Dkt Shein: Zanzibar Kuwa Kitovu cha Filamu Duniani

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar inaweza kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo katika tasnia ya utengenezaji filamu na maigizo kutokana na mandhari na historia yake katika fani hiyo sambamba na mikakati liyojiwekea.

Shein na Kapuli

Dk. Shein aliyasema hayo leo Ikulu mjini Zanzibar, wakati alipokuwa na mazungumzo na Mkongwe wa Filamu za Kihindi Kunal Kapoor aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai, India Jilesh Babla ambapo mkongwe huyo yupo Zanzibar akiwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilivyojiimarisha kuwa kitovu cha Kiswahili duniani

Kwa kiasi kikubwa chimbuko la mabadiliko yanayohusu lugha ya Kiswahili Afrika Mashariki, barani Afrika na dunia nzima, ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

 

1 year ago

Zanzibar 24

Dkt. Shein kuwa mgeni rasmi siku ya wafanyakazi Duniani Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), zinazotarajiwa kufanyika Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Katika maadhimisho hayo, Dk. Shein anatarajiwa kupokea maandamano ya wafanyakazi wa sekta za umma na sekta binafsi ambapo pia, salamu mbali mbali zitatolewa zikiwemo kutoka Shirika la Kazi Duniani (ILO), Jumuiya ya Waajiri Zanzibar (ZANEMA), salamu za...

 

2 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akutana na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo pamoja na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu na Uongozi wa Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar...

 

3 weeks ago

Michuzi

RAIS DKT.SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa meza Kuu kushoto Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto, Mhe. Maudline Castico, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mkuu wa Mkoa wa Kusinu Unguja Mhe. Hassan Khatib na kulia Mwenyekiti wa Shirikisho la la Vyama Vya Wafanyakazi Ndh. Ali Mwalim Katibu Mkuu wa ZATUC Ndg. Khamis Mwinyi na Mwakilishi wa ILO Getrude Sima wakiimba wimbo wa mshikamano wa Wafanyakazi.wakati wa...

 

3 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AAPISHWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR

Rais Mteule wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiapishwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi leo na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Omar Othman Makungu katika uwanja wa Amaan Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]

 

2 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AONGOZA MAADHIMISHO SIKU YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na  Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman mara alipowasili katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Ungujakatika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika leo Vijana waliobeba bango linalotoa ujumbe usemao Siku ya Maadili...

 

2 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI) MAHONDA, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, Mhe. Maudline Cyrus Castico alipowasili katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja leo katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi...

 

4 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA KITAIFA YA RIADHA ZANZIBAR

Mwashungi Tahir-Maelezo Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika mashindano ya Kitaifa ya Riadha ya wilaya ambayo yanatarajiwa kufanyika katika kiwanja cha Amaani Disemba 26-27 mwaka huu.
Mashindano hayo yaliyodhaminiwa na Rais Shein kwa lengo la kukuza sekta ya michezo nchini yametayarishwa na Baraza la michezo la Taifa Zanzibar (BMTZ) kwa kushirikiana na chama cha Riadha (ZAAA) Hayo yameelezwa leo na...

 

3 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN KATIKA SHEREHE ZA SIKU YA KILELE CHA WAFANYAKAZI DUNIANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na Binafsi, wakipita mbele yake wakati wa sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na Binafsi,(pichani) Vijana waliobeba bango kutoka Ofisi ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani