DKT. KIJAJI AITAKA BENKI YA ABC KUPELEKA HUDUMA VIJIJINI KUCHOCHEA SEKTA YA KILIMO NA VIWANDA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MAENDELEO YA VIWANDA YATATOKANA NA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO (TADB) KWA KUWAFIKIA WANANCHI WALIOWENGI-Dk.ASHANTU KIJAJI.

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.MAENDELEO ya Viwanda yanahitaji mali ghafi za kilimo hivyo Benki ya Maendeleo ya  Kilimo nchini (TADB) inawajibu ya kuwafikia wakulima ili matokeo ya viwanda yaweze kuonekana ikiwemo na kuwa na masharti ya riba nafuu au kuondolewa kabisa.
Hayo ameyasema leo Naibu Waziri wa Fedha , Uchumi na Mipango, Dk. Ashantu Kijaji wakati wa uzinduzi wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), amesema kuwa sekta ya kilimo inaajiri watanzania asilimia 70 huku ikichangia...

 

2 years ago

Dewji Blog

Dkt. Kijaji akitaka chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kuwashawishi vijana kuishi vijijini

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kuhakikisha kuwa kinajielekeza kutatua changamoto zinazokwaza maendeleo ya wananchi vijijini ili kuwafanya vijana wengi wanaokimbilia mijini kutafuta maisha waweze kubaki kwenye vijiji vyao ambavyo vitakuwa vimepangwa vizuri na kupatikana huduma muhimu za jamii

Dkt. Kijaji ametoa rai hiyo mkoani Mwanza, baada ya kukagua maonesho ya bidhaa na huduma zinazotolewa na chuo hicho katika Kituo...

 

2 years ago

Michuzi

Benki ABC yazindua huduma mpya za uwakala wa huduma za kibenki

Lengo ni kuwafikia waliowengi na huduma za kibenki kwawasio na akaunti za benki.
Dar es Salaam Tanzania, Jumatatu 14 Agosti 2017 – Ikiwa ni moja kati ya mikakati yake ya kuendelea kuboresha huduma zake kwa kutoa huduma kwa kila mtanzamia hasa kwa wale wasio na akaunti za Benki, Benki ABC Tanzania leo imezindua huduma za wakala itakayowawezesha wateja wake kupata huduma za kibenki hiyo wakiwa katika mazingira yeyote yale.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi huo, Mkuu wa...

 

2 years ago

Michuzi

DKT TIZEBA: SEKTA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI ITAENDELEA KUWA KICHOCHEO KATIKA KUJENGA UCHUMI WA VIWANDA

Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mhe Dkt Dk Charles Tizeba akisisitiza jambo kabla ya kufungwa kwa Maonesho ya Nanenane katika viwanja vya Ngongo, Manispaa ya Lindi leo tarehe 8 Agosti 2017.
Na Mathias Canal, Lindi
Serikali imesema kuwa Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi itaendelea kuwa muhimili na kichocheo katika kujenga uchumi wa viwanda ambao ndio kipaumbele cha Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli. 
Hayo yalibainishwa na Waziri wa Kilimo, Mifugo...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DKT. ASHATU KIJAJI AHIMIZA MAENDELEO VIJIJINI

Mkuu wa mradi wa Agra, ambaye pia ni Mhadhiri katika Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini-Dodoma, Dkt. Mark Msaki (kushoto), akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (Katikati) wakati akikagua maonesho ya taaluma, huduma na bidhaa kabla ya kutunuku tuzo mbalimbali kwa wahitimu 829 katika Mahafali ya 30 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mwanza. Kushoto kwa Dkt. Kijaji na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...

 

1 week ago

Malunde

Serikali Yafanikiwa Kupeleka Huduma Za Kibenki Vijijini

Na. Peter Haule na Farida Ramadhani, WFM, DodomaSerikali imesema kuwa Vituo vyote vya huduma ndani ya Ofisi za Shirika la Posta vimeunganishwa kwenye mtandao na mfumo wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano- TEHAMA wa Benki ya TPB  kwa wateja wa vijijini na pembezoni mwa miji, ili kuwawezesha wananchi kupata huduma kwa wakati kama ilivyo kwa wateja wengine wanaohudumiwa na matawi makubwa na madogo
Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu...

 

12 months ago

Michuzi

DKT. ASHATU KIJAJI AZIPONGEZA BENKI KUSHUSHA RIBA ZA MIKOPO

Na Benny Mwaipaja, WFM, DodomaUamuzi wa Serikali wa kupunguza kiwango cha chini cha amana kinachotakiwa kuwekwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na benki za biashara  nchini, umechochea taasisi za fedha yakiwemo mabenki kuanza kupunguza viwango vya riba ya mikopo hatua itakayochochea ukuaji wa uchumi.
Hayo yalisemwa Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji wakati wa kufunga warsha ya wadau wa Sekta ya Fedha uliowashirikisha wabunge, washirika wa Maendeleo, wakuu wa...

 

4 years ago

GPL

MBARAWA ASHUHUDIA MKATABA WA KUPELEKA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA SIMU VIJIJINI

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Prof Makame Mbarawa,(kushoto) akiwa na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia mara baada ya kampuni ya Vodacom kuwa kati ya makampuni matatu yaliyo saini mkataba wa kupeleka huduma ya mawasiliano simu vijijini awamu ya 2B katika sherehe zilizofanyika mjini Dodoma leo. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof Makame Mbarawa (katikati)...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani