Diamond Platnumz atangaza kufunga ndoa

Msanii wa muziki Bongo ambaye pia ni baba wa watoto watatu, Diamond Platnumz jana machi 8 siku ya Wanawake Duniani alituma ujumbe wa kumshukuru mama yake mzazi na kutangaza mpango wake wa kutaka kufunga ndoa ndani ya mwaka huu.

“Happy Women’s day Mama na wanawake wote Ulimwenguni… Nashkuru sana kwa kunizaa na kunilea…Wewe ni Mboni na Nguzo ya Maisha yangu mama…Licha ya shida na Mateso uliyoyapata kwenye kunizaa na kunilea, lakini hata sasa ambapo ulitakiwa walau Upumzike nimekuwa nikikukosea...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo Movies

Diamond atangaza rasmi kufunga ndoa na Wema. Apanga kufanya harusi uwanja wa taifa

Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia hatua hiyo, ikiwamo maandalizi kwani amepanga mashabiki wake wahudhurie harusi hiyo.

“Ndoa ni kitu cha heri na baraka, lakini kitu kinachofanya kidogo mambo yachelewe ni kwamba sisi au mimi ni mtu ninayefahamika, kwa hiyo hata ndoa yangu watu wengi wanatamani waihudhurie,” alisema Diamond.

Pia...

 

4 years ago

Vijimambo

Zari Hassan kufunga ndoa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, "Asema hakuna umri maalumu wa Kuoa au Kuolewa"!

WAKATI mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ akiwa nchini India kwa matibabu ya tatizo la kiafya linalodaiwa kuwa ni kupooza, hapa Bongo dalili za Diamond na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady kufunga ndoa zinanukia. Chanzo makini kimeliambia Ijumaa Wikienda kwamba, licha ya mama Diamond kupelekwa India Januari 27, mwaka huu na msafara wa watu wawili, nyuma, Zari alitua Bongo tangu Januari 30, mwaka huu lengo kubwa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mwandishi wa vitabu maarufu atangaza kufunga ndoa na mwanaume mwenziwe

Mwandishi vitabu maarufu nchini Kenya Binyavanga Wainaina ambaye ametangaza wazi kwamba ni mpenzi wa jinsia moja amefichua kwamba atafunga ndoa mwaka ujao.

Mwandishi huyo ambaye alifichua hali yake ya kimapenzi mwaka 2014 siku yake ya kuzaliwa, amesema harusi hiyo itafanyika nchini Afrika Kusini.

“Nilimuomba mpenzi wangu tufunge ndoa wiki mbili zilizopita. Na alikubali, karibu mara moja. Yeye ni raia wa Nigeria. Tutakuwa tunaishi Afrika Kusini ambapo atakuwa anahudhuria masomo mwaka ujao....

 

1 year ago

Zanzibar 24

Diamond Platnumz kufunga tour yake ya A Boy From Tandale nchini Marekani

Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz anarajia kufunga tour yake ya A Boy From Tandale katika mji wa Texas Marekani.

Tour hiyo ambayo imebeba jina la albamu yake mpya itafungwa rasmi July 21 mjini Texas. Pia Diamond anatarajia kufanya tour Marekani kwenye miji kadhaa kama Los Angeles na Chicago.

March 14, 2018 ndipo Diamond alizindua albamu hiyo, uzinduzi ulifanyika Nairobi nchini Kenya ambapo star wa muziki kutoka Marekani, Omario alihudhuria, hata hivyo hadi sasa tour ya albamu hiyo...

 

5 years ago

GPL

SHEMEJI WA WEMA ATANGAZA NDOA NA DADA WA DIAMOND

Stori: Shakoor Jongo MAPENZI bwana! Baada ya kuogelea kwa muda mrefu katika penzi la muigizaji Kajala Masanja, hatimaye shemeji wa aliyekuwa rafiki wa mwigizaji huyo, Wema Sepetu, Ahmed Hashimu ‘Petit Man’ ametangaza ndoa na dada wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Abdul. Dada wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Abdul akila ujana na Ahmed Hashimu 'Petit Man'. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini...

 

2 years ago

MillardAyo

Sheria 6 za ndoa zinazoshangaza, kufunga ndoa na maiti n.k

Kwa sheria za Tanzania ndoa ni maridhiano baina ya watu wawili ambapo hutambuliwa katika Katiba ili kulinda muunganiko huo lakini zipo baadhi ya sehemu ndoa sio lazima iwe jambo la maridhiano…leo nimekutana na hizi sheria saba za ndoa kutoka sehemu mbalimbali duniani. 1: Ufaransa  Sheria ya ndoa ya Ufaransa inaruhusu mtu kuoana na mtu aliyefariki […]

The post Sheria 6 za ndoa zinazoshangaza, kufunga ndoa na maiti n.k appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

CloudsFM

MENINA KUFUNGA NDOA?

Msanii wa Bongo Fleva,Menina amepongezwa na mashabiki wake baada ya kutupia picha kwenye mtandao akiwa amevaa shela la harusi huku watu wakijiuliza huenda ameolewa kwa siri au anatarajia kufunga ndoa.

Menina aliandika hivi Alhamdulilah finally soon to come Allah! Ibarik inshaallah gheir nakupenda saana #habib wangu......
Baadhi ya mshabiki walimpongeza: sophybeiby @meninahladivah heee hongera ndo hata kunitonya mdogo wangu haya mwaya kila la kheri Nakupenda sana.

ramadhanijuma58 Umependeza...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani