DKT. MWAKYEMBE: TUMEJIPANGA, LAZIMA TURUDI NA MEDALI JUMUIYA YA MADOLA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Kikwete ataka medali Jumuiya ya Madola

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amewataka wachezaji wa michezo mbalimbali wanaokwenda leo kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola, kutambua heshima ya ushiriki wao na nchi pia....

 

5 years ago

Mwananchi

Ramadhani aota medali Jumuiya ya Madola

Serengeti. Mshindi wa medali ya dhahabu katika Michezo ya Jumuiya ya Madola ya 2006 kwenye Marathoni (km 42), Samson Ramadhan ameweka wazi nia yake ya kutetea medali yake kwenye michezo ya msimu huu.

 

2 years ago

Michuzi

Collins Saliboko apania kushinda medali kwenye mashindano ya vijana ya Jumuiya ya Madola

 Na Mwandishi wetuMuogeleaji chipukizi wa Tanzania Collins Saliboko (pichani) ambaye ataiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Jumuiya ya Madola ya Vijana  ameahidi kuipeperusha vyema bendera ya nchi  na kuweka historia katika mashindano hayo kwa mara ya kwanza. Mbali ya Collins ambaye anashindana kwa upande wa wanaume, msichana Celina Itatiro ataiwakilisha nchi kwa upande wa wanawake katika mashindano hayo yaliyopangwa kufanyika nchini Bahamas kuanzia Julai 18 mpaka 23 kenye mji wa...

 

5 years ago

Michuzi

Wanamichezo waahidi kuleta medali katika mashindano ya Jumuiya ya Madola huko Glasgow, Scotland.

Akizungumza mara baada ya kuwasili nchini jana wakitokea Ethiopia Kocha wa Timu ya Riadha aliyeambatana na wachezaji 8 Bw. Shaban Hiiti alisema kuwa ana imani kubwa na wachezaji wake walioteuliwa katika Timu ya Taifa kuwa watailetea heshima Taifa kwa kuwa mazoezi waliyoyapata wakiwa nchini Ethiopia yamewajengea uwezo mkubwa. Alisema  kuwa walipokuwa nchi Ethiopia kwa mazoezi wamejifunza mbinu mbalimbali kutokana na kuwa na program za kuwajengea uwezo wachezaji wake na wako tayari kwa...

 

2 years ago

Michuzi

Francis Damiano Damas ashinda medali ya shaba mashindano ya vijana ya Jumuiya ya Madola nchini Bahamas

Kijana Francis Damiano Damas (17)  ametwaa medaili ya shaba katika mbio za mita 3000  kwenye  mashindano ya sita  vijana kutoka  nchi za Jumuiya ya Madola yaliyomalizika mwishoni mwa juma jijini  Nassau nchini Bahamas. Picha ya juu inamuonesha Kijana Francis Damiano Damas akiwa na wenzake Collins (kushoto) Kiongozi wa msafara Mwinga Mwanjala (katikati), kulia ni Celina Itatiro (14) na wa pili kulia ni Regina (15)


 

1 year ago

BBCSwahili

Mwakyembe: Haiwezekani tena Tanzania iambulie patupu michezo ya Jumuiya ya Madola

Mwaka wa 1982 huko Brisbane, Australia, ndiyo Tanzania ilinawiri zaidi kwenye michezo hii ilipomaliza katika nafasi ya 12 na dhahabu moja fedha mbili na shaba mbili.

 

2 years ago

Michuzi

DKT.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA


JUMUIYA ya Madola imeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta mbali mbali za maendeleo kama ilivyo kwa wanachama wengine wote 52 wa Jumiya hiyo.


Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi Patricia Baroness Scotland aliyasema hayo leo wakati alipofanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu mjini Zanzibar.


Katika maelezo yake Katibu Mkuu huyo alieleza kuwa Jumuiya ya Madola inaendelea kutekeleza mipango na mikakati kabambe...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiwa katika Mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Patricia Scotland Ikulu mjini Zanzibar leo asubuhiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland wakiongea na wanahabari baada ya mazungumzo yao Ikulu mjini Zanzibar leo asubuhi

 

2 years ago

Bongo5

Tumeshtushwa na tukio la Roma, lazima tujue kiini chake – Dkt Mwakyembe

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe, amesema tukio la kutekwa kwa Roma na wenzake watatu limewashtua.

Ameda kuwa hilo si jambo lililozoeleka Tanzania na kwamba ni lazima wafuatilie kujua kiini chake. Akiongea na waandishi wa habari Jumatatu hii, Dkt Mwakyembe amesema tukio hilo linaweza kuwa limefanywa na watu wachache kwaajili ya kuvuruga mambo.

“Mimi nawathamini sana vijana wangu hawa,” amesema Dkt Mwakyembe.

“Hawa ni stars, hawa ndio wanainbrand...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani