Dk. Kigwangalla atoa onyo kali kwa Madaktari na wauguzi wanaojihusisha na matendo ya kuomba na kupokea rushwa

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa onyo kali kwa wanataalum wa sekta ya afya kuacha mara moja vitendo vya kupokea na kuomba rushwa kwani endapo watabainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.

Dk. Kigwangalla emesema hayo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kuadhimisha siku ya kinywa na meno duniani yaliyofanyika katika viwanja vya shule ya tiba ya kinywa na Meno, Muhimbili.

Ambapo amesema kuwa kwa utawala...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI DK. KIGWANGALLA ATOA ONYO KALI KWA MADAKTARI NA WAUGUZI WANAOJIHUSISHA NA MATENDO YA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA.

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa onyo kali kwa wanataalum wa sekta ya afya kuacha mara moja vitendo vya kupokea na kuomba rushwa kwani endapo watabainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.
Dk. Kigwangalla emesema hayo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kuadhimisha siku ya kinywa na meno duniani yaliyofanyika katika viwanja vya shule ya tiba ya kinywa na Meno, Muhimbili.
Ambapo amesema kuwa kwa utawala...

 

3 years ago

Michuzi

KITWANGA ATAKA MADAKTARI, WAUGUZI WANAOJIHUSISHA NA RUSHWA WACHUKULIWE HATUA KALI JIMBONI KWAKE.

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, Charles Kitwanga (aliyevaa koti) akicheza ngoma ya asili na wananchi wa Kata ya Sumbugu wilayani Misungwi mara baada ya kuwasili katika eneo hilo kwa ajili ya kufungua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hao. Waziri Kitwanga amemaliza ziara jimboni kwake leo na kuwaonya madaktari na wauguzi wilayani humo kuacha tabia ya kuwaomba rushwa wananchi.  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia...

 

3 years ago

Dewji Blog

Dk.Kigwangalla aagiza kusimamishwa kazi kwa Wauguzi sita wa Hospitali ya Temeke kwa kuomba rushwa

Wauguzi sita wa wodi ya akinamama Wajawazito wa hospitali  ya rufaa ya Temeke,wamesimamishwa kazi kwa kukiuka maadili ya taaluma yao wakati wa kuwahudumia akina mama wanaofika kujifungua kwenye hospitali hiyo.

 Hatua hiyo imefikiwa kwenye ziara iliyofanywa hospitalini hapo na Naibu waziri, wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,wazee na Watoto, Mh. Dkt. Hamisi Kigwangwalla alipofanya ziara ya kawaida kuangalia utendaji wa kazi aliyofaya mapema leo Machi Mosi. (Machi 1.2016).

Tukio hilo...

 

3 years ago

Dewji Blog

Waziri Kitwanga ameagiza Madaktari na Wauguzi wanaojihusisha na rushwa wachukuliwe hatua

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, Charles Kitwanga amemtaka Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Misungwi kuwachukulia hatua kali ikiwemo kuwafukuza kazi wauguzi na madaktari watakaokuwa wanawaomba rushwa wananchi jimboni kwake.

Kitwanga alisema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa wananchi kwa muda mrefu kuwa rushwa imekithiri katika hospitali ya Wilaya jimboni humo na kuwakatisha tamaa wananchi wanaoenda kupata huduma hospitalini...

 

3 years ago

Michuzi

mgambo Jela miaka 3 kwa kuomba na kupokea rushwa wilayani chato mkoani geita

Na Frank Mvungi  Mahakama ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita imemtia hatiani Mgambo wa Mahakama ya mwanzo Buseresere Bw. Majaliwa Revelian Gwakilala kwa makosa ya kuomba na kupokea Rushwa kinyume na kifungu cha 15 (1 na 2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa.Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kesi dhidi ya Mtuhumiwa huyo ilifunguliwa mnamo tarehe 14/1/2016.  Akisoma hukumu mbele ya mwendesha mashitaka wa...

 

3 years ago

Mtanzania

Mwakifwamba atoa onyo kali kwa wasanii

mwakiNA GEORGE KAYALA
RAIS wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba, amewaonya wasanii wa filamu na wale wanaounga mkono Shirikisho hilo kutogombana na amewataka waungane kwa ajili ya kufanya kazi.

Akizungumza na MTANZANIA, Mwakifwamba alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya vuta nikuvute baina ya makundi hayo ya wasanii ugomvi uliochangia kuirudisha nyuma tasnia hiyo

“Tunashukuru ugomvi umeisha, sioni sababu ya wasanii kurudia hiyo tabia ya kutupiana vijembe kwani...

 

5 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Urussi

Rais wa Marekani ameonya Urussi kusitisha mpango wake wa kutaka kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine lasivyo iwekewe vikwazo

 

3 years ago

Mwananchi

Abramovich atoa onyo kali kwa nyota Chelsea

Siku mbili baada ya kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho kutoka Chelsea, mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich amewageukia wachezaji wa kikosi cha kwanza na kuwataka wabadilike.

 

3 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Afrika Kusini

Rais wa Marekani Barack Obama ameipa Afrika ya Kusini siku 60 kuondoa vikwazo katika bidhaa za kilimo kutoka Marekani la sivyo ataiondolea msamaha wa kodi wa bidhaa.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani