Diamond Kuliamsha Dude Leo!

Ni kweli Diamond anataka kuachia ngoma mpya Jumatano hii? Kama haufahamu hilo basi kaa tayari kulipokea hilo.

Msanii huyo amekuwa akiteka vichwa vya habari kila anapokaribia kuachia ngoma zake mpya kutokana na style anazotumia. Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameahidi kuachia wimbo wake huo siku ya leo.

“@sallam_sk punguza Hasira 😃… Xxl ya @Cloudfmtz na @Bdozen saba hadi Kumi Kamili Kesho…..☺,” ameandika jana Diamond katika mtandao huo.

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Simba, Yanga kuliamsha dude Nyerere Day

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2017-18, huku mechi ya watani wa jadi

 

2 years ago

Michuzi

Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni kuliamsha Dude Bonn,Ujerumani


Siku ya Ijumaa 28 Julai 2017 Saa 2.00 Usiku ,Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni au Viumbe wa ajabu “Anunnaki Aliens” yenye makao yake
nchini Ujerumani inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho la wazi la Orient-Afrika litakalo fanyika mjini Bonn,Ujrumani siku ya Ijumaa 28.Julai 2017
saa 2.00 Usiku(20.00 hrs),bendi hiyo inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja inadumu katika medani ya muziki kwa miaka 24 na kufanikiwa kuteka washabiki wa kimataifa,pamoja...

 

2 years ago

Malunde

SAKATA LA TUNDU LISSU LAMUIBUA TENA GWAJIMA...KESHO JUMAPILI KULIAMSHA DUDE KWA MAOMBI

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima amefunguka na kusema kuwa siku ya Jumapili atafanya maombezi maalum kwa afya ya Mbunge Tundu Lissu ambaye juzi alipigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Dodoma nyumbani kwake.

Askofu Gwajima amesema kuwa atatumia misa hiyo kulaani vikali kitendo cha kinyama alichofanyiwa Tundu Lissu na watu hao wasiojulikana ambao waliweza kupiga gari lake zaidi ya risasi 30 huku risasi tano ndizo ziliweza kumjeruhi Mbunge huyo.

"Jumapili hii Septemba...

 

4 years ago

GPL

DUDE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO

Kulwa Kikumba 'Dude' akiwa ndani ya studio za Global TV Online. Dude akisalimiana na Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist. Dude akiwa na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul.…

 

5 years ago

GPL

DUDE

Stori: Gladness Mallya
Msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameeleza sababu ya baadhi ya wasanii kuutenga msiba Saidi Ngamba ‘Mzee Small’ akidai kuwa wengi waliona aibu kutokana na walivyomtenga alipokuwa akiumwa. Msanii wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Dude alisema: “Wasanii wengi tumeona aibu kuja hata kwenye maandalizi kutokana na kwamba aliugua muda mrefu...

 

2 years ago

Michuzi

TECNO DUDE

Wateja mbali mbali wakifurahia sim mpya kutoka Tecno Toleo liitwalo " Wx3Lte" yenye uwezo mkubwa wa 4g, camera na memory ya kutosha. Maarufu kwa jina la "TecnoDude" simu hii inapatikana maduka yote ya  Vodacom nchini @sanchosong @jrjunior5 @eric_mkomoye #tecnodude #tecnowashadude

 

4 years ago

Bongo Movies

Dude Alaumu Viwango 0

Dude alaumu wasanii wenzake kwa kutoa utitiri wa filamu zisizo na viwango  na kusema  anataka kuleta mabadiliko katika filamu yake  mpya, baada ya kukaa muda mrefu bila kutoa sinema.

Dude alisema wasanii wengi  wa filamu  nchini  wana vipaji lakini  wanashindwa kuvitumia ipasavyo kutokana na kuandika miswada ya filamu ambazo hazina elimu yoyote kwa jamii.

Mbali na miswada mibovu , Dude amesema pia wasanii wengi wana tatizo la kuingiza mambo binafsi  ambayo hayaendani na  hadithi  yenyewe...

 

5 years ago

GPL

MASTAA WAMBWATUKIA DUDE

Stori: Gladness Mallya
WASANII wa kike wanaotamba kwenye filamu za Kibongo, hivi karibuni wamembwatukia staa mwenzao, Kulwa Kikumba ‘Dude’ na kuipinga kauli yake kwamba mastaa wengi wa kike wametokea kwenye uchangudoa na kuvamia tasnia hiyo, shuka na mistari uipate habari hii. Kulwa Kikumba ‘Dude’. Wakizungumza na Risasi Jumamosi, mastaa hao wamemtaka Dude kuacha tabia ya kuropoka kwani kauli yake imewavunjia heshima...

 

1 year ago

Bongo Movies

Dude Afunguka ‘Kumpiga’ JB

Mwigizaji Kulwa Kikumba maarufu zaidi kama Dude amefunguka na kudai ameshawahi kumuingiza mjini msanii mwenzake Jacob Stepheni (JB) kwa kumtapeli laki moja na thelathini japokuwa mwenyewe alifahamu.

Dude ameeleza hayo kwenye Big Chawa ndani ya kipindi cha Planet Bongo ya East Afrika Radio baada ya kuulizwa ni msanii gani amekaa kizembe zembe ambaye anaweza akatapeliwa kiurahisi.

“JB si unamuona amekaa kupigwa pigwa hivi, anachelewa kukumbuka kwanza mimi nimeshawahi kumpiga kiukweli kabisa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani