Diego Simeone ajifunga Atletico Madrid mpaka 2020

Kocha wa Klabu ya Atletico Madrid Diego Simeone amezima tetesi za kuhamia klabu ya Inter Milan ya Italia baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu kuendelea kufundisha miamba hiyo ya jiji la Madrid.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Diego Simeone asema hatomzuia mchezaji yeyote kuondoka Atletico Madrid

Kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone, amesema kwamba hashangai kuona vilabu vyenye uwezo wa kumsaini Antonie Griezman vikimuwinda mchezaji huyo, Simeone amesema hatomzuia mchezaji yoyote atakayetaka kuondoka Vicente Calderon.

Antonie Griezmann amekuwa akihusishwa na kutaka kuhamia Manchester United mwishoni mwa msimu huu, na mwenyewe amekuwa akizungumzia uwezekano wa kucheza pamoja na mchezaji mwenzie wa timu ya taifa ya Ufaransa katika ngazi ya klabu.

Taarifa kutoka Uingereza zinasema...

 

3 years ago

BBCSwahili

Simeone kutafakari hatma yake Atletico Madrid

Meneja wa Atletico Madrid Diego Simeone anasema ataanza kutafakari kuhusu kuendelea kukiongoza klabu hicho baada ya kushindwa siku ya Jumamosi.

 

3 years ago

Mwananchi

Simeone afikiria maisha mapya Atletico Madrid

Kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone amesema ataanza kufikiria juu ya maisha yake katika klabu hiyo baada ya mchezo wao wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumamosi.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Griezmann na Simeone aiongoza Atletico Madrid kutawala tunzo La Liga

Mshambualiji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann ametajwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa La Liga kwenye hafla maalum iliyofanyika jijini Valencia jana.

Griezmann ameshinda tuzo hiyo mbele ya wakali wa Barcelona Lionel Messi na Luis Suarez ambao wao na timu yao ya Barcelona walisusia tunzo hizo

Diego Gordin wa Atletico Madrid alifuta ufalme wa Sergio Ramos  Real Madrid wa miaka minne katika tunzo ya Beki bora.

WASHINDI WA TUZO ZA LA LIGA MSIMU WA 2015-16 Mchezaji Bora: Antoine Griezmann...

 

3 years ago

Bongo5

Bale ajifunga ndani ya Madrid mpaka mwaka 2021

Galeth Bale ameongeza mkataba wa miaka mitano wa kuichezea klabu ya Real Madrid, mpaka mwaka 2021 kwa mujibu wa gazeti la Marca la nchini Hispania.

Bale

Mkataba huo utamfanya mchezaji huyo kuwa mchezaji wa pili wa Madrid kulipwa mshahara mkubwa wa Euro milioni 10 kwa mwaka akiwa analipwa sawa na nahodha wa timu hiyo Sergio Ramos huku wakiongozwa na Cristiano Ronaldo ambaye mkataba wake mpya haujawekwa wazi kiasi anacholipwa kwa sasa.

Bale alifanikiwa kuonyesha kiwango kizuri kwenye michuano ya...

 

2 years ago

BBCSwahili

Diego Costa avalia jezi ya Atletico Madrid

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uhispania, Diego Costa amepiga picha za video akifurahia likizo yake huku akiwa amevalia jezi ya Atletico Madrid.

 

2 years ago

BBCSwahili

Chelsea yakubali kumuuza Diego Costa Atletico Madrid

Chelsea imekubaliana na Atletico Madrid kuhusu uhamisho wa mshambuliaji Diego Costa arudi Uhispania

 

1 year ago

BBCSwahili

Atletico Madrid 1-0 Arsenal: Diego Costa afunga na kuwazuia Gunners kufika fainali Europa League

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger alipoteza fursa pekee ya kushinda kombe msimu wake wa mwisho akiwa katika klabu hiyo baada ya kuchapwa na Atletico Madrid Europa League.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Simeone ajigamba mafanikio ya Atletico

Kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone amesema anaamini kikosi chache ni miongoni mwa klabu bora barani Ulaya kutokana na kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa juzi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani