZA BIFU YAKE NA ALI KIBA ILIVYOSUKWA ‘KUMUUA KIMUZIKI’

Diamond Platinumz amedai kuwa uhasama kati yake na Ali Kiba ulipikwa na chombo kimoja cha habari kwa lengo la kumuondoa kwenye ramani ya muziki.

Bosi huyo wa WCB amefunguka katika mahojiano na Lil Ommy wa Times FM, ambapo amedai kuwa uhasama huo ulikuwa miongoni mwa mbinu za muda mrefu zilizoshindwa za kutaka kumuua kimuziki.

Amesema kuwa baada ya kugundua mbinu hiyo, alikutana na Ali Kiba jijini Nairobi na akazungumza naye kuhusu hilo na wakakubaliana hakuna tofauti kati yao.

Diamond ambaye...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Ali Kiba aeleza jinsi ‘alivyommiss’ dada yake Diamond, Queen Darleen

Msanii wa muziki Alikiba amefunguka kwa kusema kuwa kuna wakati huwa anamkumbuka sana msanii wa kike ambaye ni dada wa msanii Diamond Platnumz, Queen Darleen.
Diamond, Ali Kiba na Queen Da

Ali Kiba na Darleen walikuwa washkaji zamani, ambapo Queen Darleen aliwahi mshirikisha Ali Kiba katika wimbo wake, ‘Wajua’ ambao ulifanya vizuri sana.

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Jumatatu hii, Ali Kiba alifunguka kwa kusema yeye mwenyewe anamkumbuka Queen Darleen sababu kuna vitu walikuwa...

 

4 years ago

Mwananchi

Ali Kiba afunguka kuhusu bifu na Diamond

Hatimaye staa wa Bongofleva Ali Kiba amekiri kuwa yuko katika bifu na mwanamuziki mwenzie Diamond Platnumz kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.

 

2 years ago

Bongo Movies

Mwakyembe:Bifu la Diamond na Ali Kiba wacha liendelee

Waziri wa habari utamaduni na michezo DKT. Harrison Mwakyembe amesema bifu la Diamond na Ali Kiba linafaa kuendelea sababu linaleta tija kwenye muziki.

“Kama kuna ushindani kati ya Alikiba na Diamond ambao ni kiuweledi, kitaaluma basi mimi nafikirii tungeuendeleza zaidi, hamna sababu ya kuwasuluhisha, waendelee kushindani vizuri tupate muziki bora.”

“Kwa hiyo mimi naomba Watanzania wachukulie mvutano huo ni mzuri katika tasnia, mradi mimi sijasikia watu wameshikiana mapanga,”...

 

3 years ago

Bongo Movies

Mzee Yussuf Awataka Ali Kiba na Diamond Wazipige Kama Kweli Wana Bifu

Mzee Yussuf ni miongoni mwa wasanii ambao hawaamini kama Diamond na Ali Kiba wana beef kutokana na wawili hao kutokutana pamoja na kuonyesha tofauti zao.

DIAMOND NA MZEEYUSUF

Mzee Yusuph akiwa na Diamond

Akizungumza na Bongo5 Jumamosi hii, Mzee Yussuf amesema beef ya Diamond na Ali Kiba zinakuzwa na mashabiki lakini sio beef kweli.

“Mimi Ali Kiba na Diamond sidhani kama wana beef kweli,” alisema Mzee Yussuf. “Bado siamini kwa sababu ni watu ambao hawakutani tukaona kama kweli ni beef kweli zikapigwa ngumi watu...

 

11 months ago

Malunde

ALI KIBA AELEZA SABABU YA KUMGEUZIA MKONO DIAMOND MSIBA WA MASOGANGE

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka kuhusu namna alivyosalimiana na msanii mwenzake, Nassib Abdul au Diamond kwa kumgeuzia mkono walipokutana katika msiba wa Masogange kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam.

Wawili hao walipokutana, Alikiba badala ya kumpa kiganja cha mkono kama ilivyozoeleka, alimpa mkono kwa kuugeuza jambo ambalo liliibua mjadala katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Akizungumza leo Ijumaa Mei 11, 2018 katika kipindi cha 360 kinachorushwa na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Diamond Platnumz avitaka vyombo vya habari kuacha kukuza mgogoro ambao haupo kati yake na Ali Kiba

Mwanamuziki Diamond Platnumz ametangaza rasmi leo kuwa hana mgogoro wowote na Alikiba huku akivitaka vyombo vya habari kuacha kuzusha habari za kuwa wao wawili hawaelewani.

Hitmaker huyo wa Marry You amesema hayo Jumanne hii wakati alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV.

Mimi nimefahamiana na Ali tangu hata sijatoka, ule wimbo wake wa matonge (Usiniseme) mimi ndio nilimpa wale ‘dancers’ nikamwambia watafanya kiti kizuri. Wakati mimi ndio naanza muziki nilikuwa...

 

3 years ago

Mtanzania

Bifu la Diamond, Kiba linalipa

Diamond Platnumz

Diamond Platnumz

Na CHRISTOPHER MSEKENA,

MOJA ya mbinu inayotumiwa na nyota mbalimbali wa muziki duniani ni ile ya kutengeneza bifu bandia na kuwahusisha mashabiki wao. Mbinu hiyo inasaidia kuuza idadi kubwa ya nakala za kazi za sanaa za wasanii hao wenye bifu.

Asikwambie mtu! Hapo ndipo wasanii wengi wanapiga hela. Wakati mashabiki wanatupiana vijembe vilivyojaa kejeli za hapa na pale kuhusu bifu hilo bandia, ndiyo kazi za wasanii hawa zinapopata nafasi sokoni.

Hali hiyo inafanya wasanii...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani