DIAMOND AMZAWADIA WEMA ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemzawadia gari aina ya Nissan Murano mpenzi wake Wema Isaac Sepetu katika bethidei yake jana.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Vijimambo

DIAMOND KUMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE.


na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!!
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise...

 

5 years ago

Bongo Movies

Birthday ya Wema jana: Diamond amnunulia gari jipya kama zawadi ya birthday

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan.

wema6

Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.

“Nlitama nikupe vingi, wenda...

 

4 years ago

Bongo5

Picha: Madee amzawadia Dogo Janja gari kwenye birthday yake

Dogo Janja a.k.a Janjaro amezawadiwa gari katika siku ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa Sept 15. Zawadi hiyo ya gari imetoka kwa Madee ambaye ndiye mlezi wake kimuziki kwa muda mrefu. Dogo Janja ambaye sasa amefikisha miaka 21 ameshare picha Instagramakikabidhiwa gari hiyo. “Muwakilishi Wa Mshua Alikuwa @dicksound1 Tajiri Yangu,Moja Ya Watu Wa Karibu […]

 

5 years ago

Bongo5

Diamond amnunulia Wema gari jipya kama zawadi ya birthday

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan. Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana […]

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Akothee aonesha jeuri ya fedha, amkabidhi mwanae zawadi ya gari kwenye birthday yake

Akothee sio mtu wa mchezo mchezo. Mrembo huyo wa Kenya ameonesha jeuri ya fedha kwa kumzawadia mwanae gari la kampuni ya Mazda katika sherehe yake ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 19 wikiendi hii.

Mtoto huyo ambaye kwenye mtandao wa Instagram anatumia jina la @Baby Rue alimshukuru mama yake kwa kuandika, “The moment I saw this walking in i was too shocked to speak…mummy u wil always remain the best mother in the world@akotheekenya ….i love my new toy and yes i wunt accept any lift coz i got...

 

3 years ago

Bongo5

Jaden Smith amzawadia mama yake meno ya dhahabu kwenye birthday yake

Kuzaa kuzuri – hasa unapopata zawadi kutoka kwa mtoto wako.

jaden-smith-jada-pinkett

Jaden Smith amempatia mama yake, Jada Pinkett Smith zawadi ya meno ya dhahabu (Grill) kwenye sherehe yake ya siku ya kuzaliwa. Jada Pinkett ametimiza miaka 45 Jumapili hii na amefanikiwa kuzaa watoto wawili na mumewe ambaye ni muigizaji, Will Smith ambao ni Jaden na Willow.

3600

Kupitia mtandao wa Twitter, Jada Pinkett ameweka picha akiwa ameyavaa meno hayo na kuandika ujumbe unaosomeka, “When your son buys you grillz for your 45th...

 

5 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA MAMA YAKE GARI LA MILIONI 38

Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye. Muonekano wa gari hilo kwa nyuma. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra'. Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao. Gari… ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani