DKT. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM CCM ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Uguja kuhudhuria katika Kikao cha Siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi Ofisi hiyo Mjini Unguja.Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakipitia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Dkt. Shein aongoza kikao cha kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamko Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Auai wakiwa katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
[Picha na Ikulu.] 15/12/2016.Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Dkt Shein aongoza kikao cha kamati maalum ya halmashauri kuu ya CCM (NEC) Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai mara alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo, kushiriki kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama...

 

1 year ago

CCM Blog

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM, RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM OFISI KUU YA ZANZIBAR, LEO

 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili na kupokelewa na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi
 WAJUMBE wa Kamati Maalum...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Dk. Shein aongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM  Taifa Zanzibar

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, leo amekiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM  Taifa Zanzibar.

Kikao hicho cha kawaida kimefanyika kwa mafanikio makubwa katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Zanzibar Ndg Waride Bakari Jabu, pamoja na mambo...

 

1 year ago

Michuzi

DK. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum ya halmashauri kuu ya CCM Taifa (zanzibar)

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein leo Februari 4, 2018 ameongoza Kikao cha kawaida cha siku moja cha  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa Zanzibar.
Hiki ni Kikao cha kwanza tangu Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) walipochaguliwa  kupitia Mikutano Mikuu ya Mikoa, Jumuiya na Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi uliofanyika mwaka jana katika Uchaguzi wa Chama.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein amekiongoza kikao cha kamati Maalum CCM Leo

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, leo (jana) amekiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa..

Kwa mujibu wa  taarifa kwa vyombo vya Habari iliyotolewa na Katibu wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM wa Idara ya Itikadi na Uenezi Bi. Waride Bakari Jabu, amesema kikao hicho cha siku moja kilifanyika Afisi Kuu ya CCM, Mjini Unguja.

Ameeleza kwamba pamoja na mambo mengine, kikao...

 

4 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR. YAPITISHA JINA LA DK SHEIN KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM.

WAJUMBE wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandua kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein,MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana kupitisha Jina la Mgombea wa Urais wa Zanzibar.VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa wamesimama baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano.NAIBU Katibu...

 

3 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AONGOZA MKUTANO WA SIKU MOJA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR(NEC)


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama wakati alipowasili Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar leo Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa siku moja wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

4 years ago

Michuzi

KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR YAPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM DK. ALI MOHAMED SHEIN

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akipongezwa  na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein. VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani