DIAMOND PLATNUMZ: SIOGOPI Kwenda Jela Labda UNIUWE

EXCLUSIVE INTERVIEW NA DIAMOND PLATNUMZ KWA MARA YA KWANZA TIMES FM BAADA YA KUTOKA TU KENYA, KAONGEA MENGI SANA KUHUSU BEEF NA MEDIA, ZARI, ALBUM YAKE, WEMA, ALIKIBA, KUFUNGIWA NYIMBO NK. Msanii Diamond aeleza kwanini alifanya performance kwa mara ya kwanza nje Nairobi,kenya. Diamond alieleza kuwa kwenye performance yake ilikuwa na changamoto nyingi na nchi yetu haijaweza kuwezeshwa katika sanaa. Pia alisema sababu nyingine ya kufanya performance yake huko nairobi ni kwaajili kuonesha...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Malunde

DIAMOND AJILIPUA " SIOGOPI JELA...UNANIFUNGIA NYIMBO ZANGU UMESHAWAHI KUCHANGIA NINI KATIKA MUZIKI WANGU...?

Msanii wa muziki Bongo, Diamond amefunguka kuhusu kufungiwa kwa nyimbo zake mbili ‘Waka na Hallelujah’ kwa kueleza kuwa ni kitu ambacho hakiwezi kumpunguzia chochote na hakiwezi kujenga muziki wa Tanzania.
Muimbaji huyo ameiambia The Playlist ya Times Fm kuwa yupo tayari kupigania muziki wake kwa lolote lile na iwapo kuna sehemu ambayo wao kama wasanii wanaenda kinyume ni jambo la kuelekezana.
“Suala si kufungia tu nyimbo, mimi ukinifungia nyimbo hainipunguzii kitu nikienda nje naenda...

 

1 year ago

Malunde

DIAMOND PLATNUMZ AZUNGUMZIA HUKUMU YA LULU JELA MIAKA MIWILI

Mwanamuziki Diamond Platnumz amesema hukumu ya miaka miwili aliyopewa mwigizaji Elizabeth  Michael maarufu Lulu siyo adhabu bali ni mtihani ambao unalenga kumfanya kuwa imara zaidi.
Amesema mwigizaji huyo ambaye leo Jumatatu Mahakama Kuu imemhukumu kifungo cha miaka miwili jela, amechaguliwa na Mungu kwa kuwa anaamini anao uwezo wa kuhimili mikikimikiki.
Katika mtandao wa Instagram, Diamond anayetamba na wimbo Halleluyah, ameandika:  "Mwenyezi Mungu ameamua kukupa mtihani huu wewe kwa sababu...

 

2 years ago

BBCSwahili

Jacob Zuma : Siogopi kufungwa jela

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema kuwa haogopi kufungwa jela ,siku chache tu baada ya uchunguzi kubaini ushahidi kuhusu ufisadi katika serikali yake

 

5 years ago

Tanzania Daima

Askofu anusurika kwenda jela

ASKOFU wa Kanisa la Habari Njema mjini hapa, Tryphone John, amenusurika kwenda jela baada ya  kulipa faini ya sh 30,000 baada ya kupatikana na hatia ya gari lake kumgonga mwendesha...

 

1 year ago

Bongo Movies

Jackline Wolper Kwenda Jela

Msanii wa filamu za bongo ambaye kwa sasa ni mjasiriamali mkubwa, Jackline Wolper, amekula kiapo cha kwenda jela iwapo mtu yeyote atamtolea maneno machafu mzazi wake.

Akizungumza na Big Chawa wa Planet Bongo ya East Africa Radio, Wolper amesema yeye kwa kawaida ni mpole lakini iwapo mtu atafanya kitu kibaya juu ya familia yake, hatofikiria mara mbili kumfanya kitu ambacho kitamsababishia kupelekwa jela.

“Kwa mimi binafsi Jackline Wolper ni mpole, lakini ukija kwenye issue za wazazi mi...

 

4 years ago

BBCSwahili

Khan wa Bollywood kwenda jela miaka 5

Mwigizaji maarufu wa filamu za Bollywood nchini India Salman Khan amekuhumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mtu mmoja asiye na makazi.

 

3 years ago

MillardAyo

Mmiliki wa TP Mazembe amehukumiwa kwenda jela

480199793

Mmiliki wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Moise Katumbi amehukumiwa kwenda jela, Katumbi ambaye ni boss wa TP Mazembe ambayo ilikuwa inachezewa na nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu. Katumbi amehukumiwa miaka mitatu sambamba na kutozwa faini ya dola milioni 6 kwa kosa […]

The post Mmiliki wa TP Mazembe amehukumiwa kwenda jela appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

Channelten

Messi amehukimwa kwenda jela miezi 21

_90305830_gettyimages-537571212

Mchezaji mpira wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amehukimwa kwenda jela miezi 21 kwa kosa la kukwepa kodi na Hukumu ya aina hiyo hiyo imetolewa na kwa Baba yake, Jorge Horacio Messi.

Aidha kwa Sheria ya Hispania, Hukumu yoyote chini ya miaka 2 inaweza kuahirishwa hivyo basi Mchezaji huyo anawezekana asitumikie kufungo hicho. Messi alipofikishwa Mahakamani alijitetea kwa kusema kwamba. ‘Nilikua sina habari ya jambo lolote wakati nacheza mpira, na nilimuamini Baba yangu na Mwanasheria...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani