DIRISHA LA UFUNGUZI WA LIGI KUU VODACOM AGOSTI 23, NI YANGA VS SIMBA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
WATANI wa jadi Simba na Yanga watakutana Agosti 23 katika mchezo wa ngao ya hisani ikiashiria ufunguzi msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom 2017/18.
Pazia rasmi la ligi hiyo litafunguliwa Agosti 26 ambapo mechi saba zitachezwa katika viwanja mbalimbali nchini ambapo itamalizika Mei 20 mwakani kwa kupatikana bingwa mpya.
Ofisa Habari wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) amewaambia Waandishi wa Habari kuwa mchezo huo wenye kuvuta hisia za mashabiki wengi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

DIRISHA LA USAJILI LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA KUFUNGWA USIKU WA LEO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
 DIRISHA dogo la Usajili wa Ligi Kuu Tanzania bara linatarajiwa kufungwa usiku wa leo huku Uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini 'TFF' likiweka wazi msimamo wao wa kuwakumbusha klabu za ligi kuu, ligi daraja la kwanza, ligi daraja la pili kukamilisha usajili wao mapema kabisa.
Ofisa wa habari wa TFF, Alfred Lucas amesema kuwa dirisha litafungwa saa sita kamili usiku na hawatapokea tena kwani walishaweka wazi kuwa klabu zinatakiwa kuhakikisha wanafanya...

 

2 years ago

Michuzi

LIGI KUU VODACOM KUANZA KUTIMUA VUMBI DESEMBA 17, SIMBA NA YANGA FEBRUARI 18 MWAKANI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
LIGI kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea tena kwa duru la pili kuanzia Desemnba 17, huku timu zikishauriwa kukamilisha usajili kwa wakati huku Yanga na Simba kuumana Februari 18 2017..
Dirisha la usajili lililofunguliwa Novemba 15 linatarajiwa kufungwa Desemba 15 na timu zote zimeopewa mwongozo wa kutumia mfumo wa ule ule wa kutumia mtandao katika kuwasilisha majina hayo usiku wa Desemba 15.
Ofisa habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) Alfred Lucas...

 

4 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

4 years ago

GPL

YANGA BINGWA LIGI KUU YA VODACOM 2014/2015

Mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza dhidi ya Polisi Moro kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Wachezaji wa timu ya Yanga. YANGA SC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa kuifunga Polisi Morogoro mabao 4-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar,…

 

2 years ago

Michuzi

MWAMUZI AHMADA SIMBA AONDOLEWA KWENYE ORODHA LIGI KUU YA VODACOM

Mwamuzi Ahmada Simba akimuonesha kadi nyekundu mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Ruvu Shooting.
Kamati ya Bodi ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi za Tanzania (Kamati ya Saa 72), imemwondoa Mwamuzi wa kati, Ahmada Simba katika orodha wa waamuzi watakaochezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu wa 2016/2017.

Hatua hii imefikiwa baada ya utetezi wa Mwamuzi Simba kudai kwamba hakuona tukio la Mchezaji wa Young African, Obrey Chirwa ambaye alifunga...

 

4 years ago

Michuzi

YANGA MABINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1.
Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, Sepp Blatter...

 

3 years ago

Channelten

4 years ago

Michuzi

YANGA YAJICHIMBIA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM YA SOKA TANZANIA BARA

Kikosi cha Mtibwa Sugar.Kikosi cha Yanga. Benchi la ufundi la Mtibwa Sugar. Kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed akiwapanga wachezaji wake.Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani