Dk Mpango azungumzia uhusiano wa China na Tanzania

Licha ya mambo mazuri yaliyofanywa kutokana na uhusiano mwema kati ya China na Tanzania, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema huu ni wakati wa kuutafakari uhusiano huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

UHUSIANO WA TANZANIA NA CHINA WAZIDI KUIMARIKA

Na Beatrice Lyimo-MaelezoSERIKALI imesema itaendeleza uhusiano na ushirikiano wake na Jamhuri ya Watu wa China kwa kuimarisha  fursa mbalimbali za kijamii ikiwemo nyanja ya  kiutamaduni. 
Hayo yamesemwa leo Jumatatu (Oktoba 12, 2015)Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wakati wa halfa ya uzinduzi wa chaneli mpya ya filamu ya China –Africa Movies itakayoonyeshwa kupitia kituo cha televisheni cha Easy Television kilichopo nchini.
Bw. Mwambene amesema kuwa...

 

4 weeks ago

Michuzi

Maadhimisho ya Miaka 55 ya Uhusiano wa Tanzania na China

Waziri wa Elimu Sayansi ya Tekenolojia Prof. Joyce Ndalichako Akizungmza katika hafla ya Maadhimisho ya miaka 55 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China, iliyofanyika katika Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jumatano 24 April 2019. Balozi wa China Nchini Tanzania Wang Ke, akizungumza katika hafla ya Maadhimisho ya miaka 55 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China iliyofanyika katika Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jumatano 24 April 2019.

 

2 years ago

VOASwahili

China: "Uhusiano wetu na Tanzania ni wakupigiwa mfano"

ripoti zinasema kuwa ushirikiano huo utaiwezesha Tanzania kuwa na viwanda vinavyokadiriwa kufikia 2000 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2020.

 

2 years ago

VOASwahili

Viongozi Tanzania waahidi kuimarisha uhusiano na China

Viongozi mbalimbali nchini Tanzania wameungana pamoja kupongeza hatua zinazoendelea kuchukuliwa katika kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na China.

 

2 years ago

Michuzi

UHUSIANO WA TANZANIA NA CHINA UNACHOCHEA UCHUMI – MAMA SAMIA.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni 70 na laki nne kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi Chato kutoka kwa Balozi wa China nchini Dkt. Lu Youqing wakati wa hafla ya uzinduzi wa sherehe za maadhimisho ya Mwaka Mpya wa China leo jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam leo wakati hafla ya kufungua sherehe...

 

2 years ago

Mwananchi

Sekta binafsi watilia shaka uhusiano wa Tanzania, China

Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imesema kuzorota kwa uhusiano wa Serikali ya Tanzania na China kumeathiri sekta binafsi.

 

4 years ago

Michuzi

UHUSIANO WA MASUALA YA UTAMADUNI KATI YA TANZANIA NA CHINA WAENDELEA KUBORESHWA

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (katikati) akimsikiliza Afisa Balozi wa China anayehusika na masuala ya Utamaduni nchini Tanzania Bw. GAO WEI (wapili kushoto) walipofika katika ofisi za Wizara kutambulisha uongozi mpya na kutoa nafasi kwa uongozi wa zamani kuaga Wizara yenye dhamana na masuala ya Utamaduni leo Jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (kulia) akimkabidhi Afisa Balozi wa...

 

1 year ago

Michuzi

BALOZI KAIRUKI, AZUNGUMZIA MKUTANO JUKWAA LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA CHINA

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiMKUTANO wa  Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na China unatarajia kuanza kufanyika Beijing nchini China.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo na Remidius Emmanuel kutoka Beijing,China amesema  kesho Aprili mwaka huu saa saba mchana (saa za China ) kutakuwa na mkutano huo.
Lengo mahususi la mkutano ni  kuvutia uwekezaji katika sekta ya viwanda  na hasa kwenye viwanda  vya kutengeneza dawa na vifaa tiba. 
Mkutano huu umeandaliwa kwa pamoja kati ya ubalozi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani