DKT. SHEIN AFANYA ZIARA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME, ZANZIBAR

Mkuu wa Kikoso cha Zimamoto Zanzibar Kamishna Ali Abdalla Maalim Ussi akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea kiyuo cha Zima moato kiliopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipofanya ziara maalum leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya adpi ya Ufaransa Guillaume VERNA wakati alipofanya ziara maalum ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI NA UTALII WA ZANZIBAR AFANYA KATIKA UWANJA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID KARUME

Maryam Himid/Saada Saleh-ZJMMC
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo,Zanzibar,Mh. Saidi Ali Mbarouk amezitaka Taasisi zinazosimamia kupokea Watalii Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Amani Abeid Karume kujenga mashirikiano ili kuondosha usumbufu kwa wageni wanaoingia na kuotoka nchini. Ameyasema hayo alipofanya ziara Uwanjani hapo kwa lengo la kuangalia hali halisi ya Wageni wanaoingia na kutoka nchini.
Waziri Mbarouk amesema suala la Mashirikiano kwa wageni ni jambo muhimu...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mashujaa wa Zanzibar kuwasili kesho asubuhi uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume

Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Zanzibar maarufu Zanzibar Heroes itarejea Visiwani Zanzibar kesho Jumatatu tarehe 18/12/2017 saa 3:00 asubuhi  ikitokea nchini Kenya ilikokuwa ikishiriki mashindano ya  Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Senior Challenge Cup’ 2017)

 

Zanzibar Heroes itapokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi.

 

Wananchi wote mnaombwa kujitokeza kwa wingi katika mapokezi  Zanzibar...

 

4 years ago

Michuzi

PBZ WAKABIDHI MABASI YA ABIRIA KWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME,ZANZIBAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Juma Amour Mohamed akikata utepe kama ishara ya kukabidhi mabasi matatu kwa Meneja wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar Bi Zaina Ibrahim Mwalukuta (kushoto) yaliyotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya kuchukulia abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume yenye thamnai ya shilingi za Kitanzania MIa Tatu na Ishirini Millioni,(kulia) Mkurugenzi Masoko wa PBZ Seif Suleiman. Miongoni mwa Mabasi yaliyotolewa na Benki...

 

4 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Idd akagua ujenzi wa Jengo jipya la Abiria wa usafiri wa Anga katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa Tatu kutoka kushoto akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Abiria { Terminal 11 } katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar wa Abeid Amani Karume akiwa pamoja na uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar. Kushoto ya Balozi Seif ni Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Dr. Juma Malik Akio na Msimamizi wa ujenzi wa jengo la Abiria katika uwanja wa ndege wa Zanzibar upande wa Serikali ya...

 

4 years ago

Vijimambo

NDEGE KUBWA ZAANZA KUTUA UWANJA WA KIMATAIFA WA ABEID AMAN KARUME ZANZIBAR

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, ikitowa huduma za ndege kubwa baada ya kumalizika kwa ujenzi wake wa maegesho ya ndege na barabara ya kuondokea, hivi karibuni kama inavyoonekana picha ndege mbili kubwa za Ethiopian airline na Oman Air zikiwa katika uwanja huo kwa wakati mmoja zikitowa huduma ya kusafirisha abiria kupitia uwanja huo' Zanzi News

 

5 years ago

Michuzi

MAPOKEZI YA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI BAKARI SHAABANI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA ABEID AMANI KARUME,ZANZIBAR

Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,wakati wa uhai wake. Maafisa wa vikosi mbali mbali vya Ulinzi vya Zanzibar wakiusubiri mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan ukitokea katika Hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam baada ya kufariki jana. Wanajeshi wa JWTZ hapa Zanzibar wakiuteremsha mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,kutoka katika Ndege ya jeshi hilo iliyotua leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Video: Ayoub akizungumza na waandishi katika uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume kabla kuwasili Zanzibar Heroes

Mkuu wa Mkoa RC Ayoub akizungumza na waandishi katika uwanja wa ndege Abeid Amani Karume kabla kuwasili Zanzibar Heroes kutokea nchini kenya ambapo walikwenda kwa ajili ya michuono ya cecafa.

The post Video: Ayoub akizungumza na waandishi katika uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume kabla kuwasili Zanzibar Heroes appeared first on Zanzibar24.

 

5 years ago

Michuzi

maalim seif akagua maendeleo ya ujenzi uwanja wa ndege wa kimataifa wa amani karume, zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea kuridhishwa kwake na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa miradi mitatu inayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. 
Miradi hiyo inahusisha ukarabati na ujenzi wa njia za kupitia ndege wakati wa kuruka pamoja na sehemu ya maegesho ya ndege, ujenzi wa uzio wa eneo la uwanja wa ndege, pamoja na ujenzi wa jingo jipya la abiria (Terminal 2). 
Akizungumza katika ziara ya kutembelea miradi hiyo...

 

4 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya TRASWORLD yazindua huduma zake katika kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume Zanzibar

DSC_0022

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua huduma za Kampuni ya Trasworld Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, (kulia) Mwenyekiti wa Transworld Abdallah Al Suleimany na (kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi Gavu.

DSC_0031

Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akiteremka kwenye ndege ya mizigo ya Astral baada ya uzinduzi wa Kampuni ya Trasworld.

DSC_0053

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Trasworld hapa Zanzibar Hassan...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani