Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ameendelea na ziara ya kukagua hatua iliyofikiwa katika ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya kupoza na kusambaza umeme pamoja na njia ya kusafirisha umeme kutoka Makambako hadi Songea.
Lengo la ziara hiyo ni kukagua uimara wa mitambo ili Serikali kupitia TANESCO iweze kujipanga vizuri kwa kuwa na umeme wa uhakika.
Waziri wa Nishati Dkt MEDARD KALEMANI akiwa kwenye ziara ya Kukagua hatua iliyofikiwa katika ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya kupoza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

DKT. KALEMANI AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI JIMBONI KWAKEMbunge wa Jimbo la Chato na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (aliyevaa miwani) akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nyakayondo kuhusiana na utekelezaji wa miradi mbalimbali kijijini humo na jimboni kwa ujumla.
Mbunge wa Jimbo la Chato na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani akielekeza jambo wakati wa ukaguzi wa kisima (kilichofunikwa kwa nyasi) kilichochimbwa katika kijiji cha Nyakayondo. Jumla ya visima virefu 30 vinatarajiwa kuchimbwa...

 

2 years ago

Michuzi

DK MEDARD KALEMANI AFANYA ZIARA MIKOA YA RUVUMA, NJOMBE, IRINGA NA MOROGORO KUKAGUA MIRADI YA UMEME

 Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk Medard Kalemani (katikati) akizungumza na wananchi wa Kata ya Ulaya wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro, kuhusu utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini (REA II na REA III), wakati wa ziara yake wilayani humo hivi karibuni. Diwani wa Kata ya Ulaya wilayani Kilosa, Matokeo Kenedi (kushoto), akimweleza Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk Medard Kalemani (kulia) mahitaji ya umeme kwa wananchi wa Kata yake, wakati wa ziara ya Naibu Waziri kukagua miradi ya...

 

1 year ago

Michuzi

Dkt. Kalemani akagua miradi ya uzalishaji Umeme Katavi

Na Teresia Mhagama, Katavi
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amefanya ziara mkoani Katavi kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), mwaka 2017 ya kukamilisha ufungaji wa mitambo mipya ya kuzalisha umeme katika wilaya ya Mpanda  na Mlele mkoani humo.
Dkt. Kalemani alitoa maagizo hayo baada ya mitambo iliyokuwepo  katika kituo cha Mpanda kuharibika na hivyo kupelekea mkoa huo kuwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme huku baadhi ya...

 

2 weeks ago

Michuzi

Dkt. Kalemani aitaka TANESCO kuendeleza miradi ya umeme vijijini

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuendelea kusambaza umeme vijijini mara wakandarasi wa umeme vijijini wanapomaliza kazi kwa mujibu wa mkataba.
Dkt. Kalemani aliyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua kazi ya usambazaji umeme vijijini katika Wilaya za Mpwapwa na Bahi mkoani Dodoma ambapo aliambatana na Wawakilishi wa wananchi katika maeneo hayo, Watendaji wa Wizara ya Nishati, TANESCO na Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Yapo maeneo...

 

3 years ago

Michuzi

Dkt. Kalemani awaagiza Wakandarasi wa Umeme Vijijini kukamilisha miradi Machi 30

  Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard  Kalemani (wa pili kulia) akimsikiliza mmoja wa wananchi wanaozunguka mgodi wa dhahabu wa Busolwa mkoani Geita wakati alipofanya ziara katika mgodi huo ili kuangalia shughuli mbalimbali zinazofanyika katika mgodi huo.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard  Kalemani (wa tatu kulia) akiangalia baadhi ya mitambo inayotumika katika shughuli za uzalishaji dhahabu katika  mgodi wa Busolwa mkoani Geita wakati alipofanya ziara katika mgodi huo...

 

2 years ago

Michuzi

DKT. KALEMANI AENDELEA KUZINDUA MIRADI YA UMEMEMVIJIJINI AWAMU YA TATU (REA PHASE III MIKOA YA KUSINI NA RUKWA

Na Henry Kilasila - Rukwa
Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Dkt Medard Kalemani ameendelea na ziara za uzinduzi wa Miradi ya Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA PHASE III) ambapo Agosti 14, 2017 alikuwa Mikoani Rukwa katika Kijiji cha Kabwe Wilaya ya Nkasi.
Dkt. Kalemani alisema jumla ya Shilingi Bilioni 42.5 zitatumika kupeleka umeme katika Mkoa huo na kuongeza Mradi huo utatekelezwa katika vipindi viwili tofauti ambapo sehemu ya kwanza itahusisha upelekaji umeme katika vijiji 111.
"Sehemu ya...

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI ITAHAKIKISHA MIRADI YA UMEME, MBAGALA, KURASINI NA KIGAMBONI INAKAMILIKA-DKT. KALEMANI

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
SERIKALI kupitia Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), imeahidi kusimamia miradi ya umeme Kituo cha Tipper-Kigamboni,  Mbagala na Kurasini ili kuhakikisha inakamilika kwa haraka na kwa wakati na hatimaye wananchi wa maeneo hayo wanaondokana na adha ya kukatika kwa umeme mara kwa mara.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani, mwishoni mwa ziara yake ya kufuatilia uboreshaji wa vituo vya kupoza na kusambaza umeme pamoja na ujenzi wa...

 

2 years ago

CCM Blog

DKT. KALEMANI AITAKA TANESCO KUUNGANISHA NGUVU KUKAMILISHA MIRADI YA UMEME YA KURASINI NA KIMBIJI


NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidNAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani,(pichani anayeongea), amelitaka Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuunganisha nguvu ili kuhakikisha wanakamilisha mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza na kusamabaza umeme kinachotarajiwa kujengwa huko Kimbiji wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam.Dkt. Kalemani ametoa maelekezo hayo , wakati alipofanya ziara kukagua miradi ya umeme kwenye kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Kurasini, Kigamboni na eneo...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI AFANYA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI

Mwishoni mwa wiki Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ametembelea na kukagua utekelezaji wa Miradi ya umeme vijijini (REA II & REA III) kwenye jumla ya vijiji 18 katika wilaya za ROMBO, MWANGA NA SAME Mkoani Kilimanjaro.
Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliongea na wananchi, pia kutambulisha wakandarasi wa miradi ambapo aliwaagiza wakandarasi waepuke kurudia makosa yaliyojitokeza awali na kuhakikisha wanakamilisha kazi ndani ya muda uliopangwa.
Pia Katika ziara hiyo Mh. Naibu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani