DIRISHA LA USAJILI LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA KUFUNGWA USIKU WA LEO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
 DIRISHA dogo la Usajili wa Ligi Kuu Tanzania bara linatarajiwa kufungwa usiku wa leo huku Uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini 'TFF' likiweka wazi msimamo wao wa kuwakumbusha klabu za ligi kuu, ligi daraja la kwanza, ligi daraja la pili kukamilisha usajili wao mapema kabisa.
Ofisa wa habari wa TFF, Alfred Lucas amesema kuwa dirisha litafungwa saa sita kamili usiku na hawatapokea tena kwani walishaweka wazi kuwa klabu zinatakiwa kuhakikisha wanafanya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Habarileo

Dirisha la usajili Ligi Kuu kufungwa

USAJILI wa dirisha dogo kwa timu za Ligi Kuu Tanzania bara, uliofunguliwa Novemba 15, mwaka huu unatarajiwa kumalizika leo saa sita usiku.

 

2 years ago

Malunde

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LEO LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

  
Ligi kuu ya Vodacom imefunguliwa leo Agosti 26 ,2017 kwa kuchezwa micheozo saba katika viwanja mbalimbali. 
Yafuatayo ni matokeo ya mechi zote saba za leo
1.Simba 7-0 Ruvu shooting 2.Mwadui 2-1 Singida United3. Ndanda 0- 1 Azam -4.Kagera sugar 0-1 Mbao5.Njombe Mji 0-2 Tanzania Prisons6.Mbeya City 1-0 Majimaji7. Mtibwa 1-0 Stand United
Kesho jumapili Agosti 27,2017 kutakuwa na mechi moja,Yanga watavaana na Lipuli.Mchezo utachezwa katika uwanja wa Uhuru Dar es salam saa kumi ...

 

3 years ago

Channelten

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo minne

uwanja

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo minne, itakayokutanisha timu nane za ligi hiyo.

Michezo hiyo inafanyika baada ya timu ya Yanga kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi kuu kwa kufikisha jumla ya pointi 50 baada ya kuifunga African Sports mabao 5-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam jana.

Mabao mawili ya mshambuliji wa kimataifa kutoka Burundi Hamis Tambwe pamoja na mengine ya Mzimbabwe Donald Ngoma, Beki Kelvin Yondani na Matheo Anthony...

 

4 years ago

Mwananchi

LIGI KUU BARA : Bajeti za kibabe usajili wa Tanzania Bara

Usajili wa wachezaji Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ajili ya msimu ujao umekaa kibabe tofauti na misimu mingine.

 

3 years ago

Dewji Blog

Pazia Ligi Kuu ya Vodacom kufungwa leo

Michezo ya mwisho ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, inatarajiwa kufanyika kuanzia saa 10 jioni ya leo Jumapili, Mei 22, 2016 kwa timu zote 16 kutinga katika viwanja vinane tofauti kumaliza ngwe ya msimu wa 2015/16 ambayo tayari Klabu ya Yanga (Pichani) tayari wameshatangazwa kutwaa ubingwa huo.

Michezo itakayopigwa jioni ya leo Mei 22 ni pamoja na Simba itakayokipiga na JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati Azam FC ambayo inawania nafasi ya pili kama Simba, itakipiga na...

 

4 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

2 years ago

Malunde

HAYA HAPA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LEO LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA MZUNGUKO WA SABA

Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara imeendelea tena leo Jumamosi  Oktoba 21, 2017 kwa michezo sita ya mzungukowa saba katika viwanja mbalimbali. matokeo ya mechi zote za leo ni haya hapa chini
Simba 4-0 Njombe Mji
Mbao Fc 0-0 Azam Fc
Mbeya City 2-0 Ruvu Shooting
Lipuli Fc 1-0 Majimaji
Mtibwa Sugar 1-0 Tanzania Prisons
Ndanda Fc 0-0 Singida United
Kesho Jumapili kutakuwa na mechi moja ya kukamilisha mzunguko wa saba ambapo Stand United itacheza na Yanga katika uwanja wa Kambarage Shinyanga

 

4 years ago

Habarileo

Dirisha la usajili kufungwa leo

PILIKAPILIKA za usajili kwa wachezaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL), zinafikia tamati leo saa 6:00 usiku, imeelezwa. Msemaji wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto alisema kuwa TFF imezikumbusha klabu zote zinazoshiriki msimu mpya wa mwaka 2015/2016, kuhakikisha vinakamilisha usajili wa wachezaji wao kabla ya dirisha hilo la usajili kufungwa.

 

3 years ago

Michuzi

MABADILIKO KIDOGO LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Kutokana na sababu mbalimbali, Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imelazimika kubadili Ratiba ya Ligi Kuu kwa michezo kadhaa ya mwanzo kama ifuatavyo.
1. Mchezo Na. 2 - Kagera Sugar vs Mbeya City (20.08.2016)Mchezo huo sasa utachezwa tarehe 21.08.2016 katika Uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga. Sababu ni kuwa uwanja wa Kaitaba bado utakuwa kwenye matengenezo.
2. Mchezo Na.4 - Toto African vs Mwadui FC (20.08.2016)Mchezo huo sasa utachezwa tarehe 24.08.2016 katika...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani