DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!

Mapenzi ya Diamond na Zari The Bosslady tayari yameanza kupata vikwazo kutoka kwa watu wenye nguvu. King Lawrence, anayedaiwa kuwa mpenzi wake na Huddah Monroe na ambaye pia ni mtu wa karibu na dereva wa aliyewahi kuwa mume wa Zari, Ivan Semwanga ametangaza dau la $40,000 kwa Diamond ili amwache mpenzi wake huyo. Jamaa huyo amepost picha Facebook ya screenshot inayoonesha kuwa ni mawasiliano na Zari aliyekuwa akitaka amtumie fedha.Lawrence pia amemuita Diamond ‘Faggot’ neno linalomaanisha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Mkwanja wa dili la Voda ni ‘fifty fifty’ kati ya Diamond na Zari?

12558876_229434130733454_1488760884_n

Wiki kadhaa zilizopita, Diamond Platnumz alisaini mkataba wa mamilioni ya shilingi kuwa balozi wa kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania.

12558876_229434130733454_1488760884_n

Dili hilo limemfanya muimbaji huyo wa ‘Make Me Sing’ aonekane kwenye matangazo ya TV, yale ya barabarani, kwenye magezeti na vipeperushi vingine pamoja na kusikika kwenye matangazo ya redio.

Kwenye tangazo la TV, si Diamond pekee anayeonekana, bali familia yake nzima – wapo mpenzi wake Zari, mwanae Tiffah na mama yake. Lakini pia kuna tangazo moja la redio...

 

2 years ago

MillardAyo

HD VIDEO: Zari na Diamond walivyotunzwa 40 ya Nillan na Zari alivyocheza vigoma

February 11 2017 ilikua 40 ya Nillan ambaye ni mtoto wa pili wa Diamond Platnumz na Zari ambapo 40 yake imefanyika nyumbani kwao Madale Dar es salaam na AyoTV na millardayo.com zimekukusanyia kila kitu kwenye hizi video hapa chini VIDEO: Zari akicheza vigoma kwenye 40 ya Nillan (+18) tazama hapa chini BREAKING NEWS zote na stori […]

The post HD VIDEO: Zari na Diamond walivyotunzwa 40 ya Nillan na Zari alivyocheza vigoma appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

2 years ago

Malunde

MUME WA ZARI DIAMOND PLATNUMZ ATOA NENO KIFO CHA MZAZI MWENZA NA ZARI IVAN

Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss Lady Ivan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda.
Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika maneno manne ‘mbele yako, nyuma yetu‘

 

4 years ago

Bongo5

Huddah amkana mwanaume aliyedai kuwa mpenzi wake, aliyemtangazia Diamond dau la $40,000 ili amuache Zari

Baada ya mwanaume aliyedai kuwa ni mpenzi wa Huddah kujitokeza na kuupinga uhusiano wa Diamond na Zari The Boss Lady wa Uganda, Socialite wa Kenya Huddah Monroe naye ameibuka na kukana kuwa hajawahi kuwa na uhusiano na njemba huyo. Huddah alipost ujumbe mrefu Instagram ambao baadae aliufuta, wa kuelezea jinsi alivyokutana na jamaa huyo aitwaye […]

 

4 years ago

GPL

MUME WA ZARI ANASA KWA SHOSTI WA ZARI

Kampala, Uganda Habari kutoka nyumba ya jirani nchini Uganda ikufikie kwamba aliyekuwa mume wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, tajiri Ivan Ssemwanga anadaiwa kunasa penzi la shosti wa kufa na kuzikana wa mkewe huyo aitwaye Stella Nankya, Ijumaa Wikienda limetonywa. Aliyekuwa mume wa Zari akiwa na mpenzi wake mpya ambaye ni shosti wa kufa na kuzikana wa Zari....

 

4 years ago

Vijimambo

Tuache ushabiki Jamani Huyu Dada Tumpe Hongera yake... Ubunifu Wake Nimeupenda..Mitandao ya Kijamii leo ni Zari Zari


Zari "Watanzania Wamenikaribisha kama ni mtu wao na sasa mimi ni wao hivyo ni yote ni heri kabisa"
Zari Tlale aka The Bosslady amesema upendo anaoupata baada ya kuanzisha uhusiano na Diamond Platnumz, umemfanya agundue kuwa watanzania wamemkubali kama mtu wao.
Akiongea na Clouds FM/TV asubuhi hii, Zari amesema tangu ameanza kuja Tanzania amekuwa akipokea upendo zaidi kutoka kwa watanzania kiasi ambacho kimemfanya ajisikie kama yupo kwao.“Siwezi hata kulalamika, watu wa Tanzania ni wakarimu...

 

4 years ago

GPL

DIAMOND, ZARI KIMENUKA

OHOOO! Wakati penzi lao likitarajia matunda ya kupata kijacho miezi kadhaa ijayo, uhusiano wa Nasibu Abdul ‘Diamond na staa wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ umedaiwa kutibuka baada ya Diamond kufunguka kuwa anampenda mwigizaji wa Nigeria, Omotola Jalade Ekeinde, Amani linakupa mchapo. Mkali wa Bongo fleva Nasibu Abdul ‘Diamond. Diamond aliitoa kauli hiyo hivi karibuni jijini Lagos alipokuwa akihojiwa redioni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani