Dkt. Kijaji akitaka chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kuwashawishi vijana kuishi vijijini

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kuhakikisha kuwa kinajielekeza kutatua changamoto zinazokwaza maendeleo ya wananchi vijijini ili kuwafanya vijana wengi wanaokimbilia mijini kutafuta maisha waweze kubaki kwenye vijiji vyao ambavyo vitakuwa vimepangwa vizuri na kupatikana huduma muhimu za jamii

Dkt. Kijaji ametoa rai hiyo mkoani Mwanza, baada ya kukagua maonesho ya bidhaa na huduma zinazotolewa na chuo hicho katika Kituo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DKT. ASHATU KIJAJI AHIMIZA MAENDELEO VIJIJINI

Mkuu wa mradi wa Agra, ambaye pia ni Mhadhiri katika Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini-Dodoma, Dkt. Mark Msaki (kushoto), akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (Katikati) wakati akikagua maonesho ya taaluma, huduma na bidhaa kabla ya kutunuku tuzo mbalimbali kwa wahitimu 829 katika Mahafali ya 30 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mwanza. Kushoto kwa Dkt. Kijaji na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...

 

2 years ago

Michuzi

Mahafali ya 30 ya Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini Kampasi ya Dodoma yafana

 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la pili la Taaluma lenye ghorofa 7 la Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Kampasi Kuu ya Dodoma, lililogharimu shilingi Bilioni  10.3. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Chuo hicho Prof. Razack Lokina na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini Dkt. Frank Hawassi wakifurahi kwa pamoja mara baada ya uzinduzi huo.  Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt....

 

1 year ago

Michuzi

DC KIBAHA AZINDUA CHUO CHA VETA KUWASAIDIA VIJANA WA VIJIJINI

KATIKA kuunga mkono juhudi za Rais wa awamu ya tano Dk. John Pombe Magufuli katika kuwa na uchumi wa viwanda  hatimaye  kanisa la Mission to Unreached Area Church (MUAC) lililopo Mlandizi Wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani limeamua kujenga chuo cha ufundi stadi (VETA) kwa lengo la kuwawezesha  vijana wanaotoka katika maeneo ya vijijini ili waweze kujifunza fani mbali mbali ambazo zitawasaidia kupata ujuzi na kuanzisha viwanda vidogovidogo na kujiajiri wao wenyewe.
Kauli hiyo ilitolewa na  Askofu...

 

4 years ago

Michuzi

Elimu kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana yawafikia Vijana wa Mbeya Vijijini

Na Genofeva Matemu – Maelezo, Mbeya
Vijana wa Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Mbeya Vijijini wametakiwa kutokuwa na tafsiri hasi kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana kuwa ni takrima inayotolewa na serikali kwa vijana hivyo kuchezea fedha hizo na kushindwa kurejesha mkopo watakaouomba kupitia mfuko huo.
Hayo yamesemwa na Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa wakati wa semina iliyotolewa kwa Vijana wa Mbeya Vijijini kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Stadi za...

 

2 years ago

Dewji Blog

Vijana wakubali maendeleo endelevu, waahidi kuyapeleka vijijini

Wakati wanachuo wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) cha mjini Mbeya wakiahidi kupeleka mbele zaidi kampeni ya maendeleo endelevu (SDGs) Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez amesema kwamba utekelezaji wa malengo hayo uko mikononi mwa vijana zaidi.

Alisema nchini Tanzania zaidi ya nusu ya watu wake ni vijana hivyo wakielewa malengo hayo itakuwa rahisi kushawishi wengine kuhuisha maendeleo hayo na shughuli zao...

 

2 years ago

Dewji Blog

Vijana wakubali malengo ya maendeleo endelevu, waahidi kuyapeleka vijijini

Wakati wanachuo wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) cha mjini Mbeya wakiahidi kupeleka vijijini kampeni ya malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez amesema kwamba utekelezaji wa malengo hayo uko mikononi mwa vijana zaidi.

Alisema nchini Tanzania zaidi ya nusu ya watu wake ni vijana hivyo wakielewa malengo hayo itakuwa rahisi kushawishi wengine kuhuisha maendeleo hayo na...

 

12 months ago

CCM Blog

JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - WATANZANIA WENYE CHIMBUKO (ROOTS) LA MUSOMA VIJIJINI WAAMUA KUSHIRIKIANA NA NDUGU ZAO WA VIJIJINI KUTOKOMEZA UMASKINI WAO

Leo, Jumatano, 2.5.2018, Wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wasomi na Wataalamu waliozaliwa au wazazi waliozaliwa Kijiji cha Mkirira, Kata ya Nyegina, Jimbo la Musoma Vijijini wameshirikiana na Mbunge wa Jimbo (Prof Sospeter Muhongo), Diwani wa Kata (Mhe Majira) na Wanakijiji wa Kijiji cha Mkirira kuchanga jumla ya Tshs 1.6 Milioni na Mifuko ya Saruji 238 kwa ajili ya UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA MKIRIRA. Michango inaendelea.

Lengo ni kukamilisha Jengo  hilo kabla ya Desemba 2018.
Jimbo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani