Diamond naye wanataka kumuua -TID

Msanii TID amesema kuwa utaratibu wa wadau/media kushusha wasanii pale wanapodai maslai yao na kuwapandisha wengine ndio kitu kinaathiri muziki wa Bongo Flava.

Muimbaji huyo ameeleza kuwa kitu hicho ndicho kilitokea kwenye muziki wake na kwa sasa kimemtokea Diamond.

“Na kweli anaweza because he has a media, yaani yeye ndio kama Mungu anajiona but mimi hapana. Nilifanya kosa hilo lakini kosa hilo ndilo limewasanua wasanii wengine, unaona msanii kama Diamond naye amekataa,” amesema.

“So...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Bongo5

Q-Chief kuwashirikisha TID na Diamond

Q-Chief amesema tayari amesharekodi wimbo wa pamoja na swahiba wake TID na sasa yupo kwenye mazungumzo na Diamond Platnumz kuhakikisha anaibariki pia ngoma hiyo. Q amesema baada ya kuona wamemaliza tofauti zao, alimshauri TID kufanya wimbo wa pamoja kama wasanii wakongwe wa muziki wa Bongo Flava. “Nimerekodi na TID ambaye tulikuwa tuna mgogoro ndani ya […]

 

2 years ago

Bongo5

TID adai kuna ngoma anatarajia kufanya na Diamond

Kwa sasa msanii TID Mnyama anahakikisha anarudisha makali yake ya zamani kwenye muziki. Muimbaji huyo amewaahidi mashabiki wake kufanya kazi na Diamond hivi karibuni.

Akiongea kwenye kipindi cha XXL, kupitia Clouds FM Ijumaa hii, Mnyama amesema kuna nyimbo anayofikiria kumshirikisha Diamond ambaye taarifa hizo tayari ameshazipata.

“Nina ngoma nafikiri itafaa zaidi nikimshirikisha Diamond. Diamond ameshapata habari nafikiri tutaifanya ngoma hiyo soon as possible,” amesema TID.

Kwa sasa...

 

5 years ago

Bongo5

TID kwa Diamond: Leta tuzo nyumbani, achana na maf*la!

TID ni team Diamond. Akipost kwenye Instagram picha ya Diamond ya kuhimiza apigiwa kura za AFRIMA, TID ameandika: “Leta mzigo home achana na mafala, u got my Back.” Swali la kujiuliza mafa*la ni akina nani?

 

4 years ago

Bongo5

Dully Sykes: Sishangai ugomvi wa Alikiba na Diamond, nashangaa wa TID na Q Chillah

Dully Sykes amedai kushangazwa kusikia watu wazima kama TID na Q Chillah wakilumbana kwa jambo la miaka mingi iliyopita na kwamba mambo kama hayo wanapaswa kuwaachia wadogo zao mathalan Alikiba na Diamond. Dully ameiambia Bongo5 kuwa TID na Q wamemfedhehesha. “Hawa ni watu wazima,” amesema Dully. “Mimi kama kuwazungumzia ninawazungumzia Diamond na Alikiba. Hawa ni […]

 

1 year ago

Malunde

DIAMOND AELEZA BIFU YAKE NA ALI KIBA ILIVYOSUKWA ‘KUMUUA KIMUZIKI’

Diamond Platinumz amedai kuwa uhasama kati yake na Ali Kiba ulipikwa na chombo kimoja cha habari kwa lengo la kumuondoa kwenye ramani ya muziki.

Bosi huyo wa WCB amefunguka katika mahojiano na Lil Ommy wa Times FM, ambapo amedai kuwa uhasama huo ulikuwa miongoni mwa mbinu za muda mrefu zilizoshindwa za kutaka kumuua kimuziki.

Amesema kuwa baada ya kugundua mbinu hiyo, alikutana na Ali Kiba jijini Nairobi na akazungumza naye kuhusu hilo na wakakubaliana hakuna tofauti kati yao.

Diamond ambaye...

 

4 years ago

GPL

BABA DIAMOND: QUEEN DARLEEN NAYE KANISUSA

Baba wa mwanamuziki Nasibu Abdul Diamond, Abdul Juma. MAYASA MARIWATA NA GLADNES MALLYA BABA wa mwanamuziki Nasibu Abdul Diamond, Abdul Juma amesema kuwa, anaumia kuona hata binti yake Mwajuma Abdul Queen Darleen sasa kamsusa kama ilivyo kwa kaka yake (Diamond). Queen Darleen. Akizungumza na paparazi wetu, Mzee Abdul alisema: Nashindwa kuelewa nini kimemsibu binti yangu huyu maana kipindi cha nyuma alikuwa anakuja...

 

4 years ago

GPL

DIAMOND AMSIFU DAVIDO, KRISMASI NAYE YUPO DAR LIVE

WIKI iliyopita tuliishia pale ambapo staa wa Bongo Fleva, Diamond aliachia video yake ya Number One katika uzinduzi usiyo na kiingilio alioufanya ndani ya Hoteli ya Serena jijini Dar ambapo pia alimzawadia gari, aliyekuwa mwanamuziki nguli nchini, marehemu Muhidin Maalim Gurumo.
Wiki hii tunaendelea ambapo katika kuanika maisha yake, Diamond anasema: Staa wa Bongo Fleva, Diamond. ASIFU KAMPANI YA DAVIDO
“Mwezi wa 10,...

 

2 years ago

Bongo5

Diamond: Sina tatizo na Alikiba ni mtu ambaye ninaheshimiana naye

Diamond amethibitisha kuwa anamheshimu Alikiba na hana tatizo naye.

Hitmaker huyo wa Marry You amesema hayo Jumanne hii wakati alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV.

“Mimi sina tatizo na Alikiba ni mtu ambaye ninaheshimiana naye. Nimemfahamu kupitia dada yangu Queen Darleen,” amesema Diamond.

“Nilikutana na jamaa Nairobi tukazungumza naye maneno yapo yanasemwwa na watu katikati baadhi baadhi ya media wanachochea tu. Sijawahi kuwa na matatizo naye ni chokochoko tu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani