Diva ataja sababu ya kusherehekea Birthday 2 ndani ya mwaka mmoja.

Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Fm Diva the Bawse leo ameamua kutolea ufafanuzi kuhusu birthday yake ambayo wengi wameshangazwa baada ya yeye kusherehekea birthday yake mwezi wa kwanza badala ya mwezi wa tano kama ilivyokuwa miaka iliyopita. Diva akiwa kwenye kipindi cha XXL amesema sababu za kushererehekea birthday yake January 15 badala […]

The post Diva ataja sababu ya kusherehekea Birthday 2 ndani ya mwaka mmoja. appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Rich Mavoko ataja sababu zilizomfanya awe kimya kwa zaidi ya mwaka mmoja

mavoko new

Rich Mavoko ameachia wimbo mpya Jumanne (Nov.24), ikiwa ni mwaka mzima na miezi miwili toka alipoachia single ya mwisho ‘Pacha Wangu’.

mavoko new

Wakati akitambulisha single mpya iitwayo ‘Naimani’ kupitia XXL ya Clouds Fm, Mavoko amezitaja sababu zilizomfanya asitoe wimbo kwa kipindi kirefu toka mwaka jana.

“Cha kwanza Pacha Wangu ni wimbo nimetoa mwezi wa 9 (2014) lakini pia imekuwepo kwa muda mrefu, sisemi kwamba natakiwa nitoe nyimbo ikae muda mrefu hapana.”

Mavoko aliendelea,

“lakini kusuasua...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Dk. Mwaka ataja sababu za vifo vya watoto

MAELEWANO mabaya kati ya wagonjwa na wauguzi ni miongoni mwa sababu zinazochangia vifo vya watoto wakati wa kujifungua. Hayo yalibainishwa na Daktari wa ForePlan Clinic,  Juma Mwaka, alipozungumza na wahariri...

 

3 years ago

Bongo5

Birthday ya mwaka mmoja ya Tiffah kufanyika Mlimani City

Ana followers 623,049 Instagram, ni mtoto wa Diamond na Zari the Bosslady, unahitaji nini zaidi kukubali kuwa Tiffah ni supastaa mtoto kuliko wote Afrika?

13298109_135824623491799_1924421882_n

Tayari mtoto huyo ana miezi 10 na hiyo ikimaanisha kuwa birthday yake ya mwaka mmoja inakaribia. Tiffah alizaliwa August 6, 2015.

Diamond anadaiwa kuanda birthday party ya kukata na shoka ya mwanae huyo na ametangaza kuwa itafanyika Mlimani City. “Happy 10th Months my little Angel… can’t wait for your first year’s Birthday!!!!! Pale...

 

3 years ago

Bongo5

Mwana FA ataja sababu kuu za kwanini amekuwa akitoa ngoma chake kwa mwaka (Video)

12301206_416545988542834_2103460087_n

Mwana FA si mtu wa kutoa nyimbo nyingi kwa mwaka. Kwanini? Hizi ni sababu tatu alizozitoa baada ya kukaa na kuzungumza na sisi.

“Naona sina vitu vingi vya kuprove. Kwasababu kama mtu amefika mahali sasa hivi haamini kama nina uwezo, nitakuwa sina uwezo tena wa kumbadilisha,” amesema Mwana FA.

“Muziki mzuri unahitaji muda. Mimi nisharekodi ngoma inakaa mwaka mzima, baadaye tukija tukitaka kuitoa tunakuja tunarekodi tena. Nisharekodi ngoma mara nne kama Kama Zamani ile. Na nafikiri hili...

 

2 years ago

Mtanzania

Panda shuka ya michezo ndani ya mwaka mmoja wa Magufuli

magu

Na ZAINAB IDDY

NI mwaka mmoja sasa tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli aingie madarakani katika awamu ya tano.

Rais Dk. Magufuli aliapishwa rasmi na kuanza majukumu yake ya kuliongoza taifa Novemba 5, 2015 katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam huku Watanzania wengi wakishuhudia tukio hilo.

Kwa sasa ametimiza mwaka mmoja tangu alipoingia madarakani huku akizigusa sekta za uchumi, elimu, kilimo na michezo katika utendaji wake wa kazi.

Tangu Serikali mpya ichukue...

 

3 years ago

Bongo5

Waingereza wajipanga kusherehekea birthday ya miaka 90 ya Malkia Elizabeth

Sherehe kubwa ya siku tatu mfululizo ya birthday ya Malkia Elizabeth II itaanza Jumamosi hii nchini Uingereza.

stream_img (1)

Tarehe rasmi ya kuzaliwa kwa malkia huyo ni 21 April, 1926, ambapo alifikisha miaka 90.

Lakini huwa na tarehe tofauti ya kusherehekea siku yake hiyo ambayo mwaka huu itakuwa ni June 11. Ni kwasababu June ni mwezi ambao hali ya hewa ya Uingereza huwa nzuri zaidi.

Elizabeth na mume wake Prince Philip watahudhuria misa ya shukrani kwenye kanisa la St. Paul ijumaa hii ambapo Philip...

 

2 years ago

Michuzi

Nusu ya watanzania wanasema usalama umeimarika ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita


 Kuna mtazamo wa jumla miongoni mwa wananchi kuwa usalama nchini umeimarika katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita kama inavyooneshwa na zaidi ya nusu ya wananchi hao (asilimia 53). Lakini asilimia 37 ya watanzania wanasema hali ya usalama imebaki vilevile huku asilimia 10 wanasema hali imekuwa mbaya zaidi.
Takwimu za Sauti za Wananchi za mwaka 2015 zilionesha kwamba asilimia 57 ya wananchi hawakuwahi kuhisi hawako salama kutembea kwenye maeneo wanayoishi. Lakini mwaka 2017 idadi imeongezeka...

 

4 years ago

Bongo5

Davido kusherehekea birthday yake ya 23 kwenye majiji manne ya nchi tofauti duniani

Davido ni miongoni mwa wasanii wa muziki wa Nigeria wenye mafanikio makubwa licha ya kuwa pia anatoka kwenye familia tajiri. Mara nyingi Davido na wasanii wengine huwa wana-share na mashabiki wao kwenye mitandao ya kijamii jinsi wanavyozihangaikia noti usiku na mchana kwa kusafiri kufanya shows, kushoot videos n.k, na ndio sababu hua hawaoni tabu pia […]

 

2 years ago

Raia Mwema

Mwaka mmoja wa Magufuli na kama urais ungekuwa wa mwaka mmoja

MAJUZI hapa kwenye siku yake ya kuzaliwa, Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli yumkini aliacha kula keki yake ya kusheherekea siku yake hiyo na kuamua kuwa kazini.

Zikatujia taarifa kubwa mbili; utenguzi wa uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) na ziara ya kushtukiza Wizara ya Maliasili na Utalii, chumba cha kuhifadhi meno ya tembo.

Nataka niwe mkweli kwa nafsi yangu, kuwa hata kama tungekuwa, kama nchi, na utaratibu wa kuwa na rais wa kipindi cha mwaka mmoja,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani