Dkt. Shein aahidi kuondoa kilio cha Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amewahakikishia wananachi wa kijiji cha Mbuyumaji na Mlilile Mkoa wa Kaskazini Unguja kuwa Serikali anayoiongoza itahakikisha inawapelekea huduma za afya, umeme, maji safi na salama, elimu na barabara ndani ya miezi sita ijayo.

Dk. Shein aliyasema hayo leo kwa nyakati tofauti mara baada ya kuvitembelea vijiji hivyo vilivyopo Wilaya ya Kaskazini A, ambapo aliwataka Mawaziri husika wa sekta hizo kuhakikisha huduma...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein ziarani Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji pia Kaimu Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe.Ali Abeid Karume wakati alipowasili katika ukaguzi wa maendeleo ya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda na kupata maelezo mbali mbali kutoka kwa Wasimamizi wa Kiwanda hicho Kampuni ya ETG  alipofanya ziara katika Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

2 years ago

Michuzi

Dkt. Shein atembelea Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya kaskazini ”A” Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua jengo la kituo cha Maafa cha KmKm Nungwi akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kaksazini ”A” Unguja leo,(kushoto) Waziri wan chi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir,(kulia) Mkuu wa KMKM Komodoo Mussa Hassan Musa
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Shein afungua Madrasa Qamaria Matemwe,Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Sheikh Yakob Mfadhili wa Madrasa Qamaria wakati alipowasili katika Kijiji cha Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo kuifungua rasmin Madrasa hiyo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuashiri ufunguzi wa Madrasa Qamaria katika kijiji cha Kijini Matemwe Kaskazini Unguja leo,madrasa hito iliyojengwa na Jumuiya ya ALFATAH...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFUTARISHA WANANCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na waislamu na Viongozi katika swala ya Magharibi katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu kabla ya futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja jana katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji...

 

3 years ago

Vijimambo

DK SHEIN MGENI RASMIN BARAZA LA EID EL HAJJ UKUMBI WA CHUO CHA AMALI MKOKOTONO MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni akipokelewa na Waziri wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Abubakary Khamis Bakar, kwa ajili ya kuhudhuria Baraza la Eid El Hajj, kitaifa zimefanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, akiwasili na katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni akisalimiana na Waziri wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Abubakary Khamis Bakar, kwa ajili ya...

 

4 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AFUTARISHA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa sita kulia) pamoja na Viongozi na wananchi wa wakiwa katika swala ya Magharibi iliyoswaliwa katikaviwanja vya Ikulu Ndogo Mkokotoni jana jioni wakati wa futari iliyotayarishwa kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein   (katikati) akiwana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika futari ya pamoja nao...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Dokt. Shein aahidi kuondoa vilio vya wananchi wake

Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewaahidi wananchi wa vijiji vya Ukongoroni na Charawe kuwa ndani ya miezi 12 barabara yao itajengwa kwa kiwango cha lami na kuwataka wawe na subira kwani hatua hiyo ni kutekeleza ahadi yake kwa wananchi wa vijiji hivyo.

Dk. Shein alitoa ahadi hiyo katika ziara yake ya kutembelea miradi ya maendeleo sambamba na kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020 inavyotekelezwa katika Mikoa yote ya...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Dkt.Shein aahidi kufanya Studio za ZBC Unguja kuwa za kisasa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amezitembelea studio za ZBC Redio zilizopo Rahaleo na kusisitiza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha studio hizo pamoja na jengo lake vyote vinaimarishwa kama ilivyofanywa kwa ZBC Televisheni.

Dk. Shein aliyasema hayo leo katika ziara yake aliyoifanya ya kuzitembelea studio za ZBC Redio zilizopo Rahaleo mjini Zanzibar huku akisisitiza azma ya Serikali ya kuhakikisha studio zote za ZBC zinakuwa za...

 

4 years ago

Michuzi

DK. SHEIN ATEMBELEA UJENZI WA BARABARA MATEMWE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson leo alipokuwa akiangalia ramani ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja inayojengwa na Kampuni hiyo ambayo inasimamia mradi wa (Amber Golf&Beach Resort).Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani