Diego Costa avalia jezi ya Atletico Madrid

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uhispania, Diego Costa amepiga picha za video akifurahia likizo yake huku akiwa amevalia jezi ya Atletico Madrid.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Chelsea yakubali kumuuza Diego Costa Atletico Madrid

Chelsea imekubaliana na Atletico Madrid kuhusu uhamisho wa mshambuliaji Diego Costa arudi Uhispania

 

1 year ago

BBCSwahili

Atletico Madrid 1-0 Arsenal: Diego Costa afunga na kuwazuia Gunners kufika fainali Europa League

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger alipoteza fursa pekee ya kushinda kombe msimu wake wa mwisho akiwa katika klabu hiyo baada ya kuchapwa na Atletico Madrid Europa League.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Costa ajirusha akiwa amevaa jezi ya Atletico

Mshambuliaji Diego Costa ameweka wazi kuwa yuko njiani kuondoka Chelsea baada ya kuonekana katika sherehe huku amevalia jezi ya Atletico Madrid.

 

2 years ago

BBCSwahili

Diego Simeone ajifunga Atletico Madrid mpaka 2020

Kocha wa Klabu ya Atletico Madrid Diego Simeone amezima tetesi za kuhamia klabu ya Inter Milan ya Italia baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu kuendelea kufundisha miamba hiyo ya jiji la Madrid.

 

2 years ago

Bongo5

Diego Simeone asema hatomzuia mchezaji yeyote kuondoka Atletico Madrid

Kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone, amesema kwamba hashangai kuona vilabu vyenye uwezo wa kumsaini Antonie Griezman vikimuwinda mchezaji huyo, Simeone amesema hatomzuia mchezaji yoyote atakayetaka kuondoka Vicente Calderon.

Antonie Griezmann amekuwa akihusishwa na kutaka kuhamia Manchester United mwishoni mwa msimu huu, na mwenyewe amekuwa akizungumzia uwezekano wa kucheza pamoja na mchezaji mwenzie wa timu ya taifa ya Ufaransa katika ngazi ya klabu.

Taarifa kutoka Uingereza zinasema...

 

1 year ago

BBCSwahili

Diego Costa afunga bao mechi ya kwanza baada ya kurejea Atl├ętico Madrid

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Diego Costa aliingia kama nguvu mpya na kufunga bao dakika ya tano baada ya kuingia uwanjani mechi yake ya kwanza tangu aliporejea tena Atletico Madrid.

 

3 years ago

BBCSwahili

Diego Costa ashtakiwa na FA

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameshtakiwa kwa utovu wa nidhamu baada yake kulishwa kadi nyekundu Jumamosi wakati wa mechi dhidi ya Everton.

 

3 years ago

Mtanzania

FA kumfungia Diego Costa

Diego CostaLONDON, ENGLAND

CHAMA cha Soka nchini England (FA), kinatarajia kumsimamisha mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa, kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu ambacho alikionesha kwenye mchezo dhidi ya Everton mwishoni mwa wiki.

Hata hivyo, mchezaji huyo alioneshwa kadi nyekundu katika mchezo huo, lakini FA imesema kwamba japokuwa mchezaji huyo alioneshwa kadi nyekundu bado kuna uwezekano wa kufungiwa michezo mingine kutokana na utovu wa nidhamu aliouonesha.

Katika mchezo huo wa Kombe la FA,...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Diego Costa hakabiki

DIEGO Costa hakabiki. Ndiyo maneno rahisi unayoweza kumzungumzia straika huyo wa Chelsea baada ya kufunga bao pekee kwa shuti kali kuirudisha The Blues kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu England.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani