Diamond Platinumz ajiachia katika pozi tata na mpenzi wake

12661917_1060434517311695_7748402750095642070_n12670563_1060434543978359_5401264037533937997_n

Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Mpenzi wake, Zarinah Hassan ‘Mama Tiffah’ wakiwa katika pozi tata.

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

MARIO BALOTELLI AJIACHIA NA MPENZI WAKE

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Italia na Klabu ya AC Milan, Mario Balotelli akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha mjini Miami Mario Balotelli akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha huku wakifurahia jambo.…

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Mtoto wa Michael Jackson, Paris ajiachia Hawaii na mpenzi wake

Mtoto wa marehemu Michael Jakson, Paris Jackson na mpenzi wake Michael Snoddy waliamua kwenda kupumzika kwa muda kwa kutembelea kwenye kisiwa cha Maui kilichopo Hawaii.

Paris (18) alionekana Jumatano hii kwenye fukwe hizo akifurahia pamoja na mpenzi wake huyo. Tazama picha zaidi hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on...

 

5 years ago

GPL

TX JUNIOR, RECHO WANASWA POZI TATA

Stori: Shakoor Jongo
MWANAMUZIKI wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’. Mwanamuziki wa Bendi ya Msondo Ngoma, Hassan Moshi ‘TX Junior’ amenaswa katika pozi tata na staa wa Bongo Fleva, Winifrida Josephat ‘Recho’. Tukio la kunaswa kwa muimbaji huyo lilichukuwa nafasi katika baa moja maarufu iliyopo Kinondoni jijini Dar...

 

5 years ago

GPL

NASIBU ABDUL ‘DIAMOND’ KATIKA POZI

Mshindi wa tuzo saba za KTMA Nasibu Abdul ‘Diamond’ katika pozi.

 

4 years ago

Bongo Movies

Sabby, Cyrill Wanaswa Wakiwa Kwenye Pozi Tata!

Mrembo na staa wa Bongo Movie, Sabrina Omary ‘Sabby’  na  muziki wa Bongo Fleva, Cyrill Kamikaze hivi karibuni walinaswa katika ufukwe wa Hoteli ya Golden Tulip, Masaki jijini Dar wakiwa kimahaba na hivyo kuzidisha tetesi kuwa wanatoka kimapenzi.

Chanzo chanzo makini cha GPL kilisema wawili hao walionekana hotelini hapo wakiwa eneo la kuogelea na walipomaliza walihamia katika viti ambako sasa walikumbatiana kimahaba kana kwamba hakuna mtu anayewaona.

Kwa nyakati tofauti walipoulizwa kuhusu...

 

4 years ago

Dewji Blog

Diamond Platnumz atua na mpenzi wake Zari mjini Songea

1

Mwanamuziki Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea leo ambapo viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Dr. Jakaya Kikwete.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA).

2

Diamond Platnumz akiongozana na mpenzi wake Zari wakiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songea kuelekea hotelini.

3

Mkuu wa wilaya ya...

 

3 years ago

Global Publishers

Kajala ajiachia na dada’ke diamond!

IMG_4111

Mwigizaji Kajala Masanja akiwa na Queen Darleen wakiponda raha.

Na Musa Mateja
HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigizaji huyo amezidi kuyachochea moto madai hayo kwa kutokana na kujiachia mara kwa mara na dada wa Diamond, Queen Darleen, Risasi Mchanganyiko linakujuza.

Kwa mujibu wa chanzo makini, Kajala na Queen Darleen wamekuwa ‘beneti’ kila kona ambapo pia kuna fununu kuwa hata familia ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani