DKT. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA CHUO CHA WATAALAM WA MAGONJWA CHA AFRIKA MASHARIKI,IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki,kati na Kusini mwa Afrika unaoongozwa na Prof. Ephata Kaaya, (wa pili kulia)katika ukumbi Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipokea Shahada ya Heshima kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Wataalamu wa Magonjwa cha Nchi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika Prof. Ephata Kaaya, ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA Ujumbe wa Bodi ya TRA, IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya TRA Benard S.Mchonvu wakati alipoongoza ujumbe wa Bodi hiyo leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Bodi TRA ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi ukiongoza na Mwenyekiti wake Benard S.Mchonvu (wa tatu kushoto). Rais wa Zanzibar na...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMONISTI CHA CHINA LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China(CPC) Bw. Guo Jinlong alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China(CPC) Bw. Guo Jinlong alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.

 

12 months ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM-ZANZIBAR- RAIS WA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa...

 

4 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA MABALOZI WA UJERUMANI NA MISRI,IKULU ZANZIBAR LEO.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Egon Kochanke (katikati) alipofika Ikulu Mjini Uguja leo asubuhi akifuatana na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Tamasha la Afrika Stefan Oschman (kushoto). Rais wa Zanzibar na...

 

3 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA DHARULA CHA WAKUU WA CHI ZA AFRIKA MASHARIKI, LEO IKULU, DAR ES SALAAM


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha ndani  kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili kuhudhuria mkutano wa 17 wa  dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam . Mwenyekiti wa...

 

2 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MKE WA MWANZILISHI WA TAIFA LA SUDAN KUSINI REBECCA NYANDENG DE MABIOR ILIYEAMBATANA NA UJUMBE WAKE IKULU, DAR ES SALAAM

 . Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, akisalimiana na mke wa mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini, Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo

Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, akizungumza na mke wa mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini, Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika pamoja na ujumbe wake kwa...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017 kwa mazungumzo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2017 kwa mazungumzo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

2 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MKE WA MWANZILISHI WA TAIFA LA SUDAN KUSINI REBECCA NYANDENG DE MABIOR ILIYEAMBATANA NA UJUMBE WAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng...

 

1 year ago

Michuzi

DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA JUU WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akizungumza na uongozi wa juu wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulioongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo, Prof Mark Mwandosya  wakati uongozi wa chuo hicho ulipofika Ikulu ya Zanzibar kwa Mazungumzo . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk. Ali Mohemed Shein, akiprana mikono na Mwenyekiti wa bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Prof Mark Mwandosya  mara baada ya kufika katika...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani