DKT SHEIN ATOA RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla na kuwatakia kheri katika mwezi huo,pia amewataka kujitahidi kufanya ibada kwa wingi,ikiwemo kusima Quran,kuswali sana hasa swala za Suna na kutoa zaka.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN ATOA RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa zanzibar na Tanzania kwa ujumla katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. Amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kuwa na mashirikiano ya pamoja na kumcha Mwenyeezi Mungu

 

4 years ago

Vijimambo

Risala ya mwezi mtukufu wa Ramadhan kutoka kwa Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi na Waislamu wote nchini katika Risala hiyo amewataka Wananchi kuwa amani na Utulivu na kuwaombea kwa Mola wetu kuwajaalia Rehma baraka za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan pia amewataka kufanya ibada kwa wingi katika kipindi chote cha mwezi huu,(Picha na Ikulu.)
RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN YA RAIS WA
ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI,
MHESHIMIWA...

 

3 years ago

Michuzi

RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi na Waislamu wote nchini katika Risala hiyo amewataka Wananchi kuwa Amani na Utulivu na kuwaombea kwa Mola wetu kuwajaalia Rehma na baraka za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Pia amewataka kufanya ibada kwa wingi katika kipindi chote cha mwezi huu. Picha na Ikulu, Zanzibar.

 

5 years ago

Michuzi

DKT SHEIN ATOA salamu za Mwezi Mtukufu wa RamadhaniRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa   Wananchi  wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla. Pia aliwatakia mfungo mwema  wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali mbali. Picha na Ramadhan Othman,  Ikulu

 

3 years ago

Ippmedia

Rais Dkt.Magufuli awataka wafanyabiashara kutopandisha bei ya vyakula mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara nchini kutopandisha bei hususani zile za bidhaa za vyakula vinavyotumika kwa futari katika mwezi huu Mtukufu wa mfungo wa Ramadhani ili kuwapa wepesi waislamu kutekeleza moja ya nguzo muhimu za ibada yao bila shida.

Day n Time: Jumatano Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

11 months ago

Zanzibar 24

Dkt.Shein awataka wafanya biashara kupunguza ushuru wa bidhaa katika mwezi wa Ramadhan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al Haj Dk.Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wafanyabiashara wa jumla na reja reja waitumie vyema azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuwapunguzia ushuru wa bidhaa za chakula katika mwezi wa Ramadhani, ili wananchi wapate bidhaa hizo kwa bei nafuu.

 Al Haj Dk. Shein aliyasema hayo katika risala maalum aliyoitoa kwa wananchi kupitia vyombo vya habari katika kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu wa 1439 Hijria sawa na...

 

5 years ago

Michuzi

Mualiko wa Kongamano la 6 la Kukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan

TAMPRO inayofuraha kwa heshima na taadhima kukuarifu kufanyika kwa Kungamano la Sita la Kukaribisha Mwezi wa Ramadhan 1435H, Siku ya Jumapili June 22, 2014 Katika ukumbi wa Julias Nyerere International Convention Centre (JNICC) – Shaaban Robert Street,Dar es Salaam kuanzia saa 02:30 Asubuhi Mpaka Saa 10:30 Alasiri.
TAMPRO ni Taasisi ya wanataaluma wa Kiislamu katika fani mbali mbali iliyosajiriwa Mwaka 1997 kwa lengo la kuwaleta pamoja wanataaluma wa kiislamu kulitumikia taifa huku...

 

2 years ago

Channelten

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani