Dk Mashinji, wenzake waendelea kushikiliwa Chadema ikitoa tamko

Wakati wanasiasa kutoka vyama vya upinzani na wanaharakati wakilaani kushikiliwa kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji na viongozi wengine kuwekwa kizuizini kwa saa 48, chama hicho kimetoa tamko kikitaka waachiwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwananchi

Wema Sepetu, TID na wenzao waendelea kushikiliwa polisi

Wakati macho na masikio ya Watanzania wakisubiri kusikia hatma ya wasanii wanaodaiwa kujihusisha na dawa za kulevya, wasanii wanne waliofika Kituo Kikuu cha Polisi bado wanashikiliwa na jeshi hilo kwa mahojiano zaidi.

 

9 months ago

Mwananchi

Utata waibuka dhamana ya Dk Mashinji, wenzake nane

Licha ya Mahakama kutoa dhamana kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji na wenzake wanane, bado walipelekwa rumande jana katika mazingira yanayoelezwa kuzua utata.

 

2 years ago

Mwananchi

Dk Mashinji, katibu mkuu Chadema

Dk Vincent Mashinji amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chadema akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk Willibrod Slaa aliyeachana na chama hicho siku chache kabla ya Uchaguzi Mkuu.

 

2 years ago

Mtanzania

Chadema wapongezwa uteuzi wa Dk. Mashinji

MtatiroCHRISTINA GAULUHANGA NA HERIETH FAUSTINE , DAR ES SALAAM

BAADHI ya wanasiasa na wananchi wa kada mbalimbali wamepongeza hatua ya Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa kupitisha uteuzi wa Dk. Vicent Mashinji, kuwa katibu mkuu wa chama hicho.

Wakizungumza na  MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Julius Mtatiro, alisema uteuzi wa Dk. Mashinji umekuwa wa siri na umekiletea chama hicho heshima ya kipekee.

Alisema hatua ya uteuzi...

 

2 years ago

TheCitizen

Chadema will bounce back next month, Mashinji says

If you thought “what Magufuli will do next” hype would be impressive enough for the back benchers to relax, think again.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Dk. Mashinji azindua Ofisi ya Chadema Kinondoni

Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameendelea na ziara zake za uimarishaji wa chama hicho kwa kufungua ofisi pamoja na matawi mbalimbali, anaandika Charles William. Baada ya kufanya ziara ya kukagua uhai wa chama, kuzindua matawi na kuchangisha zaidi ya Sh. 12 milioni kwaajili ya ujenzi wa ofisi za Chadema ...

 

2 years ago

CHADEMA Blog

Dk. Vicent Mashinji ndiye Katibu Mkuu Chadema

DAKTARI Vicent Mashinji ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kupitishwa na Baraza Kuu la Chadema, katika kikao chake kilichokaa jijini Mwanza, anaandika Mwandishi Wetu.Katika Kikao hicho cha Baraza Kuu, Freeman Mbowe alitangaza jina la Dk. Mashinji na kuungwa mkono na wajumbe wa baraza hilo, hivyo anajaza nafasi iliyoachwa na Dk. Willibrod Slaa,

 

2 years ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Chadema Will Bounce Back Next Month, Mashinji Says


Tanzania: Chadema Will Bounce Back Next Month, Mashinji Says
AllAfrica.com
Dar es Salaam — If you thought "what Magufuli will do next" hype would be impressive enough for the back benchers to relax, think again. Chadema, Tanzania's main opposition party, is hatching a plan to outdo what it calls the strongman's one-man show, ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani