DKT KIJAJI AFANYA ZIARA MITAANI JIJINI DODOMA KUKAGUA MASHINE ZA EFD,ABAINI BAADHI YA WAFANYABIASHARA HAWAZITUMII

Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amefanya ziara katika mitaa ya Jiji la Dodoma, kukagua upatikanaji wa huduma ya mashine za kielektroniki za kutolea risiti (EFDs), ambazo mfumo wake ulipata hitilafu hivi karibuni ambao hivi sasa umetengemaa na kubaini kuwa licha ya hitilafu iliyotokea, wafanyabiashara wengi katika jiji hilo hawazitumii ipasavyo mashine hizo.
Dkt. Kijaji aliyeambatana na Kamishna wa Kodi za Ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

DKT. PHILIP MPANGO ABAINI BAADHI YA WAFANYABIASHARA DODOMA HAWATUMII IPASAVYO EFDs

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) akikagua mashine ya EFD na risiti ya kieletroniki aliyopewa baada ya kununua bidhaa kwenye moja ya maduka mjini Dodoma, alipofanya ziara ya kushitukiza kukagua kama wafanyabiashara wa mji huo wanatumia ipasavyo mashine hizo.Kiongozi wa Timu Maalumu ya Ukaguzi wa Mashine za EFD’s kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Dodoma, Bw. Godfrey Patrick (wa pili kushoto) akifafanua jambo wakati wa ziara ya kushitukiza iliyofanywa na...

 

4 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Fedha afanya ukaguzi wa matumizi wa mashine za EFD katika maduka mkoani Dodoma

SONY DSC

Mh.Waziri wa Fedha Saada M. Salum (MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.

Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum amefanya ukaguzi wa ghafla katika baadhi ya maduka Mkoani Dodoma ili kuona kama maelekezo ya Serikali kuhusu matumizi ya mashine za EFD yanatekelezwa ipasavyo.

Katika ukaguzi huo ambao ulihusisha maduka ya kuuza thamani za majumbani,nguo na maduka ya kuuza bidhaa mchanganyiko (Min...

 

3 years ago

Michuzi

DK. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA MUHIMBILI NA KUKAGUA MASHINE ZA CT-SCAN NA MRI, AFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI

IMG_0910Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dk. Hamisi Kingwangalla akimpongeza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Prof. Lawrence Mseru baada ya kuona mabadiliko makubwa katika hospitali hiyo tangu alipokaimu kiti hicho wakati wa zaiara ya kushtukiza katika chumba kilichofungwa mashine mpya ya CT-Scan iliyonunuliwa na Serikali hivi karibu na inauwezo mkubwa wa kufanya kipimo kwa sekunde 6 na kutoa majibu. Kulia ni Mkuu wa...

 

4 years ago

Michuzi

MH.WAZIRI WA FEDHA SAADA M.SALUM AFANYA UKAGUZI WA MATUMIZI WA MASHINE ZA EFD KATIKA MADUKA MKOANI DODOMA.

1Mh.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum(MB) akitoa maelekezo kwa Meneja wa TRA mkoani Dodoma (mwenye miwani) na wakala wa TRA kutoka Yono Action Mart kulifunga duka la Salome Furniture baada ya kukutwa akifanya biashara bila ya kutumia risiti za mashine ya EFD.2Mh.Waziri wa Fedha Mhe. Saada M.Salum(MB) akimsikiliza msimamizi wa duka la Salome Furniture wakati akijitetea baada ya kukutwa anafanya biashara bila ya kutumia mashine ya EFD.3Waziri wa Fedha Mh. Saada M.Salum(MB) akiwa katika...

 

2 years ago

Channelten

Mashine za EFD kwenye vituo vya mafuta, Rais Magufuli atoa siku 14 kwa wafanyabiashara kufunga mashine

Screenshot from 2017-07-14 15-03-20

Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, ametoa muda wa siku 14 kwa wafanyabishara wa vituo vya kuuza mafuta kufunga mashine za EFD, na baada ya kipindi hicho kupita , watakaoshindwa vituo vyao vitafungwa jumla na kubomolewa.

Rais Magufuli ametoa rai hiyo leo katika mji wa Biharamulo, baada ya kuzindua barabaraba yenye kiwango cha rami ya kutoka Kagoma-Kupita Biharamulo hadi Lusaunga, ambapo amesesisitiza kuwa barabara hiyo imejengwa kwa fedha za ndani zaidi ya sh bilioni 194, hivyo hawezi...

 

2 years ago

Michuzi

DKT. KALEMANI AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI JIMBONI KWAKEMbunge wa Jimbo la Chato na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (aliyevaa miwani) akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nyakayondo kuhusiana na utekelezaji wa miradi mbalimbali kijijini humo na jimboni kwa ujumla.
Mbunge wa Jimbo la Chato na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani akielekeza jambo wakati wa ukaguzi wa kisima (kilichofunikwa kwa nyasi) kilichochimbwa katika kijiji cha Nyakayondo. Jumla ya visima virefu 30 vinatarajiwa kuchimbwa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wazijadili mashine za EFDís

KATIBU wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, Sued Chemuchemu, amesema matumizi ya mashine za EFD’s ni  kandamizi kwa wafanyabiashara kwa sababu wakati wa kutungwa kwa sheria ya matumizi yake hakuna mfanyabiashara...

 

4 years ago

Michuzi

Wafanyabiashara Washauriwa Kutumia Mashine za EFD

Na Beatrice Lyimo- Maelezo.
Kampuni ya COMPULYNX Tanzania inayoshughulika na usambazaji wa mashine za Electronic Fiscal Device (EFD) imewashauri wafanya biashara nchini kutumia mashine hizo ipasavyo kwani husaidia kukuza pato la Taifa.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bw Sailesh Savani wakati akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
“Wafanyabiashara wasiwe waoga kutumia mashine za EFD kwani huleta uhalali wa pande zote mbili ikiwemo Serikali...

 

3 years ago

Michuzi

Wafanyabiashara wahimizwa kuchukua mashine za EFD.


Na: Lilian Lundo - MAELEZO - Dodoma

Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kugawa Mashine za Kutunza Hesabu za Kodi za Kielektroniki (EFD) bila malipo kwa wafanyabiashara wa kati na wadogo.

Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kachwamba alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Neema William Mgaya juu ya mpango wa serikali kugawa mashine hizo Nchi nzima.

“Nia ya Serikali...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani