DIAMOND AJILIPUA " SIOGOPI JELA...UNANIFUNGIA NYIMBO ZANGU UMESHAWAHI KUCHANGIA NINI KATIKA MUZIKI WANGU...?

Msanii wa muziki Bongo, Diamond amefunguka kuhusu kufungiwa kwa nyimbo zake mbili ‘Waka na Hallelujah’ kwa kueleza kuwa ni kitu ambacho hakiwezi kumpunguzia chochote na hakiwezi kujenga muziki wa Tanzania.
Muimbaji huyo ameiambia The Playlist ya Times Fm kuwa yupo tayari kupigania muziki wake kwa lolote lile na iwapo kuna sehemu ambayo wao kama wasanii wanaenda kinyume ni jambo la kuelekezana.
“Suala si kufungia tu nyimbo, mimi ukinifungia nyimbo hainipunguzii kitu nikienda nje naenda...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Bongo Movies

DIAMOND PLATNUMZ: SIOGOPI Kwenda Jela Labda UNIUWE

EXCLUSIVE INTERVIEW NA DIAMOND PLATNUMZ KWA MARA YA KWANZA TIMES FM BAADA YA KUTOKA TU KENYA, KAONGEA MENGI SANA KUHUSU BEEF NA MEDIA, ZARI, ALBUM YAKE, WEMA, ALIKIBA, KUFUNGIWA NYIMBO NK. Msanii Diamond aeleza kwanini alifanya performance kwa mara ya kwanza nje Nairobi,kenya. Diamond alieleza kuwa kwenye performance yake ilikuwa na changamoto nyingi na nchi yetu haijaweza kuwezeshwa katika sanaa. Pia alisema sababu nyingine ya kufanya performance yake huko nairobi ni kwaajili kuonesha...

 

1 year ago

Malunde

DIAMOND : MIMI NI KAMA MAJI..MEDIA ZINAZOKATAA KUPIGA NYIMBO ZANGU ZINAPOTEA


Mwanamuziki wa Bongo fleva na CEO wa label ya WCB, Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuwa chombo chochote cha habari ambacho kinaibania WCB kwa njia yoyote basi kitapotea kwani yeye ni kama maji usipokunywa utayaoga.


Diamond amekuwa mmoja wa wasanii ambaye amekuwa na migogoro na media mbali mbali ambapo siku za hivi karibuni Kumekuwa na sintofahamu kati yake na mkurugenzi wa Clouds Fm, Ruge Mutahaba.

Hii imekuja baada ya Diamond kutangaza kuanzisha stesheni zake za redio na Tv ambazo ni...

 

3 years ago

BBCSwahili

Jacob Zuma : Siogopi kufungwa jela

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema kuwa haogopi kufungwa jela ,siku chache tu baada ya uchunguzi kubaini ushahidi kuhusu ufisadi katika serikali yake

 

4 years ago

Bongo5

Malumbano kati ya mashabiki wa Alikiba na Diamond yanaathiri muziki wangu — Abdul Kiba

Mdogo wake na Alikiba, Abdul Kiba amesema muziki wake unaathiriwa na malumbano yasiyoisha kati ya mashabiki wa Kiba na Diamond. Abdul Kiba aliyewahi kutamba na wimbo Kidela aliomshirikisha kaka yake huyo, amekiambia kipindi cha Siz Kitaa kinachorushwa na Clouds TV kuwa mashabiki wa wasanii hao wamekuwa wakimshambulia yeye bila sababu yoyote. “Zimeathiri kwa sababu muziki […]

 

1 year ago

BBCSwahili

Chemsha bongo:Mwanamuziki maarufu Diamond Platnumz alichapisha nini kwenye mtandao wake wa Twitter akilalamika kuhusiana na kufungiwa nyimbo zake mbili?

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wako na uwezo wako wa kukumbuka kwa kujibu maswali yafuatayo.

 

3 years ago

Bongo5

Wimbo ‘Moyo Mashine’ umeandika historia mpya katika maisha ya muziki wangu – Benpol

Msanii wa muziki wa R&B Ben Pol amesema wimbo wake mpya ‘Moyo Mashine’ aliyouachia wiki tatu zilizopita ni wimbo ambao umebadilisha mambo mengi katika maisha yake ya muziki.
Ben Pol

Akizungumza na Bongo5 wiki hii, Ben Pol amesema wimbo ‘Moyo Mashine’ ni wimbo ambao umefanya vizuri mapema zaidi kuliko nyimbo zake zote.

“Haijawahi kutokea nyimbo yangu ikafanya vizuri hivi kwa muda mfupi,” alisema Ben Pol “Moyo Mashine sasa hivi inakaribia view laki tano YouTube ndani ya wiki mbili na nusu sawa sawa...

 

2 years ago

Bongo5

Nuh Mziwanda: Mke wangu na muziki wangu ni vitu viwili tofauti

Nuh Mziwanda amedai kuwa hamhusishi mke wake na kazi yake ya muziki.

14723700_543098175860445_243552910862974976_n

Amedai kuwa mashabiki wake wanaweza kuwa wanamuona kwa nadra jukwaani kwakuwa hatopenda kumhusisha kwenye muziki.

“Yule hahusiani kabisa na masuala ya entertainment, yule ni mke wangu mimi, kwahiyo hahusiani na kazi yangu,” muimbaji huyo alikiambia kipindi cha Supa Mega cha Kings FM kinachoendeshwa na Prince Ramalove.

“Watakuwa wanamuona mara moja moja lakini yeye na huu muziki wangu ni vitu viwili tofauti,”...

 

3 years ago

Bongo5

Pink: Sitouza nyimbo zangu mtandaoni

Rapper wa kike, Pink ametangaza kutoa nyimbo zake bure mtandaoni, ili kuwapa fursa wapenzi wa muziki wake kuupata bila gharama.

383247bd-9a65-476e-ab96-522fe660a7e1

Amedai kuwa ataanza kufanya hivyo muda muafaka ukifika kwakuwa anaamini bado muda huo kwake haujafika. Amesema anaamini kuwa anahitaji kujitangaza zaidi na kujipatika mashabiki wengi.

Pink ni mmoja wa wasanii wachache wa hip hop wanaofanya vizuri Bongo kwa sasa. Hadi sasa ameshatoa ngoma tatu zilizofanya vizuri zikiwemo Usiogope aliomshirikisha Young Dee, Music...

 

2 years ago

Bongo5

Darassa: Nyimbo zangu za ujumbe zilibuma

Darassa amedai mwanzo alikuwa akitoa nyimbo zenye ujumbe lakini zilikuwa zikionekana za kawaida.

15101783_554164378116470_9052220755500072960_n

Muimbaji huyo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa baada ya kushindwa kufanya vizuri kwenye nyimbo za ujumbe ndio akaangalia ni kitu gani mashabiki wanataka akaamua kubadilika.

“Mwanzo nilikuwa nikitoa nyimbo zenye vionjo vyenye ujumbe wa kutosha lakini hazikuwa zikipokelewa sana ila nilipokaa na kufikiria zaidi, nikatambua nini mashabiki wanataka na ndiyo maana muziki wangu upo juu sana tofauti...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani