DIAMOND PLATNUMZ NA ALI KIBA WAKUTANA USO KWA USO MSIBA WA MASOGANGE


Wasanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Ali Kiba wamekutana katika msiba wa Agnes Masogange na kusalimiana.

Mara baada ya wasanii hao kusalimiana kwa kupeana mikono wakiwa katika meza kuu, waombolezaji waliojaa kwenye Viwanja vya Leaders walipiga kelele.

Diamond alimsalimia Kiba kwa kumpa mkono,baada ya tukio hilo, MC Pilipili alisikika akisema: “Unaona sasa, hawana ugomvi hawa.”

Kumekuwa na taarifa za wanamuziki hao kuwa na ugomvi kwa muda mrefu ambao hata hivyo, unatajwa...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

1 year ago

Zanzibar 24

Habari picha: Lowassa, Kikwete na Membe wakutana uso kwa uso Arusha

Mazishi ya mfanyabiasha bilionea, faustine Mrema wa Arusha, yaliyofanyika hapo jana agosti 9 mwaka huu katika hoteli yake ya Ngurudoto jijini Arusha yaliwakutanisha viongozi mbalimbali  akiwemo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Waziri Mstaafu wa mambo ya nje Benard Membe.

Kwenye mazishi ya bilionea MremaKwenye mazishi ya bilionea MremaKwenye mazishi ya bilionea Mrema

The post Habari picha: Lowassa, Kikwete na Membe wakutana uso kwa uso Arusha appeared first on...

 

4 years ago

Bongo5

Video/Picha: Davido na Wizkid wakutana uso kwa uso na kula bata pamoja

Hatimaye mastaa wa Nigeria Davido na Wizkid wamethibitisha hadharani kuwa sasa hali ni shwari kati yao, baada ya kukutana uso kwa uso na kuonesheana upendo kwa kukumbatiana huku kila mmoja akionesha kufurahia kukutana kwao. Wizkid na Davido wamekutana weekend iliyopita katika Escape night club huko Ilorin, Nigeria ambapo walikula bata pamoja katika club hiyo.

 

2 years ago

Global Publishers

Kitwanga, JPM Wakutana Uso kwa Uso

kitwanga na magufuliRais John Magufuli jana alikutana ana kwa ana na rafiki yake, Charles Kitwanga ikiwa ni siku 80 baada ya kumvua cheo cha Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kosa la kuingia bungeni kujibu maswali akiwa amelewa.

Wawili hao walikutana kwenye Jimbo la Misungwi ambako Rais alisimama akitokea Wilaya ya Sengerema ambako alihutubia wananchi.

Rais alitengua uteuzi wa Kitwanga Mei 20, wakati sakata la utekelezwaji mbovu wa mkataba wa Sh37 bilioni baina ya Jeshi la Polisi na kampuni ya Lugumi Enterprises...

 

8 months ago

Malunde

ALI KIBA AELEZA SABABU YA KUMGEUZIA MKONO DIAMOND MSIBA WA MASOGANGE

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka kuhusu namna alivyosalimiana na msanii mwenzake, Nassib Abdul au Diamond kwa kumgeuzia mkono walipokutana katika msiba wa Masogange kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam.

Wawili hao walipokutana, Alikiba badala ya kumpa kiganja cha mkono kama ilivyozoeleka, alimpa mkono kwa kuugeuza jambo ambalo liliibua mjadala katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Akizungumza leo Ijumaa Mei 11, 2018 katika kipindi cha 360 kinachorushwa na...

 

10 months ago

Malunde

DIAMOND AKUTANA USO KWA USO NA WAZIRI MWAKYEMBE NA SHONZA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe leo Jumanne Machi 27, 2018 amekutana na mwanamuziki Nassib Abdul maarufu Diamond Platnumz, jijini Dar es Salaam.
Tarifa iliyotolewa leo na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano serikalini, Lorietha Laurence imesema lengo la kukutana kwa wawili hao ni kurejesha maelewano kwenye tasnia ya muziki kufuatia hatua zinazochukuliwa na wizara hiyo kufungia baadhi ya nyimbo, zikiwemo mbili za mwanamuziki huyo.
Imeeleza kuwa katika...

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Diamond uso kwa uso na watoto watatu wa mpenzi wa zamani wa Zari

diamond na watoto wa zari

Diamond Platnumz ameamua kuudhihirishia ulimwengu kuwa licha ya kuwa mama wa mtoto wake, Zarinah Tlale alimkuta na watoto watatu wa baba mwingine, lakini hilo halimzuii kuhang na watoto hao ambao baba yao ni Ivan Ssemwanga.

diamond na watoto wa zari

Akiwa Uganda weekend iliyopita Diamond na Zari walipost picha za familia ambapo kwenye moja ya picha hizo Diamond amepiga akiwa Zari na binti yao Tiffah na watoto wengine wa zari, na kusindikiza na caption ya kijembe.

diamond na watoto wa zari-2

“Me and my Stars!…Basi Hapo Vikurubembe roho...

 

3 years ago

Bongo5

Diamond akanusha kuwalipisha pesa wanaotaka kumuona Tiffah uso kwa uso

Kwa umaarufu alionao mtoto wa Diamond na Zari, Latiffah Nasib Abdul au kama baba yake anavyopenda kumuita Tiffah, ni wazi kwamba mashabiki wengi wa staa huyo wangependa kumuona ama kumbeba mtoto huyo aliyejipatia umaarufu toka siku yake ya kwanza duniani. Hiyo inatokana pia na uamuzi wa wazazi wake kutomuonesha mapema sura yake hadi Jumapili iliyopita, […]

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani