DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA UWANJA WA AMANI LEO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasalimia wananchi walijitokeza katika sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Amani, Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiimba wimbo wa Taifa katika sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Amani, Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akikagua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 72 YA UMOJA WA MATAIFA (UN) ZANZIBAR

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa pongezi kwa Umoja wa Mataifa (UN) kwa kuendelea kushirikiana na kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo pamoja na kusaidia changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii katika karne hii ya 21 hapa nchini.  Dk. Shein aliyasema hayo katika hafla ya kuadhimisha mika 72 tangu ulipoanzishwa rasmi Umoja wa Mataifa (UN), hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena,...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN MGENI RASMI KATIKA SHEREHE ZA ELIMU BILA MALIPO AMAAN ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Walimu na Wanafunzi katika Sherehe za Miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi kombe Msaidizi Afisa Elimu Mkoa wa Kaskazini Unguja Maulid Nafasi Juma wakati wa Sherehe za Miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA KILELE CHA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu (kushoto) mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi  Mnazi mmoja Mjini Unguja leo katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizindua kitabu cha Sheria ya Mwaka 2015 katika sherehe za Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika leo katika ukumbi wa zamani...

 

2 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI) MAHONDA, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, Mhe. Maudline Cyrus Castico alipowasili katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja leo katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi...

 

2 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Hotuba ya Dk. Shein katika sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amelihutubia Taifa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo ametumia nafasi hiyo kuelezea mafanikio ambayo Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeyapata katika awamu ya saba.

Amesema kuwa katika awamu hii Serikali imefanikiwa kukuza mapato ya ndani kwa asilimia 31.1% kutoka Bilioni 336 kwa mwaka 2015 hadi kufikia Bilioni 441.3 kwa mwaka 2016, mapato ambayo yamesaidia kutekelezwa kwa...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA SABA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mamia ya wananchi wa Zanzibar mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Fatma Karume mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amaan kisiwani Zanzibar.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein katika...

 

4 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFANYA ZIARA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME, ZANZIBAR

Mkuu wa Kikoso cha Zimamoto Zanzibar Kamishna Ali Abdalla Maalim Ussi akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea kiyuo cha Zima moato kiliopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipofanya ziara maalum leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya adpi ya Ufaransa Guillaume VERNA wakati alipofanya ziara maalum ya...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA MEI MOSI MJINI ZANZIBAR LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiwapungia Mkono Wafanyakazi mbali mbali waliopita mbele yake kwa Maandamano wakati wa Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Maudline...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Katika kufanikisha sherehe za Mapinduzi Dkt. Shein ajumuika navikosi vya ulizi kwa chakula  Maalum 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dr.Ali Mohammed Shein  ameungana  na  vikosi  vya ulinzi na usalama  pamoja na waandishi wa habari  katika chakula maalum cha mchana ikiwa ni pongezi  kwa kufanikisha vyema sherehe za miaka 54 za  mapinduzi matukufu Zanzibar.

Hafla hiyo imefanyika Mtoni  makao makuu ya Kikosi cha KVZ Mjini unguja,na kuhuzuriwa na Viongozi mbalimbali  wa Serikali  akiwemo Makamo wa pili wa rais  Balozi seif Ali Iddi na Mawaziri ,Manaibu waziri pamoja na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani