DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA CRCC NA CCECC KUTIKA CHINA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China  Bw.Zhuang Shangbiao (kulia)alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Rais wa Kampuni ya Civil Engineering Construction  Corporation (CCECC) Bw.Zhao Dianlong (wa pili kulia) pamoja na Viongozi waliofuatana nao katika ziara ya hapa Nchini,[Picha na Ikulu.] 16/05/2018. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

Michuzi

Balozi Seif akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi ya CCECC ya China

Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Uhandisi wa Ujenzi ya Nchini China ya Civil Engineering Construction Corporation 'CCECC' Bw. Zhuang  Shangbiao alisema hatua iliyochukua  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  'SMZ' ya kuipa kazi ya ujenzi wa barabara Nchini imeleta heshima kubwa na ya kipekee kwa Kampuni hiyo.
Alisema kazi iliyo mbele kwa uongozi na wahandisi wa kampuni hiyo hivi sasa ni kujipanga vyema katika kuhakikisha heshima waliyopewa na SMZ wanailinda katika kuwajibika ipasavyo  wakati wa...

 

3 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA CHINA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi kutoka China (ZHEJING UNIVESITY  OF MEDIA&COMMUNICATIONS) Rrof.Dk.Peng Shaojian wakati alipofika Ikulu mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe kutoka nchini China katika Chuo cha (ZHEJING UNIVESITY  OF MEDIA&COMMUNICATIONS) chini ya kiongozi wake Mwenyekiti wa...

 

10 months ago

Michuzi

RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MADAKTARI KUTOKA CHINA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo akiongoza timu ya Madaktari kutoka China. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  timu ya Madaktari kutoka China inayoongozwa na  Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu (wa tatu kulia) wakati timu hiyo alipofika Ikulu Mjini...

 

10 months ago

Michuzi

RAIS DK.SHEIN APOKEA UJUMBE KAMPUNI YA KUSHAN ASIA AROMACOOPERATION YA NCHINI CHINA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya “KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED” kutoka China Bw.Zhou Junxue akiwa na Ujumbe wa Viongozi aliofuatana nao leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya “KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED” kutoka China Bw.Zhou Junxue (katikati) walipokuwa katika...

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA TBEA YA CHINA, IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Ofisini kwake, Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya TBEA, Zhong Yanmin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 30, 2015 kwa mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya TBEA, Zhong Yanmin, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 30, 2015 kwa ajili ya mazungumzoMakamu wa...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA CHINA ELECTRONICS CORPORATION

 Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kampuni ya China Electronics Corporation ya kutoka nchini China, Ikulu jijini Dar es Salaam
 Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na ujumbe kutoka kampuni ya China Electronics Corporation ya kutoka nchini China, Ikulu jijini Dar es Salaam 
 BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI 

 

2 years ago

CCM Blog

DK. SHEIN AKUTANA NA MENEJA WA KAMPUNI YA CHINA HARBOUR ENGINEERING, LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akisalimiana na mgeni wake Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd  Xu Xinpei alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akizungumza na  mgeni wake Meneja wa China Harbour Engineering Company Ltd  Xu Xinpei  wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kwa...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMONISTI CHA CHINA LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China(CPC) Bw. Guo Jinlong alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China(CPC) Bw. Guo Jinlong alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.

 

4 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na ujumbe wa kampuni ya SUMITOMO

PG4A5470

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa  wa Kampuni ya Japani ya  SUMITOMO baada ya kuzungumza nao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014.Kulia kwake ni Rais wa kampuni hiyo, Nakamura Kumharu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani