Dkt. Shein mgeni rasmi Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmi katika Mahfali ya Kumi na Nnne yaliyofanyika Chuoni hapo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmi katika Mahfali ya Kumi na Nnne yaliyofanyika Chuoni hapo.

 

Baadhi ya waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za mahfali ya kumi na nne katuika Chuo Kikuu cha Tunguu 9(Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja yaliyofanyika leo,mgeni erasmi akiwa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Moahmed Shein,(hayupo pichani).Baadhi ya waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za mahfali ya kumi na nne katuika Chuo Kikuu cha Tunguu 9(Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja yaliyofanyika leo,mgeni...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN MGENI RASMI MAHFALI YA 14 CHUO KIKUU CHA TUNGUU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tunguu (Zanzibar University) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmi katika Mahfali ya Kumi na Nnne yaliyofanyika Chuoni hapo.Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Prof.Suleiman Bin- Nassry Basahal alipokuwa akiwatunuku Stashahad na Shada wahitimu katika fani mbali mbali wa mwaka 2016...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI MGENI RASMI MAHAFALI YA 31 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA (OUT)

  Serikali itaendelea kusimamia ubora wa elimu kwa kuhakikisha shule na taasisi zinadahili wanafunzi wenye sifa stahiki za kujiunga na kozi wanazoomba.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa kauli hiyo leo tarehe 24 Novemba, 2016 katika sherehe za mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania zilizofanyika Bungo, Kibaha Mkoani Pwani.
Kabla ya Rais Magufuli kutoa kauli hiyo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Prof. Elifas Tozo Bisanda alieleza kuwa chuo hicho...

 

5 years ago

Michuzi

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar mgeni rasmi kwenye hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi alisema kwamba utitiri wa vyuo vikuu bila ya ubora wa elimu inayotolewa ni jambo linalopelekea vyuo hivyo kutoa vijana wasiouzika kiajira katika taasisi mbali mbali za umma na hata zile za binafsi.
Mama Asha Suleiman Iddi alisema hayo wakati wa hafla maalum ya kuagana kwa wana jumuiya ya wanafunzi wa Zanzibar wanaosoma chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro wa ZAMUMSA ambao wanatarajiwa kumaliza mafunzo yao mwezi Novemba mwaka huu...

 

4 years ago

Michuzi

Dkt. Pindi Chana mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam

Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb) akihutubia wasichana waliohitimu mafunzo ya ujasiriamali, mawasiliano, na ususi wa nywele kwenye mahafali ya yaliyofanyika katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania jijini Dar es salaam tarehe 20/08/2015. Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Dkt. Pindi H. Chana (Mb)akimpongeza Bi. Jane Malyi kiongozi wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na urembo mara baada ya kutoa neno...

 

3 years ago

Michuzi

NYALANDU MGENI RASMI MAHAFALI YA 12 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU MKOANI ARUSHA

 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mount Meru,Profesa Harrison Olang(kushoto)akizungumza na Mbunge wa Singida Kaskazini ambaye alikua mgeni rasmi katika mahafali ya 12. 
 
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini.Lazaro Nyalandu(kulia)akifurahia jambo na familia ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mount Meru,Profesa Harrison Olang 
 
Picha ya pamoja na wahitimu 
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

Dkt.Shein Mgeni Rasmi Sherehe za "ZANZIBAR MODEN TAARAB"

 Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akipokea album Mbili za nyimbo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kikundi cha Muzik cha "Zanzibar Modern Taarab"Abdalla Ali akiwa mgeni rassmi katika sherehe za Kikundi kutimiza Miaka 7 Tokea kuanzishwa,hata hivyo Rais amekichangia kikundi hicho   Shillingi za kitanzania Millioni Nane,hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Dkt.Ali...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA MGENI RASMI MAHAFALI YA 33 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA


SERIKALI HAIJARUHUSU KOZI ZA FOUNDATION CHUO KIKUU HURIA

SERIKALI haijatoa ruhusa kwa Chuo Kikuu Huria (OUT) kiendelee kutoa kozi ya ‘Foundation’ kama ambavyo imedaiwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii.Baadhi ya mitandao ilitoa taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho: “Waziri Mkuu aruhusu kozi za 'Foundation' Chuo Kikuu Huria” kwa madai kuwa alitoa ruhusa hiyo jana Alhamisi, Novemba 30, 2017 wakati akiwa mkoani Singida ambako alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya 33 ya Chuo Kikuu...

 

4 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA KITAIFA YA RIADHA ZANZIBAR

Mwashungi Tahir-Maelezo Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika mashindano ya Kitaifa ya Riadha ya wilaya ambayo yanatarajiwa kufanyika katika kiwanja cha Amaani Disemba 26-27 mwaka huu.
Mashindano hayo yaliyodhaminiwa na Rais Shein kwa lengo la kukuza sekta ya michezo nchini yametayarishwa na Baraza la michezo la Taifa Zanzibar (BMTZ) kwa kushirikiana na chama cha Riadha (ZAAA) Hayo yameelezwa leo na...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI CHUO CHA UDAKTARI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa zawadi kwa mwanafunzi bora zaidi ya wote walimaliza masomo ya Udaktari Nadhira Suleiman Said katika Mahfali ya Kwanza ya Chuo cha Madaktari Zanzibar yaliyofanyika leo katika viwanja vya Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya Mbweni nje ya Mji wa Unguja (katikati) Dk.Salhia Ali Muhsin Mratibu wa Chuo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa Mahfali ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani