DK.SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Shaaban Seif .Balozi Mohammed  kuwa    Katibu Mkuu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais   katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha    Bibi Khadija Bakari Juma  kuwa  Katibu Mkuu katika Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.” Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...

 

2 years ago

Michuzi

Breaking Newzzzzz:Rais Magufuli afanya mabadiliko ya Makatibu wakuu, Naibu Katibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Desemba, 2016 amefanya uteuzi wa Katibu Mkuu mmoja na Mkuu wa Mkoa mmoja na pia amefanya mabadiliko madogo katika Wizara na Mikoa kama ifuatavyo;Dkt. Magufuli amemteua Prof. Faustin Kamuzora kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais.Kabla ya uteuzi huo, Prof. Kamuzora alikuwa Katibu Mkuu Mawasiliano.Rais Magufuli amemteua Mhandisi Mathew Mtigumwe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Uvuvi na Mifugo...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU WAKUU WAKE LEO IKULU JIJINI DAR.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence S.Milanzi akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Naibu wakatibu wakuu iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Jaji Meja Jenerali Projest A.Rwegasira akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu leo Ikulu Jijini Dar

IMG_0296

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Profesa Adolf Mkenda (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. IMG_0311 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Dkt.  Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Dkt. Maria Mashingo (kulia) kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 01 Januari, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam. IMG_0322 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWAPONGEZA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU

WAZIRI MKUU  Mhe. Kassim Majaliwa amewapongeza Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu, mara baada ya kuapishwa Ikulu  jijini Dar es Salaam leo. Ametoa pongezi hizo wakati Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wakiwa wametia saini hati ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma mbele ya waandishi wa habari.Mhe. Majaliwa pia amewataka viongozi hao, kuwa waaminifu, kuwajibika na  kutoa taarifa ya utendaji kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa, viongozi wengine watakao apa mbele ya Kamishna wa Tume ya...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AWAAPISHA NAIBU KATIBU WAKUU LEO.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein   akimuapisha Dk.Islam Seif Salum kuwa Naibu Katibu Mkuu ,Mifugo na Uvuvi katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi, katika  hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  akimuapisha Nd,Hassan Abdulla Mitawi  kuwa  Naibu Katibu Mkuu Habari katika Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla...

 

4 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI,WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WAPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William Shellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia leo Ikulu jijini Dar es salaam Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongella kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera leo Ikulu jijini Dar es salaam.…

 

4 years ago

Dewji Blog

Balozi Sefue afungua mkutano wa mwaka wa makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu leo mjini Dodoma

1

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.”

2

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Kaimu Naibu Kamishn TRA Nchini!!

5aa3c565-fa36-40d8-814f-d724ca5285d3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam jioni ya leo December 30, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.

Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;

Katibu Mkuu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani