DIAMOND PLATNUMZ KUHUDHURIA MAZISHI YA MUME WA ZAMANI WA ZARI?

Mwanamuziki,Diamond Plantinumz  alikuwa  nchini Kenya kwa ajili ya tamasha la Koroga ambalo lilifanyika jana  Jumapili Mei 28,2017

Diamond aliwahutubia wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi na kuzungumzia kifo cha aliyekuwa mme wa mkewe wa sasa, Ivan Ssemwanga
Ssemwanga alifariki akiwa amelazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini baada ya kukumbwa na mshtuko wa moyo****Mwanamuziki, Diamond Plantinumz amezungumzia kifo cha aliyekuwa mme wa mkewe ,Zari Hassan ambaye alifariki juma...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Diamond kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mume wa Zari

Dar es Salaam. Staa wa muziki  Diamond Platnumz amethibitisha kuhudhuria mazishi ya Ivan Ssemwanga aliyekuwa mzazi mwenza Zari.

 

2 years ago

Malunde

MUME WA ZARI DIAMOND PLATNUMZ ATOA NENO KIFO CHA MZAZI MWENZA NA ZARI IVAN

Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss Lady Ivan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda.
Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika maneno manne ‘mbele yako, nyuma yetu‘

 

2 years ago

MillardAyo

Post ya mwisho ya mume wa zamani wa Zari “Ivan The Don”

Leo May 25, 2017 zimeripotiwa taarifa za kifo cha Ivan Semwanga “Ivan Don” mfanyabiashara maarufu kutoka nchini uganda na aliyekuwa mume wa mrembo Zari the Boss Lady, ambaye amefariki baada ya kuugua ghafla takriban wiki moja sasa. Taarifa za kifo cha Ivan zimethibitishwa na Zari ambaye alizaa naye watoto watatu wa kiume, alikuwa akijulikana zaidi […]

The post Post ya mwisho ya mume wa zamani wa Zari “Ivan The Don” appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mume wa zamani wa Zari “ Ivan Don” kuzikwa leo

Jumatatu hii mwili wa Ivan Ssemwanga kuagwa na kufanyiwa ibada takatifu, mama wa watoto watatu  Zari Hassan apata nafasi ya kuzungumza machache na waliohudhuria.

Katika misa ya mazishi iliyofanyika kwenye kanisa la Namirembe mijini Kampala, Uganda Jumatatu hii, Zari alionekana akiwa ametulia na akizungumza na wanawena wakati alipopewa nafasi hiyo ya kuzungumza mama huyo alisema haya-:

“Sitomhuzunikia Ivan,” alisema. “Nitasherehekea maisha yake. Muda mrefu, tulitengana kwasababu ya tofauti...

 

2 years ago

Malunde

WEMA SEPETU AMLILIA MUME WA ZAMANI WA ZARI THE BOSS LADY 'IVAN'

Kifo cha mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mume wa Zari The Boss lady, Ivan Semwanga ni moja kati ya habari zinazozungumzwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kugusa hisia za wengi.
Baada ya Zari kuthibitisha kifo cha aliyekuwa mume wake, watu mbalimbali wamekuwa wakituma salamu zao za pole kwa familia wakionesha kusikitika kwa kuguswa na msiba huu ambapo miongoni mwa watu hao ni Miss TZ 2006 Wema Sepetu.Wema aliandika kwenye account yake ya Instagram “Broken hearted…💔💔💔… Rest In Peace Ivan… 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

 

2 years ago

Malunde

UJUMBE WA TAJIRI WA UGANDA IVAN 'MUME WA ZAMANI WA ZARI' KABLA YA KIFO CHAKE

Leo May 25, 2017 zimeripotiwa taarifa za kifo cha Ivan Semwanga “Ivan Don” mfanyabiashara maarufu kutoka nchini uganda na aliyekuwa mume wa mrembo Zari the Boss Lady, ambaye amefariki baada ya kuugua ghafla takriban wiki moja sasa.
Taarifa za kifo cha Ivan zimethibitishwa na Zari ambaye alizaa naye watoto watatu wa kiume, alikuwa akijulikana zaidi kutokana na kuwa na uwezo mkubwa kifedha, aina ya maisha aliyokuwa akiishi ikiwemo kutoa misaada ya fedha kila mwezi kwa watu wenye matatizo...

 

4 years ago

GPL

MUME: ZARI HAWEZI KUZAA NA DIAMOND

Stori: Kampala, Uganda Oohoo! Wakati staa mkubwa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akichekelea kitendo cha mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ kunasa mimba yake, habari ya mjini huko Kampala, Uganda ni juu ya aliyekuwa mume wa mwanamama huyo, Ivan Ssemwanga kufunguka na kusema: “Naapa Zari hawezi kuzaa na Diamond.” Staa mkubwa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul...

 

3 years ago

Bongo Movies

Sijawahi Kumsaliti Zari – Diamond Platnumz

Msanii Diamond Platnumz alipokuwa kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio wiki kadhaa zilizopita alifunguka na kusema kuwa katika maisha yake toka ameanza kuwa na mahusiano na Zari hajawahi kumsaliti.

Diamond Akiwa na Zari

Diamond Akiwa na Zari

Diamond Platnumz anasema kuwa moja ya sababu kubwa kwa yeye kutomsaliti mpenzi wake huyo kwanza ni kwa sababu wanaonana mara kwa mara lakini kingine alidai kuwa kazi ya muziki siku zote inamfanya kuwa ‘busy’ kuhangaika na muziki hivyo hapati nafasi hiyo ya...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: 40 ya Nillah wa Diamond Platnumz na Zari

40 ya mtoto wa pili wa Diamond Platnumz aitwae Nillan ndio imefanyika leo February 11 2017 ambapo Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wamefanya shughuli yenyewe nyumbani kwao Dar es salaam. VIDEO: Diamond “Nimewaona wanaosema Tiffah sio mtoto wangu” FULL VIDEO PLAY HAPA CHINI

The post VIDEO: 40 ya Nillah wa Diamond Platnumz na Zari appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani