Dk. Shein aanza ziara visiwani Zanzibar

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dkt. Ali Mohamed Shein  amewataka viongozi na watendaji wa chama hicho kufanya kazi za kuimarisha taasisi hiyo ya kisiasa ili ishinde na kuongoza dola katika uchaguzi mkuu ujao.

Rai hiyo ameitoa  wakati akizindua Tawi la CCM la Kitope ‘B’  jimbo la Mahonda kwenye ziara yake ya kukagua na kuzindua miradi mbali mbali ya maendeleo aliyoianza leo Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na wananchi pamoja...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

Dk Shein aanza ziara India

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein amewasili nchini India kuanza ziara ya kikazi ya siku tisa. Ziara hiyo ina lengo la kukuza uhusiano kati ya Tanzania na India pamoja na kuhimiza ushirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya India katika maeneo ya kiuchumi, huduma za jamii, biashara na uwekezaji.

 

9 months ago

Michuzi

Ziara ya Waziri January Makamba visiwani Zanzibar yaingia siku ya pili

  Imebainika kuwa Bandari ya Zanzibar ni miongoni mwa Vyanzo vya Mapato vinavyopelekea ukuaji wa uchumi baina ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na ile ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na fursa zilizopo katika nyanza za biashara. Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Zanzibar Captain Abdallah Juma Abdallah katika siku ya pili ya ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba ambapo amepata fursa ya kutembelea Bandari...

 

2 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dkt Shein na wajumbe wa visiwani watua Dodoma asubuhi hii kushiriki mkutano maalum wa CCM

Rais wa Zanzibar na MakamU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mh Jordan Rugimbana muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mkoani Dodoma sambamba na wajumbe wake asubuhi hii,kushiriki mkutano maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika Julai 23,206 katika ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma.Rais wa Zanzibar na MakamU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya...

 

1 year ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU WA KAMATI MAALUM YA NEC IDARA YA SIASA NA UHUSIANO WA KIMATAIFA,MHANDISI HAMAD MASAUNI VISIWANI ZANZIBAR

 Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Idara ya Siasa na  Uhusiano wa Kimataifa  Zanzibar , Mhandisi Hamad Masauni,  akizungumza na vyombo vya habari katika eneo la Mwanyanya Mikoroshini lililopo mkoa wa Mjini Magharibi ambalo matendo ya uhalifu ikiwepo utumiaji wa dawa za kulevya na uporaji  hufanyika hapo ambapo ameuagiza uongozi wa Jeshi la Polisi kushirikiana na wananchi kuhakikisha wahalifu hao wanakamatwa na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Katibu wa Kamati Maalum ya NEC  Idara ya Siasa...

 

3 years ago

Vijimambo

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN, AENDELEA NA ZIARA YAKE KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA CCM ZANZIBAR.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere Bububu kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa Wanawake wa Wilaya ya Mfenesini Unguja Kichama kuwaombea Kura Wagombea Wote wa Chama cha Mapinduzi CCM.Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Wilaya ya Mfenesini Unguja Kichama akitowa salamu za Wilaya yake kwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Bububu.

 

3 years ago

Michuzi

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN- UJERUMANI


1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Maritim Hotel Bw.Wissmann katika Mji wa  Wurzburg Nchini Ujerumani jana alipowasili katika Mji huo akiwa katika ziara ya Kiserikali ambapo atahudhuria ufunguzi wa maonesho ya Muziki yanayojumuisha wasanii kutoka nchi za Afrika na Mabara mengine (kulia) Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Philip Marmo, [Picha na Ramadhan Othman.]2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

11 months ago

CCM Blog

ZIARA YA RAIS DK SHEIN MKOA WA KASKAZINI B, ZANZIBAR JANA


 ​Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akifungua pazia kama ishara ya  kulifungua Tawi la CCM Kitpe "B" leo akiwa katika ziara ya kutembelea maendeleo mbali mbali ya Kimaendeleo Wilaya ya kaskazini "B" Unguja,
 ​Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Jimbo Hasina Juma Mati (wa...

 

11 months ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA MAGHARIBI "B".

 Baadhi ya Wananchi  na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa Kinuni na Magogoni wakiwa katika shamra shamra wakati  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani ) alipofika kutembelea Ujenzi wa barabara ya Kwamata -Kinuni mpaka Kijito upele leo inayojengwa na Mkandarasi wa kampuni ya Mecco,Rais akiwa katika ziara yake ya kutembelea maendeleo ya Miradi ya maendeleo Wilaya ya Magharibi"B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi. Baadhi ya Wananchi ...

 

6 months ago

Michuzi

ZIARA YA DK SHEIN ENEO LA UJENZI WA MATANKI YA MAFUTA MWANGAPWANI ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar  Ahmeid Rashid akitowa maelezo ya ujenzi wa Matenki ya kuhifadhia mafuta katika eneo la Mangwa pwani Zanzibar (Picha na Ikulu).

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani