Dkt Gwajima ataka Wagonjwa kutoandikiwa kununua dawa nje ya hospitali za halmashauri

Na Mathew Kwembe, BabatiSerikali imezitaka Halmashauri za Wilaya kuhakikisha kuwa zinatekeleza agizo lake la kuhakikisha wanaimarisha upatikanaji wa dawa katika vituo vya huduma za afya na kuepuka tabia ya kuwaandikia wagonjwa kwenda kununua dawa nje ya kituo.
Agizo hilo limetolewa jana mjini Babati na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt Dorothy Gwajima mara baada ya kuitembelea  hospitali ya Mrara ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kukagua huduma za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Habarileo

Gwajima mwingine ataka kasi vita dawa za kulevya

WATANZANIA wametakiwa kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli na serikali yake katika vita dhidi ya dawa za kulenya.

 

5 years ago

Michuzi

HOSPITALI ZATAKIWA ZITUMIE VYANZO VINGINE VYA KUNUNUA DAWA

Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii  Dkt. Kebwe Kebwe amewataka viongozi wa halmashauri kushirikiana na waganga wakuu kuhakikisha dawa na vifaa tiba vinavyotolewa na Serikali kupitia Bohara Kuu ya Dawa MSD vinatumika ipasavyo.

Dkt. Kebwe alisema hayo jana wilayani Masasi Mkoani Mtwara katika ziara ya kwanza toka uteuzi wake kutoka kwa Rais Kikwete wakati akiwa na kamati ya kudumu ya Bunge  huduma za jamii kukagua taratibu za usambazaji dawa vituo na hospitali za...

 

2 years ago

Michuzi

HALMASHAURI NCHINI ZAKUMBUSHWA WITO WA KUNUNUA DAWA ZA KUUA VILUWILUWI VYA MBU WAENEZAO MALARIA


Na Benedict Liwenga-WHUSM.
Halmashauri nchini zimetakiwa kuitikia wito wa kununua dawa za kuua viluwiluwi vya mbu wa malaria zilizoanza kuzalishwa hapa nchini ili kukabiliana na ugonjwa wa malaria.
Kauli hiyo imetolewa jana na Kaimu Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kuzalisha Viuadudu vya Kuua Viluwiluwi vya Mbu wa Malaria cha Tanzania Biotech Products Limited kilichopo Kibaha Mkoani Pwani, Bw. Samwel Mziray wakati alipokutana na Waandishi wa habari na kufanya nao mazungumzo juu ya shughuli...

 

3 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA JENGO LA WAGONJWA WA NJE HOSPITALI YA KIVUNGE KASKAZINI UNGUJA

kutimia miaka 52 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwyinyihaji Makame kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe  kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja lililojengwa na Shirika lisilokuwa la kiserikali kutoka Uingereza (HIPZ) ikiwa ni katika shamra shamra za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 (wa pili kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mahmoud...

 

3 years ago

Ippmedia

Waziri wa afya amesema kila halmashauri itawajibika kununua dawa za viuadudu kwa ajili kuulia mbu.

Waziri wa afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Mh.Ummy Mwalimu amesema kila halmashauri nchini zitawajibika kununua dawa za viuadudu kwa ajili ya kuulia viluwiluwi vya kuulia mbu na kunyunyizia kila wiki ili kuua mazalia ya mbu zoezi litakaloipunguzia serikali mzigo wa kutumia fedha nyingi katika kupambana na ugonjwa wa malaria unaoua maelfu ya watanzania nchini.

Day n Time: Jumanne Saa 2:00 Usiku Station: ITV

 

2 years ago

Michuzi

MADIWANI HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI WATOA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA KILIMANJARO,MAWENZI.

MADIMadiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro,Maawenzi wakiwa  wamebeba zawadi mbalimbali kwa ajili ya kutoa kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapoKatibu wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro,Mawenzi ,Boniface Lyimo akizungumza mara baada ya kuwapokea Madiwani hao na kutoa maelekezo ya namna ya kutoa zawadi hizo kwa wagonjwa waliolazwa katika Hospitali hiyoMadiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,wakielekea katika wodi...

 

2 years ago

Michuzi

HALMASHAURI ZIMUUNGE MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA VITANDA VYA KUJIFUNGULIA - DKT NCHIMBI

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi akifungua moja kati ya vitanda 14 vya kujifungulia vilivyotolewa na Rais Magufuli mapema leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida.
Halmashauri saba za Mkoa wa Singida zimeagizwa kununua vitanda kumi kwa ajili ya akina mama kujifungulia ili kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli za kuboresha afya ya mama na mtoto. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi ametoa agizo hilo mapema leo katika...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani