Diego Costa afunga bao mechi ya kwanza baada ya kurejea Atlético Madrid

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Diego Costa aliingia kama nguvu mpya na kufunga bao dakika ya tano baada ya kuingia uwanjani mechi yake ya kwanza tangu aliporejea tena Atletico Madrid.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Atlético Madrid yampoka Barcelona Ubingwa wa Spain

Wachezaji wa Atlético Madrid wakishangilia ushindi wao dhidi ya Barcelona jana.   Baada ya kuisambaratisha Real Madrid katika uwanja wao wa Santiago Bernabeu na kunyakua kombe la Copa del Rey (Kombe la Mfalme) mwaka uliopita,  Atlético Madrid jana wamefanya maajabu mengine baada ya kunyakua ubingwa wa La Liga mkononi mwa Barcelona ya kina Messi kwa kutoka nao droo ya 1-1.  Ni ubingwa wao wa kwanza katika miaka 18. Kifuatacho ni kucheza fainali za  mabingwa wa Ulaya baada ya miaka 40! Mambo...

 

2 years ago

BBCSwahili

UEFA: Leicester City watolewa Ligi ya Mabingwa na Atlético Madrid

Safari ya Leicester City katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu huu imefikia kikomo baada ya klabu hiyo ya Uingereza kutoka sare na Atletico Madrid uwanjani King Power.

 

1 year ago

BBCSwahili

Atletico Madrid 1-0 Arsenal: Diego Costa afunga na kuwazuia Gunners kufika fainali Europa League

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger alipoteza fursa pekee ya kushinda kombe msimu wake wa mwisho akiwa katika klabu hiyo baada ya kuchapwa na Atletico Madrid Europa League.

 

2 years ago

BBCSwahili

Diego Costa avalia jezi ya Atletico Madrid

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uhispania, Diego Costa amepiga picha za video akifurahia likizo yake huku akiwa amevalia jezi ya Atletico Madrid.

 

2 years ago

BBCSwahili

Chelsea yakubali kumuuza Diego Costa Atletico Madrid

Chelsea imekubaliana na Atletico Madrid kuhusu uhamisho wa mshambuliaji Diego Costa arudi Uhispania

 

3 years ago

Bongo5

Diego Costa aongezewa adhabu ya mechi Uingereza

160314204856_diego_costa__640x360_afp_nocredit

Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Diego Costa ameongezewa adhabu ya mechi ambazo hataruhusiwa kucheza pamoja na kutozwa faini zaidi kwa sababu ya utovu wa nidhamu.

160314204856_diego_costa__640x360_afp_nocredit

Mshambuliaji huyo ameongezewa mechi moja na pia akapigwa faini ya £20,000 baada ya kukiri shtaka la utovu wa nidhamu.

Mchezaji huyo ameadhibiwa kutokana na vitendo vyake baada ya kuonyeshwa kadi nyekundi wakati wa mechi ya Kombe la FA dhidi ya Everton tarehe 12 Machi.

Mhispania huyo alikorofishana na Gareth Barry na alionekana...

 

2 years ago

BBCSwahili

Diego Costa awachwa nje baada ya mgogoro na kocha

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa amewachwa nje katika kikosi cha Chelsea dhidi ya Leicester baada ya mgogoro na kocha kuhusu uzima wake

 

3 years ago

BBCSwahili

Samatta afunga bao la kwanza Ubelgiji

Mshambuliaji nyota wa Tanzania Mbwana Ally Samatta amefungua akaunti yake ya mabao Ulaya baada ya kuifungia klabu yake mpya ya KRC Genk bao dhidi ya Club Brugge.

 

3 years ago

BBCSwahili

Christian Benteke afunga bao la kasi zaidi mechi za Kombe la Dunia

Mshambuliaji wa Ubelgiji Christian Benteke alifunga bao la kasi zaidi katika mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia, baada ya kufunga bao sekunde 8.1 dhidi ya Gibraltar.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani