DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango   katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja. Waziri wa Fedha na Mipango  Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed   (kushoto) akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya  Mzee wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 weeks ago

Michuzi

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR IKULU NDOGO KIBWENI ZANZIBAR

Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa uchumi wa Zanzibar umeendelea kuimarika sambamba na ukusanyaji mzuri wa mapato na matumizi yake.

Hayo aliyasema leo, katika ukumbi wa Ikulu ndogo Kibweni mjini Zanzibar alipokutana na uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakati ilipowasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa Kipindi cha Julai 2018 hadi Machi 2019.

Katika maelezo yake Rais Dk. Shein...

 

2 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA ZRB,NA UONGOZI WA WIARA YA FEDHA NA MIPANGO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB na Uongozi wa ZRB katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZRB Bw.Saleh Sadik (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)akiwa Mwenyekiti wa...

 

2 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA AfYA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika   Wizara ya Afya   wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA AFYA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya  katika  kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo  Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 21/10 /2016.komb2Waziri wa Afya Mhe,Mahmoud Thabit Kombo   akisoma   utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika  kikao siku moja cha robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016 ...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA ELIMU,ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni. Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi kwa kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Shein Azungumza na Uongozi Wizara ya Miundombinu Mawasiliano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara Miundimbinu na Mawasiliano katika Utekelezaji wa Mpango kazi wa robo mwaka kutoka Julai-Machi 2013/2014,ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

2 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI,MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongozaa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,   cha Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja. Wakurugenzi wa Idara zilizokatika Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji  wakiwa kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, kilichofanyika leo...

 

3 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA BIASHARA,VIWANDA NA MASOKO.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja
Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Balozi Ali Abeid Aman Karume akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika kikao cha robo mwaka ya kwanza ya...

 

2 years ago

CCM Blog

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI,MAJI,NISHATI NA MAZINGIRA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira   katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani